ruvu shooting

Ruvu Shooting Stars is a football club based in Dar es Salaam, Tanzania. They play at the Uhuru Stadium in the Tanzanian Premier League.
They primarily wear blue with yellow trim kits.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Baleke anayetakiwa kusajiliwa Ulaya ni huyu huyu aliyefunikwa na Ruvu Shooting au mwingine?

    Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
  2. Boss la DP World

    Robertinho: Tuko tayari kuifumua Ruvu Shooting

    Kocha mkuu wa club kubwa Tanzania(Simba SC) ndugu Robertinho, amesema kikosi kiko tayari kuikabili Ruvu Shooting ya Pwani. Akizungumza na Raia Mwema amesema wanatarajia kushinda kwa idadi kubwa ya mabao kwani mpira una maajabu hivyo yeye hajakata tamaa ya kutwaa ubingwa.
  3. D-Smart

    Polisi Tanzania na Ruvu Shooting hofu yatanda Ligi Kuu

    Polisi Tanzania na Ruvu Shooting wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuokoa nafasi zao katika Ligi Kuu Bara. Kila timu imebakiza mechi nne kabla ya msimu kumalizika na zinaonekana kutegemea miujiza kutoka kwa wapinzani wao ili kuepuka kushuka daraja. Pengo la pointi baina yao na timu zilizo...
  4. mugah di matheo

    Ruvu shooting leo wanamfunga mdomo utopolo

    Leo natarajia tambo na shombo nyingi za Masau Bwire. Ruvu 2 Utopolo 1. Timu lao bovu msimu huu.
  5. N

    Video: Inasikitisha jinsi Mayele alivyologwa Kigoma vs Ruvu shooting

    Mshambuliaji anayeshika nafasi ya pili kwa ubora kwa sasa barani Afrika nyuma ya Peter Shalulile, the greatest Fiston Mayele ambaye takwimu zinaonyesha ni mshambuliaji hatari kuwahi kutokea katika ligi ya Tanzania alikumbana na mauzauza ya ajabu huko kigoma Mayele kama ilivyo kwa team nzima ya...
  6. M

    Japo Mimi ni Simba SC lia lia, ila kwanini nimesikitika Yanga SC juzi kutoka Sare ma Ruvu Shooting FC Kigoma?

    Majibu yangu...... Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 ) Endapo katika hizi Tano kati ya Saba Yanga SC ilizozibakisha atakazocheza na Prisons, Mbeya City, Coastal Union, Mtibwa Sugar na Biashara...
  7. M

    Sare ya Yanga SC dhidi ya Ruvu Shooting FC ya Juzi ndiyo Kipimo tosha cha kama Wasipohonga huwa wanakuwaje

    Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake. Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada ya kuponea Tundu la Sindano nasikia Utamaduni wetu utaendelea kuanzia Mechi na Prisons FC pamoja na...
  8. Greatest Of All Time

    Admin wa Ruvu Shooting anaupiga mwingi huko Twitter

    Huyu jamaa amekuwa kivutio huko twitter kwa namna anavyoripoti mechi zinazohusu timu yake ya Ruvu Shooting. Kongole kwake...
  9. M

    Masau Bwire tumechoka na Tambo zako zisizo na maana kila Timu yako ya Ruvu Shooting FC ikicheza na ama Yanga SC au Simba SC

    Nakushauri tu Mwalimu Masau Bwire ( Msemaji wa Ruvu Shooting FC ) uwe unanyamaza tu kwani Tambo zako huwa haziendani na Ufanisi wa Timu yako Uwanjani pale ikikutana na Yanga SC au Simba SC sanasana huwa unaishia tu Kufungwa idadi Kubwa ya Magoli. Tumekuchoka na Unatuboa sana Kaka!!
  10. Kiboko ya Jiwe

    Haji Manara ndio ushindi. Hata akihamia Ruvu Shooting kuna uwezekano kombe likamfuata.

    Habari! Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi. Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi. Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na...
  11. May Day

    Wanajeshi humuenzi Shujaa wao aliyetangulia kwa kuongeza bidii vitani, Ruvu mmetuangusha

    Nimesikia visigizio kwamba Ruvu walikuwa wanaomboleza ndio maana wameshindwa kuhimili vishindo vya Simba aliyejeruhiwa. Tumtakie Mwedazake pumziko la Amani, ila niwatake Ruvu wakubali tu walizidiwa na ubora wa Simba kwani walihitaji ushindi wa kumsindikiza Shujaa/Mpiganaji wao. Mkubali tu...
  12. John Haramba

    FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

    Mchezo umemalizika, Chama anakabidhiwa mpira kwa kufunga hat trick. Full Time Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza Dk 90: Simba wanapiga pasi na kuumiliki mchezo. Dk 87: Mchezo umepungua kasi, Ruvu ni kama wamekata tamaa. Dk 82: Kocha wa Ruvu, Charles Mkwasa anaonekana kuwa katika masikitiko. Dk...
  13. Venus Star

    Leo Simba tunacheza 4-1-4-1 Kumkabili Ruvu Shooting kwenye AFC

    Wandugu leo tunacheza Formation ya 4-1-4-1 kwaajili ya kumbaka Ruvu.
  14. M

    Kwanini nasema Mechi ya leo ya Simba SC na Ruvu Shooting FC itakuwa Ngumu japo tukishinda nitashukuru na Kufurahi pia?

    1. Wachezaji wa Simba SC kwa sasa 95% ya Akili zao zipo katika Mchezo wa Shirikisho utakaochezwa Jumapili huko nchini Niger dhidi ya FC Gendamarie. 2. Wachezaji wa Ruvu Shooting FC ambao 85% yao ni Wanajeshi wanajua kuwa Wachezaji wa Simba SC huwa ni Waoga na hawapendi Kugongana hivyo watakuja...
  15. ESPRESSO COFFEE

    Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

    NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji RUVU SHOOTING vs Simba SC. Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea kuwa Bora? ===== 00' Kabumbu limeanza uwanja wa CCM Kirumba 03' Simba wanapata kona ya...
  16. M

    Ruvu Shooting ni Barcelona ya Bongo

    Kwa kweli Ruvu Shooting mlionyesha kiwango cha juu sana kimchezo katika mechi yenu na UTO ila tu bahati mbaya ile red card iliwatoa mchezoni. Na baada hapo ndipo UTO waka-take advantage ya number na matokeo ndio yakawa hivyo. Asanteni kwa kumbikiri Diara na sasa asubiri tu mimba za mapacha. I...
  17. M

    Baada ya kumjua Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting FC inayocheza na Yanga SC leo Jioni kuna haja ya Kusubiria Matokeo?

    85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
  18. Jumbe Brown

    Yanga 3- Ruvu Shooting 2: Ni Kweli Golikipa Metacha B.Mnata anahisiwa kuwa mzembe ama kutumika "kuiuza" timu?

    Kongole kwa wachezaji wetu, Mechi hii imetuonesha KUIMARIKA kwa kikosi chetu kila muda unavyozidi kwenda. Baada ya mpira kuisha ,ilionekana baadhi yetu mashabiki wa kilabu chetu pendwa tukimzomea KIPA wetu Metacha B.Mnata kutokana na kukasirishwa na magoli aliyofungwa. Je Metacha Mnata...
  19. Ghazwat

    Vodacom Premier League VPL | Ruvu Shooting Vs Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Juni 3, 2021 ambapo Ruvu Shooting wanawakabili na Simba SC kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Simba SC anaingia kwenye dimba akiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza kwa bao moja kwa bila dhidi ya Ruvu...
Back
Top Bottom