WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 28, 2026 amewasili kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yanayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Bagamoyo, limepanga kupanda jumla ya miti 2000 mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya taasisi hiyo yatakayofanyika Mei 29, mwaka huu.
Kati ya miti itakayopandwa kwenye maadhimisho hayo yenye ujumbe...
Mjadala kuhusu mikopo ya vijana inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Vijana umeendelea kushika kasi, huku wadau wakitoa maoni yanayolenga kuboresha ufanisi na upatikanaji wa fursa hizo. Moja ya hoja kuu ni mapitio ya vigezo vinavyotumika kuwafikia wanufaika.
Akizungumzia mjadala huo, Vian...
Huwa nikikaa na vijana hasa , ambao wapo early twenties na ambao wapo early thirties
Ni kama wanaishi katika Dunia FAKE ambayo sio genuine. O.G
Utakuta ana miaka 20+ ila anakuambia mpaka anaingia miaka 30 atakuwa amesha Fu-ck odds ana Nyumba , gari , biashara n.k
Akiamini miaka 30 kuifikia ni...
Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi
Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
Nawakumbusha tu wote nyie namimi ndani ya miongo hii miwili tutaoza na kuwa mifupa kuna miongoni mwetu/ mwenu mwaka huu mtaiacha dunia. Usiku mwema MAREHEMU.
My people,
Kuna msemo unaonong’ona ukweli usiopenda kelele: maisha huanza ukiwa na miaka 40. Si kwa sababu ujana unaisha, bali kwa sababu akili inafunguka kama dirisha lililofuliwa vumbi. Hapo ndipo mtu huacha kukimbia ovyo na kuanza kutembea kwa mwelekeo
1. Miaka 40 ni umri wa ufahamu
Katika...
Japokua umri wa kustaafu hua ni miaka 60 uliozoeleka ila kwa jinsi mwili ulivotengenezwa peak performance yake ni miaka 35 baada ya miaka hio viungo vyote ya mwili hua vimefika kikomo katika ufanisi wa kufanya kazi kwa ufasaha, mbelen ap inategemeana tu Mungu alivokubariki ama kama ulijitunza...
HAKUNA KIJANA WA MIAKA 20+ ANAYEITWA "MASIKINI"... LAKINI UKIFIKISHA MIAKA 40 BILA PESA, UTAITWA "MTU HUYU NI MASIKINI KWELI KWELI!"
Hili linaweza kusikika kama kauli nzito, lakini ni ukweli. Kama kijana, fursa ya kujenga maisha yako ya kifedha ipo mikononi mwako. Ukikua huna pesa wala...
Wakati zaidi ya vijana 1,000 wakiwa wamepitia kwenye mafunzo yake, mwanasarakasi Mkenya Mathias Kavita alipokumbuka uhusiano wake wa miaka 41 na China uliostawi kwa muda mrefu na kuvuka mipaka ya kijiografia, uso wake ulikuwa wenye tabasamu la kujivunia.
Muda mfupi tu kabla ya siku yake ya...
Hanari.
Natafuta mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea ambaye atakuwa mke wangu. Awe mkristo na mwenye upendo. Pia asiye na familia kwa maana asiwe na mtoto.
Ni PM namba Yako kama upo serious
Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?
Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
Wakristo tunaamini mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi? Huyu huyu ambae alikuwa bachelor kwa miaka 40 ambaye hakua na mke wala kuonekana na mke?
Kama yeye mwenyewe tu alishindwa kuishi na mke sasa ataweza vp kunipatia mke? Mbona ni kitu ambacho haliwezekani?
Busu la Kenge
Huu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya 9min/km huwezi. JITATHMINI.
KIJANA WA CHINI YA MIAKA 40 usikae kivivu. Nyie mnaofanya kazi za...
Nilijua kwa kusema nina nia ya kugombea Urais wa Tanzania lazima watu watasema huyu ni kichaa, mwendawazimu, hawa vijana wa sahivi stress za maisha zinawasumbua, anatakiwa aende mirembe, afya la akili ni tatizo, maisha magumu nyie, huyu hata tofauti na deo kisandu n.k haya majibu na mengine...
March 7 mwaka 1985 baadhi ya wasanii waliounda kundi la “USA for Africa” walitoa kibao cha We are the World.
Lengo kuu la wimbo "We Are the World" lilikuwa ni kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia waathirika wa njaa na umaskini uliokuwa ukiathiri sana nchi za Afrika, hasa Ethiopia, katika miaka...
Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.
Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini Sana , aliwahi hadi kuuza drugs , n.k
Alichokifanya ni kuamua kuukataa umasikini kwa kuhakikisha...
Vijana wanaojitafuta katika mazingira ya kiafrika wamekua wakikumbana na changamoto nyingi zinazopelekea kubaki katika dimbwi la umaskini. Hata hivyo,kuna watu wamefanikiwa kujikwamua kiuchumi katika mazingira hayohayo,tunahitaji kupata maelekezo kidogo kutoka kwa wakubwa zetu waliofanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.