tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kennedy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Daniel Lema, Mwanzilishi wa Radio Safina iliyopo Kaloleni, Arusha amefariki

    MKURUGENZI WA HUDUMA YA SAFINA REDIO ARUSHA MAMA, HELLEN DANIEL LEMA ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MUME WAKE MPENDWA AMBAYE NI MUASISI WA HUDUMA YA REDIO SAFINA ARUSHA DR. DANIEL LEMA KILICHOTOKEA JUMATANO YA SEPTEMBA 23 2026 KATIKA HOSPITALI YA SELIANI JIJINI ARUSHA (ALMC). MIPANGO YA MAZISHI...
  2. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Inna lillahi wa Inna ilayhi rajioon May Allah Ta’ala grant her and all marhoomeen total Maghfirah and Jannatul Firdaus May Allah Ta’ala grant all the bereaved Sabrun Jameel and Aafiyah Aameen Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume...
  3. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

    Ni huzuni & majonzi Ameumaliza mwendo Kazi ya Mungu Haina makosa Mshiriki, Mzee wa Kanisa na Muinjilisti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mjini Kati Arusha Alishiriki vema akitoa Zaka na Sadaka Aliishi vizuri sana na washiriki Wenzake Alikuwa Mnyenyekevu na mwenye hofu ya Mungu...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TANZIA:- Buluba James amepatikana akiwa amekufa baada ya kupotezwa/ kutekwa mwezi wa sita

    TANZIA Kwaya ya AICT Nyarugusu, wanasikitika kutangaza kifo cha Mwl Buluba James (1997-2026) Mwl Buluba alipotea tangu mwisho wa Mwezi June 2026 alipoiaga familia yake kuwa anaelekea Mkoani Morogoro kununua Kinanda(used) kwa watu aliokubaliana nao. Kinanda hiki kilikuwa ni sehemu ya...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania John Heche moments special thread

    John Wegesa Heche ni mwanasiasa mashuhuri nchini Tanzania na sasa anahudumu kama Makamu Mwenyekiti (Bara) wa chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA. Anajulikana sana kwa hotuba zake zenye ushawishi mkubwa, uwezo wa kuhamasisha wananchi kuanzia ngazi ya chini, na harakati zake za dhati za kupinga...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Polisi wafunga comments za post ya Tanzia ya Richard Ambwao

    Hii ni kuzuia maneno ya chuki kutoka kwa raia.
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikufa kwa Corona hata kama maandiko ya awali yana match tulichosema Mwaka huo, tuache conspiracy

    Naona wananzengo wanaleta hata tweet nilizofuta sijaelewa kwanini zitrend muda huu! Kiufupi Magufuli alipuuza masuala ya wataalamu akaleta kujifukiza Kumbe anajimaliza yeye na battery ya moyo Ujumbe nilopewa na mstaafu hauna uhusiano na kifo chake Je kwanini trend now nisiletewe matatizo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake. Jeshi hilo...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja afariki kwa kung'atwa na nyuki eneo la Bweri, Musoma Mkoani Mara

    https://www.youtube.com/watch?v=Do0-6e7Bs-Q
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania Muombolezaji afariki Dunia kwenye Msiba wa James Temba, Mwanafunzi Wa IFM Kilimanjaro

    Mwombolezaji Leah Ngowi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 mkazi wa Kiboriloni wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (IFM), James Temba (24). Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Mei 7, 2026...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nabii feki Uegber Angel adai Rais mstaafu wa Zambia Lungu alikufa kwa sababu alimkatalia kuingia Zambia

    Nabii feki Uegbert Angel toka Zimbabwe amedai mbele ya misukule inayomwabudu kuwa kifo cha Rais mstaafu wa Zambia Hayati Edgar Chagwa Lungu kimesababishwa na yeye kuzuiliwa kuingia nchini Zambia enzi za uhai wa Lungu. Amedai Hayati Lungu alimzuia kuingia Zambia. Ikumbukwe huyu nabii feki...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mtoto wa miaka miwili afariki kwa kula nepi

    Tukio la kusikitisha limeripotiwa kutoka katika Jimbo la Indiana Nchini Marekani ambapo Mtoto wa miaka miwili amefariki dunia kutokana na hali mbaya ya malezi na ukosefu mkubwa wa chakula Nyumbani kwao, taarifa za awali zinaeleza kuwa Wazazi walikuwa wakiwanyima chakula Watoto wao hali...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Meya Mstaafu Mahmoud Mussa Wa Jiji La Zanzibar Afariki Dunia

    Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Zanzibar, Ndg. Mahmoud Muhammed Mussa amefariki Dunia leo Aprili 6, 2026. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Familia ambapo Maziko yatafanyika kwake Fuoni Mambosasa na Maiti itaswalia Msikiti wa Mwembeshauri...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Afariki Dunia baada ya kushambuliwa shambani Masasi - Mtwara kisa mgogoro wa ardhi

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwongozo, Hidaya Chiwembi (51), ameuawa baada ya kupigwa kichwani na kunyongwa shingo kutokana na mgogoro wa mipaka ya shamba lake, kisha mtuhumiwa kutoweka. Tukio hilo lilitokea usiku wa Machi 28, 2026, katika kijiji cha Mdenga, kata ya Nangoo, wilayani Masasi, mkoani...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fish Pond Mystery! Mtoto wa Miaka 3 Afariki Shuleni Drowning ama Kuna Kitu Kinafichwa?”

    A very disturbing incident imeibua maswali mengi sana after 3-year-old pupil Faiz Faraj tragically lost his life at Gilgil Hills Academy, Nakuru County. According to reports, the young boy alikuwa darasani kama kawaida until around 11AM when he was reported missing. Shockingly, saa mbili...
  16. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Singida: Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya wazazi CCM na Familia yake wanahofiwa kufariki, baada ya gari yao kusombwa na maji Mto Mang’onyi

    Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami, mke wake, mtoto pamoja na dereva wao, wanahofiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji katika daraja la Mto Mang’onyi, wilayani Ikungi mkoani Singida. Inna...
  17. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lukuvi, Mbunge king’ang’anizi afariki dunia

    Unaweza kusema ni mbuyu umeanguka katika siasa za Tanzania, kwani William Vangimembe Lukuvi ndiye aliyekuwa mbunge mkongwe kuliko wote katika Bunge la 13 linaloendelea sasa na waziri mwenye uzoefu mkubwa kuliko wengine. Waziri Lukuvi aliyeingia bungeni tangu mwaka 1995 aligombea na kushinda...
  18. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Tanzia: William Lukuvi Afariki kwa Mshtuko wa Moyo katika Hospitali ya Benjamine Mkapa- Dodoma

  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa page ya ngono ya Only Fans afariki dunia

    Jamaa kafa na miaka 43 tu Alikua ni mwisrael na myahudi aliyekua sehemu ya mchango mkubwa kwa Israel Alikua anatoa mabilioni ya pesa kufadhili taifa la Mungu la Israel Alikua anamiliki page za ngono na pia alikua anamiliki makampuni ya kushoot video hizo sio hivyo tu jamaa alikua kaajiri...
Back
Top Bottom