Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti.
Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya.
Mauti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo.
Huyu Saba Sita...
Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k.
Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo...
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa
Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa
Enzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hii ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani kwa waliokuwepo wakati huo...
Bila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa.
Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya....
1-PTSD
2-BDD
magonjwa...
Mwanamke aliyetambulika kwa jina Bella Montoya (76) kutoka Ecuador amewaacha watu kwenye mshangao baada ya kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye Jeneza wakati ndugu walipotaka kumvalisha mavazi maalumu ya mazishi.
Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya, mwanamke huyo alipata tatizo la Mshtuko...
GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
Mwenendo wa Simba sio mzuri kwa hii miaka miwili sasa kutokana na Viongozi kutosimama imara. Pia Viongozi wa Simba kuruhusu Jeneza kuingia Uwanjani Siku ya Simba Day ilikuwa sio nzuri kwa mustakabali wa kiimani za watu.
Simba kutoka hapa tulipo wafanya yafuatayo Msimu Ujao
Kuondoa wachezaji...
WAKAZI wa Kitongoji cha CCM-Senta, Kijiji cha Lwamugasa wilayani Geita mkoani hapa wamekutwa na sintofahamu baada ya kaburi la mtoto aliyezikwa kukutwa limefukuliwa na watu wasiojulikana.
Akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio hilo, baba wa mtoto, Dismas John (35) alisema mwanawe wa...
Baadhi ya wafuasi wa Azimio wameshiriki katika maandamano yaliyofanyika katika Mji wa Kisumu wakipinga gharama ya maisha kuwa juu na kushinikiza Serikali ya Rais William Ruto kuchukua hatua.
Baadhi yao wakiwa wakiwa na masufuria, miko mabango yaliyoandikwa ‘Njaaaa!’ huku wakisikika wakiimba...
Wananchi wa Mtaa wa Maganga, maeneo ya Nurulyakini, Temeke, Dar es Salaam wamezuia mwili wa marehemu Pius Beda maarufu Stahimili (32) kuingia nyumbani kwa wazazi wake, kuonesha hasira zao kwamba wazazi hao walishindwa kumhudumia alipokuwa hai.
Kijana huyo alikutwa amekufa kwa kujinyonga...
Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa.
=====
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa...
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
Hii dhana ya kujinunulia majenezo au kujijengea makaburi kabla ya kifo chako, kwa kisingizio eti ukifa usije kusumbua watu katika michango.
Hii imekaaje wakuu? Ni sawa kufanya hivyo?
Naangalia matangazo mubashara ya mazishi ya shujaa wa kupambana na utawala wa ubaguzi wa rangiu, mtu aliyetumia Maisha yake yote kupigania haki za wananchi wake, Askofu Desmond Tutu, unaoonyeshwa kwenye vituo mbalimbali vya kimataifa vya TV, kama vile SABC, CNN, BBC, Sky News na Al Jazeera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.