Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,009
20,683
Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo.

Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea ubadhirifu na mahala pengine kwa kuwa ndani ya kanisa kumeoza.

Kauli hii ya Bagonza inanifikirisha sana, gasa ukizingatia Dk. Shoo, mshirika mkubwa wa chadema, alikuwa mstari wa mbele kushambulia kila mtu, ikiwemo serikali kwamba haizingatii utawala bora.

Kumbe wakati akifanya mashambulizi hayo, nyumbani kwake palikuwa pamevunda. Haijulikani hao chadema anaowaongoza kiroho kama wana nafuu.

Askofu Bagonza aliendelea kueleza kwamba, wakati wa uongozi wa Dk. Shoo, kwa mara ya kwanza katika historia, mali za kanisa zilipigwa mnada kufidia madeni ya kifisadi.

Hivi karibuni, seminari moja ya morogoro ililazimika kuuza mali zake ili kulipa wafanyakazi, na bado deni halikuisha. Na Hospitali moja ya kanisa iliyo kanda ya kaskazini ineripotiwa kuwa hoi. Pia hotel moja huko mikoa ya nyanda za juu kusini inayomulikiwa na kanisa iliripotiwa kudaiwa mabilioni, ambayo hayajulikani yalipo mpaka sasa.

Screenshot_20240120-102919.jpg
 
Acheni propaganda za kuchafua kanisa. Unamchafua Dr. Shoo kwa manufaa ya nani. Hivi unajua namna kanisa la K.K.K.T linavyojiendesha? Hivi unajua kuwa kila dayosisi ina askofu wake na inajiendesha kwa kujitegemea? Ungesema madeni yapo dayosisi ya kaskazini ningekuelewa kwani ndo dayosisi anayoiongoza Dr. Shoo. Lakini kama kila dayosisi ina madeni yake hayo hayahusiani na mkuu wa kanisa.

Acha walutheri wajadili mamboyao huko makanisani. Hawajaja hapa kukuliliakuwa wanadaiwa. Hata kama wamekopa wanakopa na kujenga vyuo vikuu mahospitali na mashule.
 
Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo.

Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea ubadhirifu na mahala pengine kwa kuwa ndani ya kanisa kumeoza.

Kauli hii ya Bagonza inanifikirisha sana, gasa ukizingatia Dk. Shoo, mshirika mkubwa wa chadema, alikuwa mstari wa mbele kushambulia kila mtu, ikiwemo serikali kwamba haizingatii utawala bora.

Kumbe wakati akifanya mashambulizi hayo, nyumbani kwake palikuwa pamevunda. Haijulikani hao chadema anaowaongoza kiroho kama wana nafuu.

Askofu Bagonza aliendelea kueleza kwamba, wakati wa uongozi wa Dk. Shoo, kwa mara ya kwanza katika historia, mali za kanisa zilipigwa mnada kufidia madeni ya kifisadi.

Hivi karibuni, seminari moja ya morogoro ililazimika kuuza mali zake ili kulipa wafanyakazi, na bado deni halikuisha. Na Hospitali moja ya kanisa iliyo kanda ya kaskazini ineripotiwa kuwa hoi. Pia hotel moja huko mikoa ya nyanda za juu kusini inayomulikiwa na kanisa iliripotiwa kudaiwa mabilioni, ambayo hayajulikani yalipo mpaka sasa.View attachment 2877077
Mfumo wa kkkt shoo hana mamlaka ya kuingilia dayosisi nyingine
Shoo ana-nguvu tu kwenye dayosisi yake ya kaskszini hana nguvu za kuingilia mambo ya fedha kwenye dayosisi nyingine

Kilichotokea Arusha kuhusu hospitali ya seliani kosa ni la dayosisi ya Arusha kupitia marehemu askofu laiser kuchukua mikopo mikubwa na kushindwa kuirudisha
 
Acheni propaganda za kuchafua kanisa. Unamchafua Dr. Shoo kwa manufaa ya nani. Hivi unajua namna kanisa la K.K.K.T linavyojiendesha? Hivi unajua kuwa kila dayosisi ina askofu wake na inajiendesha kwa kujitegemea? Ungesema madeni yapo dayosisi ya kaskazini ningekuelewa kwani ndo dayosisi anayoiongoza Dr. Shoo. Lakini kama kila dayosisi ina madeni yake hayo hayahusiani na mkuu wa kanisa.

Acha walutheri wajadili mamboyao huko makanisani. Hawajaja hapa kukuliliakuwa wanadaiwa. Hata kama wamekopa wanakopa na kujenga vyuo vikuu mahospitali na mashule.
Nashangaa sana mtu anakuja kupotosha nawakati kkkt kila dayosisi ina-autonomy (mamlaka yake)
 
Shoo mnamwonea, wakati akiwa Askofu mkuu huku ulikuwa na maaskofu, mmoja wao ni Askofu Malasusa,

Kama kanisa kuoza ni kote, na ieleweke tu kuwa huyo Shoo aliwekewa mgomo baridi, kundi kubwa likimtaka Malasusa.

Huku kwetu hata miradi ya wajane imeliwa, je nayo alaumiwe Shoo?

Ngoja sasa si tutaona.
 
Msituharibie sherehe yetu ya kumsimika kesho kutwa tarehe 21 mwezi huu pale Azania Front.

Karibuni nyote.
 
Shoo mnamwonea, wakati akiwa Askofu mkuu huku ulikuwa na maaskofu, mmoja wao ni Askofu Malasusa,

Kama kanisa kuoza ni kote, na ieleweke tu kuwa huyo Shoo aliwekewa mgomo baridi, kundi kubwa likimtaka Malasusa.

Huku kwetu hata miradi ya wajane imeliwa, je nayo alaumiwe Shoo?

Ngoja sasa si tutaona.
Askofu mkuu wa kkkt ni mwenyekiti wa maaskofu wote wa kkkt pale wanapokutana lakini hana mamlaka ya kuingilia mambo ya dayosisi nyingine kiutendaji
 
Mchaga na pesa kama pipa na mfuniko
Si mtetei ila naamini kuna ishu ya collective responsibility, ata kama hauhusiki moja kwa moja ila kwa kuwa yamefanyika chini ya uongozi wako unalazimika kuwajibika.
 
No
Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo.

Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea ubadhirifu na mahala pengine kwa kuwa ndani ya kanisa kumeoza.

Kauli hii ya Bagonza inanifikirisha sana, gasa ukizingatia Dk. Shoo, mshirika mkubwa wa chadema, alikuwa mstari wa mbele kushambulia kila mtu, ikiwemo serikali kwamba haizingatii utawala bora.

Kumbe wakati akifanya mashambulizi hayo, nyumbani kwake palikuwa pamevunda. Haijulikani hao chadema anaowaongoza kiroho kama wana nafuu.

Askofu Bagonza aliendelea kueleza kwamba, wakati wa uongozi wa Dk. Shoo, kwa mara ya kwanza katika historia, mali za kanisa zilipigwa mnada kufidia madeni ya kifisadi.

Hivi karibuni, seminari moja ya morogoro ililazimika kuuza mali zake ili kulipa wafanyakazi, na bado deni halikuisha. Na Hospitali moja ya kanisa iliyo kanda ya kaskazini ineripotiwa kuwa hoi. Pia hotel moja huko mikoa ya nyanda za juu kusini inayomulikiwa na kanisa iliripotiwa kudaiwa mabilioni, ambayo hayajulikani yalipo mpaka sasa.View attachment 2877077
comment!
 
Acheni propaganda za kuchafua kanisa. Unamchafua Dr. Shoo kwa manufaa ya nani. Hivi unajua namna kanisa la K.K.K.T linavyojiendesha? Hivi unajua kuwa kila dayosisi ina askofu wake na inajiendesha kwa kujitegemea? Ungesema madeni yapo dayosisi ya kaskazini ningekuelewa kwani ndo dayosisi anayoiongoza Dr. Shoo. Lakini kama kila dayosisi ina madeni yake hayo hayahusiani na mkuu wa kanisa.

Acha walutheri wajadili mamboyao huko makanisani. Hawajaja hapa kukuliliakuwa wanadaiwa. Hata kama wamekopa wanakopa na kujenga vyuo vikuu mahospitali na mashule.
Umenena vyema mkuu, watu wengi wanatumia Uhuru wa kutoa maoni Vibaya maana wanazungumza hata Mambo wasiyoyaelewa vizuri
 
Kwa hiyo dkt shoo alikuwa anaongoza shule, au hiyo hotel au hiyo hospitali?

By the way;
Askofu Bagonja (PhD) ni kati ya waliokatwa uchaguzi Mkuu huko KKKT. Nadhani kama ana legitimacy atalifikisha hili kunakohusika na sio Mitandaoni.
 
Shida ya vyeo ndio hii. Ukiwa top watakusitiri watanyamaza,ukimaliza muda hutoamini unachokisikia na kukiona. Binadamu huabudu mamlaka,yaishapo wanakuona wewe kama wewe. Kwenye hili pana siasa na kazi ndio imeanza.
 
Back
Top Bottom