Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli.
Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo...
Sisi tuliotembea nchi kama South Afrika na Ulaya tunafahamu haya
Ukiwa na safari na basi unaweza ukapandia popote. Unaweza ukapandia kwenye ofisi za basi unalotaka kusafiri nalo, ukapandia hata kwenye mgahawa linapopita.
Hii ya Mkuu wa mkoa wa Dar kusema daladala zitakosa wateja ni pointless...
1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam.
2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji.
3...
Inasemekana Malori na ICD zote kuhamishiwa Bandari kavu ya Kwala kama Magufuli alivyopanga na kujenga bandari kavu na kupeleka Treni kule.
#Magu- mtanikumbuka.
Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza...
Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;
Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI
Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand,
Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi kuliona katika stendi nyingine za mikoani.
Ndiyo maana baadhi ya abiria wameanza kuepuka kupandia...
Anonymous
Thread
basi
dodoma
kuingia
kulipia
kupanda
mabasi
stendi
stendi ya mabasi
tiketi
ushuru
wazi
wizi
Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu kwa daladala na magari madogo mjini. Hivyo, hata kama mmiliki wa mabasi anayo terminal kubwa ya kupaki...
Mabasi yapo Maeneo Mengi ya Dar kwenye ofisi zao Binafsi ili kuturahishia Maisha.sio chanzo cha Foleni!
Shida ni Yard na Maloli kila kona, Mkuu wa Mkoa aelekeze nguvu zake kwenye Malori na Dry Port zinazooteshwe kila kukichq! Walitengewa eneo lao Pwani, kwanini waendelee kusumbua maisha ya watu...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka Waendeshaji wa mabasi Jijini Dar es salaam kuzingatia utaratibu wa kupakia na kushusha abiria katika vituo vilivyopangwa na Halmashauri.
Kwa mujibu wa LATRA, mabasi yanayotoka Mikoa ya Kaskazini na maeneo mengine yanatakiwa kutumia Kituo cha...
Chalamila anasema, ili kupunguza msongamano wa magari mjini, mabasi yaishie Magufuli stand, halafu wawe na shuttle za kupeleka watu mjini. Hivi mnamwelewa huyu bwana? Basi moja la abiria 45 likifika Magufuli stand litahitaji kwa wastani shuttle mbili ili kufikisha watu mjini. Sasa basi moja kwa...
Wabongo tunapenda sana kujipa vitengo na hekaheka zisizo na msingi.
Imagine mwanadada anajipa kazi ya kutusomea password halafu abiria tunaacha kila kitu tunabaki kusikilizia kwa makani Password.
Ya nini yote hayo?! Si angebandika tu hiyo password kwenye maeneo kadhaa kwenye kuta za basi...
Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mara nyingi, ninapotokuwa na safari ya dharura, hutumia usafiri wa basi.
Katika safari hizo, nimefuatilia kwa karibu huduma zinazotolewa na mabasi mengi yanayojitangaza kuwa ya VIP, na kubaini...
Anonymous
Thread
haziendani
huduma
kutoa
mabasi
nauli
ubora
ubora wa huduma
uchunguzi
Wakuu kusafiri Stendi ya Misuna iliyopo Singida Mjini ni kipengele kikubwa, tiketi unakata saa kumi jioni ili uondoke saa 3 usiku matokeo yake mpaka saa saa saba za usiku hujui hatima ya safari yako.
Tiketi tunazokata ni za elektroniki lakini hakuna kufuata muda licha ya uwepo wa traffic na...
Anonymous
Thread
kuondoka
mabasi
mbovu
muda
singida
stendi
utaratibu
utaratibu mbovu
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetangaza kurejeshwa kwa huduma ya usafiri wa Mwendokasi kuanzia leo 06 Julai 2026!
Pichani ni mabasi katika Stendi ya Kibaha!
Pia soma ~ Mwendokasi imesitisha huduma Kibaha na hakuna maelezo
Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka.
Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji
makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro
Weka sheria...
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
Pia soma ~ Wamiliki wa mabasi wapewa wiki...
Mugonile/Mlivyedi
Привет hii ni kutoka hapa chuo kikuu cha RUDN.
Moja kwa moja kwenye hoja.
Nawapongeza wawekezaji kama huyu jamaa ambaye nasikia ni kutoka nyanda za juu kusini huku mbeya.
Hizi ndiyo mashine za kazi sasa na hapa kachukua nne kwa mpigo, hii nampa 👊🏾 sababu angeweza kushuka...
Sisi millennials tupeane story za ujambazi wa kutisha uliotikisa miaka ya 2000 kurudi nyuma
Watu wa mkoa wa Kagera tukumbuke Yale mapori ya Kasindaga na Kimisi,
Pale wahuni waliuwa na kuibia watu kibabe sana
Namkumbuka ilikuwa 1998 nikiwa mdogo mno, nadhani chekechea.
Usiku wa manane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.