chama kipya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Tetesi: Chama Kipya cha Siasa kusajiliwa hivi karibuni

    Wanajamvi kwema..... Nachelea kusema katika siasa hakuna jambo linaloweza kutokea bila lengo. Mambo yote katika siasa hubuniwa na wabobezi, hupangwa, huchakatwa na hatimae hutekelezwa na wataalamu kwa umahiri, umakini na weledi wa viwango ili kusudi kuyafikia malengo yaliyowekwa kwa uhakika na...
  2. Yesu Anakuja

    Msaada hatua za kuanzisha chama kipya cha siasa

    Naona kuna umuhimu wa kuanzisha chama kipya cha kisiasa, hivi kuna ugumu gani? Au wasajili watatuzuia, au watapoteza kwa kutumia wasiojulikana! Najiuliza tu, kuna watu hapa Tanzania hawana hata kwa kwenda, kama Dr. Slaa, amekataliwa CHADEMA, amekataliwa CCM, na anapenda kuendelea na siasa. Au...
  3. Danielmwasi

    CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

    Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea. Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje...
  4. raisiajaye

    Tetesi: Kunani CHADEMA, Slaa na harakati za kuanzisha chama kipya

    Watani, Ndoa ya CHADEMA na Dkt Slaa inaelekea mwisho, Slaa anaelekea chama kipya. Walijaridu kuforce bond kwenye mkutano wa Temeke, picha halisi ilionesha chemistry kati ya Dkt Slaa na CHADEMA haikubali, ndio maana Slaa toka mkutano wa Temeke ameachwa rasmi kutumika kwenye mikutano ya CHADEMA...
  5. GENTAMYCINE

    Ukiwa Malawi Washirika wako na Chama kipya mnaendeleza Mipango na Majungu yenu, sasa nenda Cuba ukasahaulike mazima

    Nauli ya kuja Blantyre au Lilongwe nchini Malawi hata Masikini GENTAMYCINE anaweza Kujichanganya na akaja kisha tuendeleze Mipango yetu na Majungu ya 2025 na ile Kabambe ya 2030. Sasa nakutupa Jijini Havana nchini Cuba ( ambako ni mbali Kijiografia ) ili tuone kama Wanafiki Wenzako wa Chama Cha...
  6. Mohamed Said

    Uhakiki wa Wanachama Chama Kipya Cha Siasa 1993

    WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993 Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama chetu kipya cha siasa. Ukumbi huu una historia kubwa sana katika siasa za kudai uhuru wa...
  7. Mohamed Said

    Uhakiki wa Wanachama Chama Kipya Cha Siasa 1993

    WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993 Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama chetu kipya cha siasa. Ukumbi huu una historia kubwa sana katika siasa za kudai uhuru wa...
  8. M

    KWELI Seif Maalim Seif ndiye mwanzilishi wa Umoja Party (UP)

    Chama cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeomba usajili wa muda. Chama hicho tayari kimewasilisha maombi ya usajili wa muda ili kuanza kutafuta wadhamini kwa lengo la kupata usajili wa kudumu. Maswali yalikuwa mengi kuhusu nani hasa mwanzilishi wa chama hicho.
  9. Idugunde

    Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

    Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania. Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu. Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na...
  10. figganigga

    Je, Chama kipya cha Umoja Party kinaratibu upandaji bei wa Mafuta?

    Salaam Wakuu, Chama kipya cha Siasa kinachoitwa Umoja Party, inasemekana ni chama kinachofuata, Uongozi wa Hayati Magufuli. Inasemekana Vigogo wengi wa CCM wapo nyuma ya hiki chama. Wafuasi wengi wa Umoja Party wanadai Rais Samia hafanyi kazi kama Magufuli, na Watu Magufuli aliowaamin kama...
  11. Mathanzua

    Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli.

    UTANGULIZI TAFADHALI NAOMBA NISIRUSHIWE MADONGO,MIMI NI MJUMBE TU.HATA HIVYO NIKIRI KWAMBA HILI WAZO NIMELIPENDA,INGAWA MIMI NI MWANA CCM.NIKIRI KWAMBA BAADA YA MIAKA 61 YA UHURU,BADO CCM INATUPIGISHA WATANZANIA MAKIDA MAKIDA. Chama kipya cha kisiasa kimeanzishwa nchini Tanzania, kikiwa na...
  12. Mathanzua

    Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

    UTANGULIZI TAFADHALI NAOMBA NISIRUSHIWE MADONGO,MIMI NI MJUMBE TU.HATA HIVYO NIKIRI KWAMBA HILI WAZO NIMELIPENDA, INGAWA MIMI NI MWANA CCM. NIKIRI KWAMBA BAADA YA MIAKA 61 YA UHURU, BADO CCM INATUPIGISHA WATANZANIA MAKIDA MAKIDA. KWA BAHATI NZURI MAGUFULI ALIBADILI SYSTEM YA UONGOZI TANZANIA...
  13. Elli

    Very soon tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya

    Kwa speed hii wanayokwenda nayo, nashawishika kuamini kuwa Bado siku chache sana tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya..... Wenye chama Chao watajitokeza mapema tu, hakika vita vya panzi furaha kwa kunguru. Wacha wararuane....
  14. Mwananchi Huru

    Ni nani wako nyuma ya Usajili wa Chama kipya cha CCKD-Tanzania?

    Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania. Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza. Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka. CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila...
  15. benzemah

    Huyu ndiye mwanzilishi wa chama kipya cha Umoja Party (UP)

    Disclaimer (Andiko hili ni kutoka clickhabari.com) Imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Chama kipya cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeibuka kuomba usajili wa muda. Chama hicho tayari kimewasilisha maombi ya usajili wa muda ili kuanza kutafuta...
  16. Mwande na Mndewa

    Ushindi wa Konde; Mbadala wa CCM ni chama kipya kutoka ndani ya CCM

    USHINDI WA KONDE;MBADALA WA CCM NI CHAMA KIPYA KUTOKA NDANI YA CCM. Na Chakat,Hapa Kazi Tu. Tanzania inapaswa kuwa na vyama vya siasa vinavyojitambua na vinavyojua wajibu wao katika kuleta maendeleo ya Taifa kwani siasa sio chuki wala uhasama,siasa sio udini,siasa sio Ugaidi,siasa ni...
  17. Mtu Asiyejulikana

    Kinatakiwa Chama kipya cha Siasa cha Ukombozi hasa. CHADEMA na CCM hamna kitu

    Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala. Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania. CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
  18. Corticopontine

    Baada ya wafuasi na viongozi wa Upinzani kukubaliana kuungana na Serikali ya CCM, Chama kipya cha upinzani kinahitajika haraka sana

    Ni muda muafaka saasa wa kuunda Chama kipya cha upinzani kufuatia anguko kuu la upinzani baada ya upinzani uliopo kukumbwa na kimbuga Magufuli baadaye Upepo Samia ukaja kuwafagia kwa hiyo kwa mstakabali wa Taifa letu ni muda muafaka sasa wa kuunda Upinzani unaotetea masilahi mapana ya...
Back
Top Bottom