Msaada wa utaratibu wa kusajiliwa kama Insurance Broker

Aug 12, 2013
24
5
Mimi sina ujuzi wowote wa bima na ninakampuni ya shughuli nyingine tofauti na bima, isipokuwa nimeona nafasi kwenye shughuli zangu hizi nawezakupata ma kazi nyingine za kukatia bima. Tafadhari naomba msaada nawezakufanya nini au nawezapata usaidizi gani kukamilisha hili kwa haraka. Asante
 
Tafuta kampuni moja ya bima, wasiliana nao watakupa utaratibu wa uwe na nini na nini ili uwe broker wao
 
Back
Top Bottom