governance23

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Katiba Mpya inakuja kutusaidia nini kama tumeuza madini, gesi, mbuga, visiwa na bandari?

    Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi? Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
  2. The Sheriff

    Ni Muhimu Kupambana na Rushwa Katika Miji ya Afrika Inayokua kwa Kasi

    Rushwa katika mipango ya maendeleo ya mijini inaweza kuwa chanzo cha umaskini, ukosefu wa usawa, na ukosefu wa haki katika miji ya Afrika. Ingawa rushwa katika ngazi ya miji sio jambo jipya, inaonekana kuongezeka kadri viwango vya ukuaji wa mijini vinavyoongezeka duniani. Hii ni dhahiri sana...
  3. Roving Journalist

    India yatoa msamaha wa kulipa faini kwa Watanzania waliokwama kurudi nyumbani

    Balozi wa Tanzania Nchini India, Anisa Mbega ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu msamaha uliotolewa kwa Watanzania baada ya mazungumzo maalum yaliyofanyika pamoja na Serikali ya India kwa kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ya India. Balozi Mbega anasema “Ubalozi kwa kushirikiana na Mamlaka...
  4. mgt software

    Barua ya wazi kwa Rais Samia juu ya mwenendo, kiburi, dharau na majivuno ya Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchimbi

    BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN JUU YA MWENENDO, KIBURI, DHARAU NA MAJIVUNO YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DR MWIGULU LAMECK NCHEMBA Na Byemelwa Adonis (akatanyukwi're kebangira) Ndugu Mheshimiwa Raisi nachukua nafasi hii kukupongeza Kwa kazi...
  5. Huihui2

    Clip: Baada ya Kumnanga kwenye Mkutano, Wafanyabiashara Wapiga Selfie na Mwigulu Nchemba

    Jee huu ni UNAFIKI au UPUMBAVU? Seriousness ya Watanzania iko wapi? Ndiyo maana Mwigulu anawadharau anajuwa zile ni mbambamba tu. Angalia wajinga hao kwenye clip wanavyogombea kupata selfie na Mwigulu!! STUPID
  6. Stuxnet

    Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

    Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia...
  7. Ngungenge

    Rais Samia ni kazi kwako kuwaacha au kuwaondoa ‘for the sake of the nation and the party’

    Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu. Pamoja na yote yaliyojadiliwa kuna kiu cha uwajibikaji. Imedhihirika baadhi ya watendaji wako wana uwezo mdogo na...
  8. benzemah

    Taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi

    Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi. == TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA KIUFUNDI KATIKA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA VIBALI VYA KAZI KWA...
  9. R

    Sukuma Gang sio watu wa kupuuzwa, itafutwe namna ya kuifuta hii itikadi ili kuleta Umoja wa Kitaifa

    Habari JF, Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli. Aina ya...
  10. K

    Prof. Kabudi ndio awe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Apewe nafasi ya kukamilisha alichoanzisha

    Kwa kuwa mchakato wa katiba mpya utaendelezwa panapo Majaliwa yake Mwenyezi Mungu mwaka ujao wa fedha 2023/2024 na tume maalumu itaundwa kufanikisha mchakato huo naona Prof. Kabudi atafaa sana kuwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la Katiba. Ni mwanasheria mzuri na mwenye uwezo mkubwa wa masuala ya...
  11. B

    Tundu Lissu atoa comment Sakata la Kariakoo na Suluhisho lake

    Yule Mwamba anayekubaliwa na wengi kwa kupigania Haki za Watu woote bila kujali misingi yao ya kiitikadi ametoa ushauri wake kuhusu sakata la Kariakoo na Wafanya biashara. Huyo Champion wa siasa za Bongo ameeleza pia nini kinaendelea na kusema kuwa chanzo kikubwa ni Katiba Ya Sasa ambayo imempa...
  12. M

    Kilimo kutofundishwa shule ya msingi ni kasoro kubwa kwa rasimu ya mtaala

    Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo. Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri halisi kuwa hata Wananchi huko wanakolima hawatathamini kilimo na baadae wageni wawekezaji watakuja...
  13. Mpinzire

    Kauli ya Rais ni Sheria! Hii kauli ilitokea wapi?

    Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa kauli ya Rais ni sheria! NImejaribu kupekua Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2008 sijaona ibara yoyote ya katiba yetu kuwa atakacho zungumza Mh Rais ni sheria! Leo Waziri Mkuu anaibuka anakazia maneno ya Mh Rais kuwa TRA...
  14. J

    Waziri Bashungwa: Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya vikosi vya jeshi

    SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIKOSI VYA JESHI: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa (Mb) amesema Wizara inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi na kuboresha miundombinu mbalimbali kwenye vikosi vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa...
  15. M

    Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

    Msanii wa Nyimbo za asili ya Kisukuma, Dawa Juma mkazi wa Kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Tsh. Milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Utajiri wa nchi ni akili za Watu sio rasilimali kama madini na nyinginezo

    UTAJIRI WA NCHI NI AKILI ZA WATU, SIO RASILIMALI KAMA MADINI N.K. Anaandika, Robert Heriel. Huwaga namshangaa mtu anayesema nchi yetu ni Tajiri. Kwa kweli sio tuu anachekesha Bali pia anaonyesha jinsi alivyokuwa mjinga na asiyeweza kufikiri sawia. Kama nikiulizwa hivi leo sababu gani...
Back
Top Bottom