mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar-ASP

    KERO Stendi kuu ya mabasi ya Moshi (Kilimanjaro) imejaa ujinga, upuuzi, uchafu na ushamba uliopitiliza

    Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya ajabu, yaani uchafu, ushamba na ujinga wa kiwango cha juu kupitiliza tena mamlaka za serikali...
  2. T

    Stendi ya Mabasi Sengerema ina hali mbaya, Halmashauri haioni?

    Moja kwa moja kwenye mada. Stendi ya Mabasi Sengerema ni moja ya stendi inayohudumia magari mengi kwa siku. Magari yote yanayokwenda mikoa ya Kigoma, kagera, Geita na wilaya zake kutoka Mwanza yanapita hapo. Kinachosikitisha stendi imejaa mashimo kama majaruba, gari zinapita kwa shida, Ushuru...
  3. Roving Journalist

    Arusha: Jeshi la Polisi laendelea na ukaguzi wa mabasi ya Shule ili kubaini magari mabovu na kuyazuia

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limesema linaendelea na ukaguzi wa magari ya Shule ikiwa ni utaratibu wao wa kila mwaka kabla ya muhula wa masomo kuanza ambapo imekuwa ikifanya ukaguzi wa magari hayo ili kubaini changamoto na kutoa maelekezo ya matengenezo ya vyombo...
  4. Roving Journalist

    Katavi: Dereva aliyetoa taarifa ya Basi lake analoendesha kuwa bovu afukuzwa kazi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kimechukizwa na kitendo cha baadhi ya wamiliki wa mabasi kuwafukuza madereva kwa kudaiwa kutoa taarifa kwa mabasi mabovu kwa Vyombo vya Usalama Barabarani ambapo limesisitiza sheria kali kuchukuliwa dhidi ya mmiliki atakaye mfukuza dereva. Deus...
  5. Mhaya

    Rasmi: AZAM TV watambulisha visimbuzi maalumu vya kwenye mabasi ya mikoani na magari ya safari ndefu

    Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo. ======== Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with...
  6. Nyafwili

    Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula. • Dar - - Mwanza • Dar - - Mbeya • Dar - - Kigoma • Dar -- Arusha • Dar --...
  7. Roving Journalist

    Mabasi matano yazuiliwa kuendelea na safari Mbeya kutokana na changamoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha usalama barabarani limeyazuia mabasi matano ya abiria katika Stendi kuu Jijini Mbeya kuendelea na safari baada ya kukutwa na changamoto katika mifumo mbalimbali. Akizungumza mapema Desemba 26, 2023 Mwanasheria Mkuu wa Kikosi cha usalama...
  8. Roving Journalist

    Madereva wa mabasi ya abiria watakiwa kuacha matumizi ya vilevi kuepuka ajali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limefanya ukaguzi wa mabasi ya abiria katika Stendi Kuu ya Mabasi kabla ya kuanza safari na kuwataka madereva kuzingatia Sheria, Kanuni, Alama na Michoro ya Usalama Barabarani ili kuepuka ajali. Akizungumza Disemba 23, 2023...
  9. Mhafidhina07

    Serikali tafuteni suluhu kwenye mabasi ya mwendokasi mtasababishi magonjwa au vifo vinavyoweza kuepukika

    Jamani kwani serikali inakazi gani??inakuwaje inaleta mfumo mpya kwa lengo la kurahisisha na kuleta ufanisi katika anga la usafiri lakini inashindwa kabisa kufata sheria walizoweka wenyewe?? Juzi nimetoka zangu mkoani kuja zangu Daaslamu huku usafiri mkubwa na watabu ukiwa ni...
  10. BARD AI

    Nigeria: Serikali yafuta nauli za Treni, yapunguza nauli za Mabasi kwa 50%

    Serikali imepunguza 50% ya Nauli za Mabasi pamoja na kufuta Nauli za Usafiri wa Treni za Umma kwa lengo la kuwapunguzia Wananchi gharama za Maisha hasa katika Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka. Taarifa ya Serikali, imeeleza kuwa Rais Bola Tinubu ameagiza Mabadiliko hayo yaanze leo Desemba 21...
  11. JanguKamaJangu

    Polisi, LATRA wapiga faini mabasi yaliyozidisha nauli Arusha

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamefanya ukaguzi wa kushtukiza ili kubaini kama Wananchi wanalipa nauli halali zilizotangazwa na Serikali mapema mwezi huu ambapo wamebaini baadhi ya wamiliki na mawakala...
  12. JF Member

    UZUSHI Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) Imebadilishwa Jina

    Mlioko hapo Karibu embu mtujuze iwapo hizi habari ni za kweli. Wengine wanasema kuna kikundi kimepewa kazi maalum ya kushughulikia legacy. Kimeona umati mwingi wa wageni unafika hapo Toka mikoa mbalimbali na hivyo Jina la Magufuli linaweza lisifutike.
  13. I

    Taratibu za kusajili biashara ya mabasi ya mikoani Tanzania

    Habari, Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
  14. Pdidy

    Haya mabasi mnayoamsha na abiria asubuhi msiache kutenda mema siku zote

    Kidogo tumeanza kubadilika Majuzi nilisafiri na basi moja to Arusha Wakataka details zangu hamad nikaweka alarm, yaani sijaamka Nasikia simu habari naviga toka kampuni fulani safari yako ni saa tukukute kituo fulani muda wa kuamka sasa Nilipenda sana nikatamani na ndege mtuamshe hivi maana...
  15. The Gojo

    Kero katika stendi kuu ya mabasi Dodoma

    Habari! Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao...
  16. BABA SANIAH

    LATRA njooni Mbagala, wenye mabasi ya kwenda Kusini wanajipangia nauli zao

    Habari za muda huu. Nawasihi na kuwaomba LATRA mkoa wa Pwani wake huku Mbagala stendi ya shamba, maana haya magari ya kwenda Mkuranga, Kibiti, Kimanzichana mpaka Rufiji wao wamejipangia nauli zao. Mfano Jana abiria wa Kimanzichana Mbagala wamelipishwa nauli 4,000 wakati nauli Hali ni 3,100 tu...
  17. K

    Malipo ya 500/= getini stendi ya Magufuli magari madogo yanayotoka na abiria;

    Nimeshangazwa sana na malipo yanayotozwa getini stendi ya Magufuli, kwa magari madogo yaliyobeba abiria walioshuka kwenye mabasi. Kuna jamaa getini anachukua mia tano kwa kila gari ndogo inayotoka, bila kutoa risiti, na mlipaji ni abiria. Hizo pesa zinaishia wapi na ni tozo za sababu gani?
  18. Oppo A17k

    Hili hapa Jedwari la nauli kwa mabasi ya Masafa Marefu Tanzania kuanzia 8th December 2023

    Mambo yanazidi kuwa mazito waTanzania gharama za maisha zinapanda siku hadi siku. Sijui sisi wa hali ya chini kama tutaweza kumudu haya maisha
  19. BARD AI

    Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

    USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa...
  20. Anti-Hacker

    Kero ya kubadili njia "Route" kwa mabasi ya usafiri (daladala) ya Buza to Kawe

    Habari zenu wapendwa na Moderators. Ni kitambo sana sijaaandika kitu humu jamii forums, ila leo nimeamua kuandika hii kero ambayo imenikumba mara kadhaa. Ninaomba, hii taarifa iwafikie LATRA, SUMATRA CC, na Jeshi la Police Tanzania kitengo cha usalama barabarani, pia iwafikie umoja wa...
Back
Top Bottom