ajali ya gari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Channel Ten yamlilia Mwandishi wao aliyefariki katika ajali ya Gari iliyoua Waandishi wa Habari Wawili Mkoani Pwani

    Waandishi wa habari wawili kutoka mkoa wa Lindi wamefariki Dunia baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Lindi kupata ajali majira ya saa 7 za usiku wa kuamkia March 26, 2024 eneo la Nyamwage mkoa wa kipolisi Rufiji, mkoani Pwani. Waandishi waliofariki ni Abdallah Nanda...
  2. JanguKamaJangu

    Watu watatu wa Familia moja wafariki katika ajali ya gari Pwani

    Watu watatu wamefariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo aina ya Toyota Alphard iliyotokea katika Kijiji cha Mbwembwe, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani humo Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa amepata...
  3. BARD AI

    Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

    Mtunzi mashuhuri wa tamthilia ya Afrika Kusini, mtayarishaji na mtunzi Mbongeni Ngema amefariki katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 68, familia yake ilisema. “Ngema alifariki katika ajali mbaya ya gari alipokuwa akirejea kutoka kwa mazishi aliyokuwa akihudhuria Lusikisiki huko Eastern...
  4. benzemah

    Rais Samia atuma Salamu za Rambirambi kufuatia vifo vya watu 15 ajali ya Gari mkoani Lindi. Atoa Maagizo

    Ameandika Rais Samia Suluhu kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. "Nawapa pole wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali ya basi iliyotokea eneo la Mtama mkoani Lindi na kusababisha vifo vya watu 15. Mwenyezi Mungu awe faraja kwetu sote, awarehemu ndugu zetu hawa...
  5. Poppy Hatonn

    Mtoto wa Magige Nyerere afariki katika ajali ya gari Shinyanga

    Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Ajali imetokea jana, amefariki leo. Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana. Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi. Hii ni...
  6. mtwa mkulu

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Yasin Ngonyani apata ajali ya gari

    Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti UVCCM wilaya ya Mbeya mjini amesema waliopata ajali wanendelea vizuri hospitali ya rufaa mbeya. Alikuwa akielekea katika ziara Chunya. wakukurupuka1
  7. B

    Mwenye taarifa yoyote ya ajali ya gari maeneo ya Iringa, awasilishe

    Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze. Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
  8. EINSTEIN112

    TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  9. Chachu Ombara

    Watu 16 wafariki katika ajali ya gari walipokuwa wakirejea kutoka msibani

    Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi. Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya, ambao wote wanaripotiwa kuwa walikuwa wakirejea kutoka mazishi. Kaimu afisa wa...
  10. Suley2019

    Mfanyabiashara Aponye afariki kwa ajali ya gari

    Renowned Ugandan businessman Apollo Nyegamehe has died after the car in which he was travelling rammed into a stationary lorry along Mbarara-Kabale highway in Ntungamo District. The ruling National Resistance Movement (NRM) chairperson for Rukiga District who's popularly known as Aponye, died...
  11. Sildenafil Citrate

    Ajali yaua watano Morogoro na Kujeruhi wengine 10

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa katika eneo la Iyovi baada ya gari aina ya Costa iliyokuwa ikitoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam kujaribu kulipita Lori lililokuwa limeharibika njiani na kugongana na Lori jingine lililokuwa likitokea Mikumi. Ajali hiyo imetokea hii leo...
  12. Suley2019

    Ajali ya gari Kimara Suka

    Gari la abiria lililokuwa linatoka Makumbusho kwenda Mbezi likiwa limeingia kwenye mtaro baada ya kudaiwa kusukumwa na roli eneo la Kimara Suka jijini Dar es Salaam jana. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia ajali hiyo, walisema baadhi ya abiria walijeruhiwa. Credit: Nipashe
  13. C

    Prof. Lipumba apata ajali, gari yake yapinduka na kuharibika

    BREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..." Taarifa zaidi zitakujia hivi punde ======= Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amepata ajali eneo la Nangurukuru mkoani Lindi saa moja usiku jana Jumatano baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka...
  14. hydroxo

    Ajali ya gari Bagamoyo

    Wakuu leo kumetokea ajali mbaya sana Bagamoyo. Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajari hii atujuze. === Coaster inayofanya safari zake kutoka Bagamoyo kwenda Morogoro, imepata ajali kwa kugongana na Canter katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo asubuhi ya January 8, 2023. Watu watano...
  15. Sildenafil Citrate

    Manyara: Ajali yaua watumishi watatu wa TANESCO

    Watumishi watatu wa TANESCO mkoa wa Manyara, Loren Materu, Emmanuel Thobias na Nassoro Mtime wamefariki dunia baada ya gari lao kugongwa la lori linaloaminika kuwa lilipata hitilafu kwenye breki. Aidha, watu wengine watatu wamepelekwa hospitali baada ya kupata majeraha. Swahili Times
  16. BARD AI

    Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

    Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake. Alisema...
  17. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Singida: Watu 6 wafariki kwa ajali ya gari

    Ajali mbaya iliyo husisha gari dogo aina ya Raum imetokea wilayani Mkalama katika mkoa wa Singida. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Mzee Kinana nilikwambia kupitia uzi fulani hapa, kazi iendelee. ======== Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum...
  18. I

    Mkono kupoteza hisia baada ya ajali ya gari

    Habari za mida hii. Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini na mfupa wa juu). Akawekewa POP kwa wiki sita, ila mpaka sasa mkono huo wa kulia hawez...
  19. JanguKamaJangu

    Wanafunzi watatu UDOM wafariki katika ajali ya gari

    Wanafunzi watatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamefariki Dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Juni 4, 2022 jioni katika moja ya barabara zilizopo chuoni hapo. Ofisa Uhusiano wa chuo hicho, Beatrice Baltazar amesema ajali hiyo imetokea jana Juni 4, 2022 saa...
  20. JanguKamaJangu

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi apata ajali ya gari, chanzo ni mwendokasi

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Bombo baada ya kupata ajali ya gari katika Barabara ya Tanga-Segera eneo la Hale Wilayani Korogwe. Kaimu RPC wa Tanga, David Mwasimbo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyotokea usiku wa kuamkia...
Back
Top Bottom