Tetesi: Chama Kipya cha Siasa kusajiliwa hivi karibuni

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,184
11,607
Wanajamvi kwema.....
Nachelea kusema katika siasa hakuna jambo linaloweza kutokea bila lengo. Mambo yote katika siasa hubuniwa na wabobezi, hupangwa, huchakatwa na hatimae hutekelezwa na wataalamu kwa umahiri, umakini na weledi wa viwango ili kusudi kuyafikia malengo yaliyowekwa kwa uhakika na ufanisi wa viwango.

Dr Wibrod Peter Slaa ameamua kuunda na kukisajili Chama Chake kipya cha siasa. Lengo na madhumuni ni ili aweze kukitumia kujaribu kwa mara ya mwisho kutimiza kiu na ndoto yake ya muda mrefu, yakua kiongozi mkuu wa TZ.

Amechukua hatua hii baada ya jitihada zake zote kugonga mwamba za kutafuta platform ili immbebe Urais 2025. Amejaribu Chadema ameona uwezekano ni mgumu mno kuachiwa nafasi, ACT wanamuona dr. Slaa kama ni mtu asietabirika na haaminiki na lakini na yeye Dr slaa haiamini ACT, anahisi atatupwa njiani kama alivyo fanywa hayati Bernard Membe.

Nyuma ya mpango huu kabambe wa Padre,Dr.Wibrod Peter Slaa wapo Mwambukusi, James Francis Mbatia na waathirika wenzake wa mapinduzi ya NCCR- Mageuzi yaliyofanywa na kiongozi wa mapinduzi Joseph Selasini ambae pia hataki kuskia mtu ambae anaitwa James Francis Mbatia akikisogelea Chama Chake kwa namna yeyote ile😜

Manguli wengine ambao wako nyuma ya usajili huu ni pamoja na vigogo kadhaa ndani ya CCM ambao hawaridhishwi na mambo yanavyokwenda.
Hawa wamejipanga na kukusudia kumpa changamoto Mwenyekiti wao 2025. Mambo yakiwazidi basi tunaimani lao na nguvu zao zinaelekezwa kwa dr.slaa na Chama Kipya.

Kwa wakati muafaka, na kwa umakini mkubwa, Dr slaa amepanga kuunganisha vyama vyote vya kiraia na kisiasa kwa miadi kuwa akifanikiwa basi kutakua na mgawanyo sawa wa vyeo na mamlaka. Umoja Party ni miongoni mwa wadau wa mwanzo sana kutaka kuunganisha nguvu na Dr Slaa.

Baadhi ya wadau wa siasa wamekosoa hatua ya Dr. Slaa wakidai ilalenga kuudhoofisha upinzani kwa kuzigawa kura za upinzani ili hatimae CCM ishinde kirahisi.

Wito wa kujiunga na Chama hiki umetolewa na Dr.Slaa mwenyewe kwamba watakapoanza kutafuta wanachama bara na visiwani ili kupata usajili wa kudumu, amewaomba vijana, wake kwa waume kujitokeza kwa wingi na kujiunga na Chama hiki ili kulikomboa Taifa kutoka kwa mkoloni mweusi.

Una maoni gani kuhusu hatua hii ya Dr. Wilbrod Peter Slaa?

Hadi wakati mwingine.......
 
Hapo hatokosekana Anna Tibaijuka

cc Mama Amon
 
Porojo ,Vyama vya msimu wa uchaguzi 🤣🤣
 
Slaa angepumzika Tu. Umri wake hauhitaj misuko Suki anayoilazimisha.

Alipopewa Ubalozi hakuonyesha tofauti yoyote Kati yake na mabaloz kutoka CCM

Alupokuwa Mbunge aliwafanyia nin Wana KARATU kinachoweza kumtofautisha na wabunge kutoka CCM.

Usije hapa ukadai kuwa Slaa alisema hiv au vile,, kusema ni rahis Tu Ila kutenda sasa
 
Mbunge huwa anatenda nini?
Anatoa hela mfukoni?
 
Slaa angepumzika Tu. Umri wake hauhitaj misuko Suki anayoilazimisha.

Alipopewa Ubalozi hakuonyesha tofauti yoyote Kati yake na mabaloz kutoka CCM

Alupokuwa Mbunge aliwafanyia nin Wana KARATU kinachoweza kumtofautisha na wabunge kutoka CCM.

Usije hapa ukadai kuwa Slaa alisema hiv au vile,, kusema ni rahis Tu Ila kutenda sasa
anadai anazo hoja za msingi kuikombo nchi ktk lindi la umaskini na unyonge wa kipato, ni mtu clean na anaaminika kitaifa na kimataifa na ndie pekee mwenye sifa za kua kiongozi wa nchi hii. Anadai anayoendosement na backing ya wananchi nchini lakini pia kimataifa. Kwahiyo hawezi kuacha fursa hiyo ambayo pia ni ndoto yake ya muda mrefu.

Hayo mengine ya umri na sijui eti alifanya nn wapi atayajibu kwenye majukwaa ya kisiasa wakat muafaka.
Lakini yeye ni mtu mwenye afya njema, akili timamu na anauwezo kukabiliana na yeyote kwa namna zote.

For sure, Mzee amedhamiria na anajiamini mno, anaongea kwa matumaini makubwa mno ya kufanya jambo 2025.
Let's wait and see....
 
Back
Top Bottom