mabasi ya mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kibaha: Huduma ya Mabasi ya Mwendokasi Kibaha - Kimara imerejea leo Julai 6, 2026

    Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetangaza kurejeshwa kwa huduma ya usafiri wa Mwendokasi kuanzia leo 06 Julai 2026! Pichani ni mabasi katika Stendi ya Kibaha! Pia soma ~ Mwendokasi imesitisha huduma Kibaha na hakuna maelezo
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kwanini Mabasi ya Mwendokasi yanaondolewa kodi wakati Mabasi ya Masafa marefu hayana msamaha?

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza leo Juni 23, 2026 alipokuwa akichambua Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27. Pia soma ~ Mpango wa LATRA kusitisha vibali vya daladala njia ya Mbagala kuingia mjini ili kupisha Mofat pekee ni kwa maslahi ya nani?
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kadi za Mabasi ya Mwendokasi ziboreshwe, lamination ikitoka, namba zinapotea

    Hizi Kadi za Mwendokasi inabidi ziboreshwe, unakuta ikiwa mpya au haijapata shuruba zozote inaonesha Namba ya Card ambayo Imeprintiwa juu ya lamination... Sasa lamination ikitoka Namba ya Kadi nayo inaondoka, hali hiyo imekuwa kesho hasa kwa sisi ambao wengi tunatembea nayo mfukoni muda mwingi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mchakato wa utoaji wa tenda ya kujaza gesi kwenye Mabasi ya Mwendokasi kwa Lake Oil ulikuwaje?

    Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia. Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia gesi katika maeneo mbalimbali ya Jiji, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia mabasi ya mwendokasi...
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwendokasi (DART) yakihudumia abiria gereji (kazi na utu)

    Mabasi ya Mwendokasi yakiwa yamejipanga tayari kuhudumia abiria huko gereji Ubungo Terminal. Kazi na utu.
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania LATRA: Nauli ya Mabasi ya Mwendokasi Kubaki TSh. 750 Hadi watakapojiridhisha Changamoto zote za usafiri huo zimekwisha

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeeleza kuwa nauli ya mabasi ya mwendo wa haraka itaendelea kuwa shilingi 750 hadi pale watakapojiridhisha kuwa changamoto zote za usafiri huo zimekwisha. Baada ya hapo, nauli hiyo itapandishwa na kufikia shilingi 1,000. Kauli hiyo imetolewa na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro: Watatu wakamatwa kwa kuharibu Mabasi ya Mwendokasi, wengine wasakwa katika fujo Magomeni

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne, amesema mbali na Mabasi ya Mwendokasi na Vituo vinne vya Mabasi hayo kupigwa mawe usiku wa jana, baadhi ya Wananchi hao walifanya fujo katika Vituo viwili vya Polisi ambavyo ni Kituo cha Polisi Magomeni Usalama na Kituo cha Polisi...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  9. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    Kwa kweli sijawahi kuona raia useless kama hawa wa Kimara na viunga vyake. Yaani kila siku wanateseka na foleni, wanabebwa kama mizigo kwenye mwendokasi, lakini bado wako kimya, wakiwa wamekaa kwa roho ya “basi tuendelee tu.” Ni aibu. Hii siyo tena subira wala uvumilivu – ni upumbavu uliokomaa...
  10. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Serikali mkitaka mabasi ya mwendokasi yadumu nyie fungeni SPEED GAVANA

    Barabara za mwendokasi ni nyembamba na zina kingo kubwa ni uzembe kwa serikali kuacha madereva wa mwendokasi wanaendesha zaidi ya speed 40! Chanzo kikubwa cha ajali mabasi ya mwendokasi kinatokana na mambo mawili 1. Speed kubwa- unakuta dereva anaendesha mpaka speed 80! hii ikitokeza shida...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Je, wakazi wa Mbagala wataweza kutunza mabasi ya mwendokasi yenye viyoyozi na WiFi?

    Mabasi ya sasa. Hali ya usafiri wa mbagala. Mabasi ya mwendo kasi njia ya mbagala yasiopungua 150 yameshaingia mjini. Swali ni je wanambagala watakuwa na ustaarabu wa kuyatunza?
  12. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Msongamano wa Mabasi ya Mwendokasi Wazua Maswali, Je, Serikali Inachukua Hatua?

    ni aibu sana kwa serikali kushindwa kuleta mabasi hata ya dharura tu kwa ajili ya kuokoa hii hali iliyopo sasa! hivi kweli mtu anasubiria kituoni lisaa na nusu na bado anapanda kwa kugombania hadi milango inafunga kwa Taabu! kweli nimeamini hapa kuna jambo kubwa linaweza kutokea tena la KAFARA...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waarabu wakabidhiwa mradi mabasi ya mwendokasi

    DAR. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam. Soma pia: Mabasi mwendokasi Mkataba huo ulisainiwa rasmi Ijumaa, ukiashiria...
  14. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mateso katika mabasi ya mwendokasi

    Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) jijini Dar es Salaam, hasa barabara ya Posta/Gerezani kwenda Kimara, uliwahi kuonekana kama suluhisho la uhakika kwa adha ya usafiri. Hata hivyo, hali halisi kwa sasa ni ya kusikitisha. Safari zimekuwa mateso, msongamano ni wa kutisha katika mabasi haya kiasi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DART: Mwisho wa Tiketi za Karatasi kwenye Mabasi ya Mwendokasi ni Juni 30, 2025

    YAH: KADI YA MWENDOKASI KWA SHILINGI 1,000/- TU! Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unautaarifu umma kuwa ili kusafiri kwenye mfumo wa DART, kila msafiri anapaswa kuwa na Kadi ya Mwendokasi. Katika kuboresha huduma na mfumo wa ukusanyaji wa nauli pamoja na kuruhusu wateja wetu kutumia...
  16. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Kwanini ticket za mabasi ya mwendokasi zisikatwe kupitia mawakala wa Bank?

    Usafiri wa mabasi ya mwendokasi upo taabani yawezekana Kuna wizi uliyokithiri na hii ndio huluka ya watanzania na kama ni wizi basi upo katika ukutishaji wa ticket Ukienda kukata ticket unalikuta libaba ndio kinakatisha ticket uwaga najiuliza hivi kweli libaba kama hili mshahara pekee wa hapa...
  17. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kupata kadi ya mabasi ya mwendokasi

    Habari ndugu zangu, Jumapili nikijaaliwa nategemea kusafiri kwenda Dar. Naomba kujua utaratibu wa kupata kadi ya kupandia mabasi ya mwendo kasi. Inapatikana wapi? Nimezoea kwamba nikishuka kutoka kwenye boti napanda mwendo kasi moja kwa moja. Je, pale pia wanauza kadi hiyo?
  18. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa mabasi ya mwendokasi yanapitiliza bila kubeba abiria, wanadai eti wanawahi kufuturu

    Nipo kituoni Kimara Korogwe nangoja Gari ya kwenda Morocco, mabasi zaidi ya Tisa yamepita kuanzia SAA 12.06 jioni nilipofika. Magari yanapitiliza bila kubeba abiria, tumembananisha mtoa Huduma atueleze shida ni nini? Anadai eti wanawahi kufuturu. Hii ni funga GANI? Unataka ukafuturu peke yako...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Ruti ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala - Mjini itaanza Mei, Wadau wetu walipata changamoto

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama ilivyopangwa awali. Chanzo: Azam TV Pia soma: ~ Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa huduma rafiki kwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Mabasi ya mwendokasi umeyeyuka?

    Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
Back
Top Bottom