shabiby

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kutoka Dodoma kwenda Tanga kupitia Chalinze, panda mabasi bora ya Shabiby lile, ruti iko vilevile

    Kumekuwa na maneno, machapisho mitandaoni kwamba, ruti ya mabasi ya Shabiby Line kutoka Dodoma kwenda Tanga kupitia Chalinze imekufa. Siyo kweli hata kidogo. Ruti hiyo bado ipo palepale na ipo vilevile. Dodoma- Tanga na Tanga- Dodoma kupitia Chalinze kama vibao vya utambulisho mbele ya mabasi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shabiby: Kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa masilahi binafsi

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, akidai kuwa baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa masilahi binafsi huku wananchi wakiendelea kuumia kutokana na gharama kubwa za dawa. Akichangia hotuba ya Wizara ya Afya Mei 11...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ahmed Shabiby: Mapapa makubwa yamehodhi tenda za kuleta dawa nchini, nyingi ni feki na zina Milligram chache

    Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amesema kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, akidai kuwa baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa maslahi binafsi huku wananchi wakiendelea kuumia kutokana na gharama kubwa za dawa. Akichangia hotuba ya Wizara ya Afya...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa kwenye ajali ya Shabiby na Lori mkoani Iringa

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Shabiby aina ya Youtong likiendeshwa na Michael Mbugi likitokea Dodoma kwenda Mbeya na kupata ajali katika eneo la Tanangozi, Kata ya Mseke mkoani Iringa, alfajiri ya leo Mei 8, 2026 baada ya kugongana na lori la...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Shabiby Bus Terminal waboresha vyoo vya Kituo cha Shabiby Bus Terminal - Dodoma

    Kampuni ya mabasi Shabbiy Bus imefanya maboresho ya vyoo katika Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria jijini Dodoma, ambavyo awali vilikuwa katika hali ya uchakavu, hatua inayolenga kuboresha mazingira na ustawi wa wasafiri. Mbali na marekebisho hayo, kampuni hiyo inaendelea na ukarabati mkubwa wa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Shabiby: Sijaitwa TAKUKURU na hakuna wa kunitisha

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 02, 2026, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Shabiby amesema taarifa hizo si za kweli, akisisitiza kuwa hakuna hata mmoja wao aliyepokea wito kutoka TAKUKURU kama inavyodaiwa. “Hapana, mimi sijawahi kuitwa, na hata nimemuuliza mwenzangu Kangi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mkakati wadaiwa kupangwa kuwashambulia Shabiby, Kangi Lugola

    KUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mkakati huo umefichuka siku moja baada ya Mkurugenzi wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge kukemea ufisadi bungeni ni kumsaidia Rais Samia. Shabiby, Kangi Lugola wakitajwa

    Bunge la 13, Mkutano wa Pili unaendelea Jijini Dodoma ambapo waheshimiwa wabunge wanaijadili hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Novemba, 2025 wakati akifungua bunge hilo tukufu la 13 tangu Uhuru. Kila mbunge aliyepata nafasi ya kuongea kuhusu hotuba hiyo, aliangalia kile ambacho anaweza kukichakata...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawaita Shabiby na Kangi Lugola

    Gazeti la Mwananchi la Januari 31, 2026 hii ndiyo haba kuu ambapo wamedai, Bosi wa Takukuru afunguka sakata likichukua sura mpya, orodha yasubiriwa. Wasomi wataka hoja zisiishie bungeni, hatua zifuate. Huku Chief Odemba akiandika alichokisema, Crispin Chalamila, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania AHMED SHABIBY AWALIPUA MAFISADI, ASEMA YEYE NI USALAMA WA TAIFA WA KUJITEGEMEA

    MBUNGE wa Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Ahmed Shabiby amewalipua mafisadi akisema kuwa, kwa sasa wanapiga pesa kiuhakika na kuporomosha majumba ya maana. Shabiby ameyasema hayo, leo bungeni Dodoma katika Bunge la 13, Mkutano wa pili, Kikao cha pili kilichoongozwa na Spika Mussa Azzan...
  11. Zogoo da khama

    JamiiForums Tanzania KERO Barua ya wazi kwa Shabiby bus

    Naleta kwenu lalamiko langu kama ifuatavyo: Mnamo tarehe 4. 12. 2025 majira ya saa 1:40 usiku nilifika kituo cha mabus Mbezi Magufuri terminal kutuma bahasha kwenda ofisi ya Tanesco Dodoma, nilipokelewa na mhudumu wenu na kupewa ref ya mzigo no SSB 961 AKZ baada ya kufanya malipo, jambo la...
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CCM Gairo, Ahmed Shabiby afanya kampeni zake kwa helikopta

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shabiby kutoa mikopo ya Pikipiki isiyokuwa na riba huko Gairo

    Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo. Shabiby...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Shabiby Line ya Dodoma-Songea acheni uswahili tunzeni muda

    Kama basi linatakiwa kuondoka saa 02.00pm Songea kwanini mpaka sahivi haionekani? SuperFeo ya route hiyi kashafika mbali. Wahudumu mtakuja kuua biashara za watu, achenu uswahili.
  15. M

    JamiiForums Tanzania KERO Shabiby Bus Acheni kukera

    Inakuaje kampuni ya usafiri kubwa na yenye jina kama Shabiby mnakera abiria kwa kuwafungulia muziki kwa sauti kubwa usiku wa manane? Gari zenu mnazo nzuri tu ila uswahili ndio umetamalaki kupitaliza. Badilikeni jamani. Makelele ni dalili ya ushamba uliopitiliza. Gari ni ya kiwango cha juu kwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya shabiby yapata tenda kusafirisha staff, wachezaji mashindano ya CHAN, yabandikwa logo ya chan

    Kinachotrendi mitandaoni kwa sasa ni Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line kupewa tenda ya kusafirisha staff wakiwemo wanasoka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 ambayo yanafanyika mwaka huu 2025. Kwa mujibu wa taarifa, tenda hiyo amepata Mkenya ambaye alipewa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    Hivi karibuni, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line iliingiza nchini mabasi mapya yasiyopungua 50 kwa ajili ya matumizi ya barabara za nchi nzima. Mabasi hayo ni aina ya Yutong D 14 yaliyotengenezwa nchini China yakiwa na Kilomita '0' (zero). Sifa kubwa ya mabasi ya Yutong D14 inaanzia hapa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ili tule pesa ya Shabiby kura ya maoni Gairo ni kumshindanisha na Prof. Joel Mmasa mgombe mwenye nguvu. Tutamchangia pesa ya fomu Profesa.

    Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo

    Mbunge wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo. Shabiby ambaye ndiye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo amechukua fomu mapema leo Juni 28. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Dar-Tanga 'kimewaka', Ratco aambiwa 'saizi' yake ni abood siyo shabiby line

    Kwenye mitandao ya kijamii leo, kumekuwa na habari kuhusu Kampuni ya Mabasi ya Ratco kuingiza barabarani mabasi mapya mawili na kuelezwa sasa mabasi hayo yatakuwa yanapishana nusu saa kuanza safari. Mchangiaji mmoja alikwenda mbele zaidi akiandika; RATCO AMETOA GARI MBILI LEO KWA KILA NUSU SAA...
Back
Top Bottom