Nimekagua gari yangu kwenye mfumo wa Polisi unaonesha nina faini ya ubovu wa gari, faini hiyo imepigwa Mlandizi ndani ya wiki tatu zilizopita wakati sijawahi kufika kabisa na gari, pia kwa muda huo lilikuwa halitumiki.
Nimejaribu kufuatilia kwa mamlaka husika nimekwama, Leseni hiyo siyo yangu...
Ndugu zangu wa JamiiForums Wasalaam,
Naleta mada hii mbele yenu nikiwa kama mkazi wa eneo la Kata ya Mlandizi mkoani Pwani. Lengo langu kuu ni kuomba hifadhi ya utambulisho wangu (Anonymous), lakini pia kutumia jukwaa hili adhimu kufikisha kilio chetu kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, afande mmoja kutoka Dawati la Jinsia ameonekana akitoa nasaha kwa wanawake wa Mlandizi huku akiwashangaa kwa vitendo vyao vya ajabu wanavyofanya mbele za watoto wao.
Wanawake hao, ambao ni wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule mbalimbali wilayani humo...
Nipo Vigwaza, Mkoa wa Pwani natokea Dodoma. Kuna foleni kubwa kwa zaidi ya saa mbili sasa, na magari hayasogei kabisa. Foleni inaanzia eneo la Mlandizi hadi Chalinze, magari yanayotoka Dar es salaam hayasogei, na yanayotoka Morogoro nayo ni hali hiyo hiyo.
Naambiwa kuwa kero hii imekuwa kubwa...
MWISHO WA MNADA, WA BEI RAHISI.
MTEJA UTAKAEKUJA FAHAMU BEI SIO TENA 10M
KAMA umejipanga na 10M usisumbuke Kunitafuta.
GHARAMA YA SASA NI 17M bei ikipungua itashuka MWISHO 16M
Na Sio HEKA 2 zote nikikuuuzia utanibakizia namimi eneo la 30 x 30
So katika HEKA 2 toa 30 x 30 inayobaki ndio ipo...
Wazoefu wa hii miji/maeneo.
Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu mwenye maisha ya kati/chini - kati ya...
A. DAR ES SALAAM,
B. KIBAHA
C. MLANDIZI
D. BAGAMOYO.
Right Marker
Dar es salaam.
Shamba lenye ukubwa wa eka 20 linauzwa lipo kijiji cha Mbwawa karibu na Mlandizi wilaya ya Kibaha.
Lipo karibu na chanzo cha kudumu cha maji(mto) ambao haukauki.
Linafaa kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji au ujenzi wa Shule,hspitali nk.
Bei kila eka milioni 7.
0756 625 286
Chama Cha Walimu Wastaafu wilayani Mlandizi mkoani Pwani wamewahimiza wastaafu wenzao wastaafu wengine kutembelea vivutio vya utalii ikiwa ni sehemu ya kupongeza jitihada za kukuza utalii nchini.
Wastaafu hao wametoa wito huo wakati wa ziara waliyoifanya kwneye mbuga ya Saadani iliyopo mkoani...
Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja.
Akasema kuwa hali...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo.
Muhumiwa huyo alikuwa...
Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa.
Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers hatarishi humu na kukusanya 2,000 kwa madereva, jana tumeona shwari mpaka mlandizi hakuna hata kimoja...
Apartments for Sale
Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa.
Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool.
Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini)
Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
apartments
bahari
beach
beach plot
chang'ombe
dar
dar es salaam
duce
eneo
eneo linauzwa
for sale
houses
karibu
kinauzwa
kinondoni
kiwanja
kiwanja kinauzwa
linauzwa
masaki
mbagala
mlandizi
morocco
msasani
new
plot
plot for sale
plots
sale
temeke
with
Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.
Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na...
Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini sheli, Block J, kama unatoka Mbezi kipo mkono wa kushoto, kina ukubwa wa SQM 753 (39.56 urefu kwa 19.01 upana) ni kiwanja kwa ajili ya makazi.
Kiwanja kipo karibu na barabara ya Dsm-Morogoro maarufu morogoro road. Kutoka kituo cha magari Msufini mpaka...
Ubhukile msani wa JF.
Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini.
Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.