Wasanii wa vichekesho wakamatwa kwa kuweka maudhui youtube bila kusajiliwa na bodi ya filamu

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,832
Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa.

Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji lakini walipuuza wito huo.

Bongo 5

Huyo ndio alisema anaingiza billion moja kwa mwezi? Sasa ameshindwa vipi kujisajili wakati kitu kinamuingizia hela nyingi hivyo? Au alikuwa ana danganya?

Wasanii mpunguze chumvi kwenye vitu serious, ona sasa wamemuandama ukute hapati hiyo hela na sasa fine ni milioni 10
 
Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa.

Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji lakini walipuuza wito huo.

Bongo 5

View attachment 2827679
Ila watanzania tumezidi ukondoo. Huu ni wizi wa mchana kweupe. Hii haina tofauti na serikali kutoza watu fedha kwa sababu wamekaa kijiweni wakipiga story na kuchekeshana.
 
Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa.

Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji lakini walipuuza wito huo.

Bongo 5

View attachment 2827679
Tunapo Elekea Kama nchi Siko!!
 
Tanzania bwana, yaani kila mtu ni msanii mpaka na viongozi nao sasa wameacha kufanya kazi zao wamekuwa wachekeshaji huko Bungeni na mitaani.
 
Wasanii wanatakiwa kuungana na kupinga hii sheria kandamizi na inayorudisha sanaa nyuma mahakamani.
 
Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa.

Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji lakini walipuuza wito huo.

Bongo 5

View attachment 2827679
Hiyo bodi ina njaa, ni kama wale mgambo wanaokimbizana na mamalishe, polisi wanaokimbizana na bodaboda
 
Back
Top Bottom