Naomba kujuzwa kuhusu aina za channel za YouTube zinazotakiwa kusajiliwa TCRA

McCollum

JF-Expert Member
Jan 10, 2023
384
679
Natoa salam kwa wana jamvi wa Jf kwa ujumla, specifically nazitoa salam kwa wana jukwaa wa Tech.

images.jpeg


Tukiachana na salam, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Naomba kuuliza je, ni aina gani za channel za YouTube zinahitajika kusajiliwa na TCRA?. Je, ni kila aina ya channel inahitaji kusajiliwa au kuna categorisation?

Natanguliza shukrani 💪
 
Back
Top Bottom