Clip: Baada ya Kumnanga kwenye Mkutano, Wafanyabiashara Wapiga Selfie na Mwigulu Nchemba

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,281
8,005
Jee huu ni UNAFIKI au UPUMBAVU? Seriousness ya Watanzania iko wapi? Ndiyo maana Mwigulu anawadharau anajuwa zile ni mbambamba tu. Angalia wajinga hao kwenye clip wanavyogombea kupata selfie na Mwigulu!! STUPID
 
Hebu jiulize vizuri hapo mjinga ni nani?

Kwangu mjinga ni yule aliyeenda kutafuta selfie kwa watu akakimbia vikao vya bunge, anafanya hivyo ili kuwa "prove wrong" wale waliotoa shutuma dhidi yake kwamba yeye ni tatizo, nami naamini ni tatizo kweli, amejaa jeuri, kiburi, na dharau.

Kwa akili zake fupi anadhani kujipeleka kupiga picha na hao aliowaokota ndio kutafuta tuhuma dhidi yake, kumbe ndio kwanza amezidi kujionesha alivyo "bongo movie" asiyefaa kuwa kiongozi, anayetafuta sifa za kijinga ili kuwadanganya wajinga wenzie.

Ashukuru Mungu mamlaka ya uteuzi imezubaa ipo kama haipo, vinginevyo hakutakiwa kabisa kuwepo ofisini tangu wakati ule alipotuambia tuhamie Burundi kwa kupinga tozo, ambazo mpaka leo hatuambiwi zinakusanywa ngapi kwa mwezi, wala matumizi yake yanapelekwa wapi, wizi mtupu.
 
View attachment 2626100
Hao wamelipwa hela ndefu kufanya hilo igizo,Mwigulu anapenda sana siasa za maigizo,kumbuka yale maandishi yake nchi nzima hii kuwa Mwigulu Rais 2015 bado hajayafuta. Anamtishia nyau Rais Samia.
 
Unajua watanzania unafiki utatua!! sawa tu wabunge, wanajifanya kuibananisha serikali, mwisho wa siku unasikia (naunga hoja mkono) tendo Cha wafanyabiashara kukimbilia kipiga picha na mwingulu, kinafuta matamushi yao juu ya Mwingulu..
 
Hao wamelipwa hela ndefu kufanya hilo igizo,Mwigulu anapenda sana siasa za maigizo,kumbuka yale maandishi yake nchi nzima hii kuwa Mwigulu Rais 2015 bado hajayafuta. Anamtishia nyau Rais Samia.
Hapana hakuna shida kabisa.pale walimkosoa na kumsema kutokana na kushindwa kazi yake kama waziri wa fedha. Kupiga nae selfie mwishoni haimaanishi kuwa wamemaliza kero zao kwake

Hata Lissu hupiga picha na raisi, lakini akipanda jukwaani humsema na kumkosoa. Lema nimeona amepiga picha na mawaziri, lakini haimaanishi kuwa eti ndio kamalizana nao
 
Hao wamelipwa hela ndefu kufanya hilo igizo,Mwigulu anapenda sana siasa za maigizo,kumbuka yale maandishi yake nchi nzima hii kuwa Mwigulu Rais 2015 bado hajayafuta. Anamtishia nyau Rais Samia.
Mkuu umenifungua macho. Hao kweli hao wamelipwa kabisa kupozi naye ili ionyeshe kuwa hakuna lolote baya alilofanya
 
Kwan mwalimu akikuchapa shuleni mkikutana sokoni hamtasalimiana? Kuna utanzania na utu,kuna mwigulu na waziri mwigulu,wale wote ni wzt na binadamu ,tofauti zao hazitakiw kuleta uhasama wa kudumu bali kutatua tofaut na maisha yaendelee
 
Hata kama siyo waliomnanga, lakini wafanyabiashara wote ni wahanga wa Mwigulu Nchemba. Wale waliongea wanawakilisha mawazo ya wote. Kitendo cha kum hug na kupiga naye selfie kina dilute yote yale waliyoongea
Kwanini usiseme ni wahanga wa rais Samia mteua Mwigulu
 
Hao wamelipwa hela ndefu kufanya hilo igizo,Mwigulu anapenda sana siasa za maigizo,kumbuka yale maandishi yake nchi nzima hii kuwa Mwigulu Rais 2015 bado hajayafuta. Anamtishia nyau Rais Samia.
Ujinga tu!..

Yani Mwigulu awe amewalipa watu wote hao? Saa ngapi hilo tukio la malipo kimefanyika?
 
Hebu jiulize vizuri hapo mjinga ni nani?

Kwangu mjinga ni yule aliyeenda kutafuta selfie kwa watu akakimbia vikao vya bunge, anafanya hivyo ili kuwa "prove wrong" wale waliotoa shutuma dhidi yake kwamba yeye ni tatizo, nami naamini ni tatizo kweli, amejaa jeuri, kiburi, na dharau.

Kwa akili zake fupi anadhani kujipeleka kupiga picha na hao aliowaokota ndio kutafuta tuhuma dhidi yake, kumbe ndio kwanza amezidi kujionesha alivyo "bongo movie" asiyefaa kuwa kiongozi, anayetafuta sifa za kijinga ili kuwadanganya wajinga wenzie.

Ashukuru Mungu mamlaka ya uteuzi imezubaa ipo kama haipo, vinginevyo hakutakiwa kabisa kuwepo ofisini tangu wakati ule alipotuambia tuhamie Burundi kwa kupinga tozo, ambazo mpaka leo hatuambiwi zinakusanywa ngapi kwa mwezi, wala matumizi yake yanapelekwa wapi, wizi mtupu.
Una roho mbaya.
 
Leo pesa ila.inaitwa Hela achana nayo...kila kitu Hela.....pia ilimsaliti yesu
Huyu Mwigulu ana pesa ndefu sana. Anahusishwa kuwa ni mmiliki wa mabasi ya Esther, mmiliki wa Singida Big Stars. Vile vile ni mfadhili wa Yanga kwa kuwalipia gharama ndogo ndogo kama mishahara ya Feisal au Mbrazil Gomez ambaye anamhamisha kutoka Singida Big Stars kwenda Yanga.

Kuwapa fedha hooligans kama hao ili wapige naye selfie siyo issue kwake
 
Back
Top Bottom