"Matumizi ya mashine za kielekroniki kwa ajili ya kodi na kutoa risiti bado imekuwa ni changamoto kwa wananchi, kwasasa utoaji wa risiti umekuwa kama punguzo la bei manake mtu asipopewa risiti anapunguziwa bei tofauti na akidai risiti jambo ambalo linasababisha bidhaa nyingi kuuzwa nje na bei...
Matumizi sahihi na salama ya mifumo ya kieletroniki Serikalini, yametajwa kuwa suluhisho la kudumu katika kuziba mianya ya upotevu wa rasilimali za serikali ikiwemo mapato yatokanayo na vyanzo mbalimbali nchini.
Hayo yameelezwa jana jijini Dodoma na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba, wakati...
Mfumo wa kielektroniki unaowezesha kufanya usajili, kuchakata zabuni, kusimamia mikataba, malipo na kununua kupitia katalogi na minada kimtandao (NeST) uliotengenezwa na Watanzania unatarajiwa kudhibiti vitendo vya rushwa ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa kughubika michakato wa ununuzi Serikalini...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imezindua mfumo mpya wa kielektroniki ili kutoa urahisi kwa watu wanaorusha ndege zisizokuwa na rubani (drones), kutuma maombi ya vibali na usajili wa ndege zao ndani ya muda mfupi.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mfumo huo, Kaimu Mkurugenzi...
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi.
==
TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA KIUFUNDI KATIKA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA VIBALI VYA KAZI KWA...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), John Daffa amesema kuwa ukaguzi utaanza Mei 23, 2023 kwa lengo la kuepusha na kudhibiti uingizaji wa Vifaa vilivyokwisha muda wa matumizi Nchini.
TCRA imesema Hatua hiyo ni katika kutekeleza Kanuni zilizoazimiwa katika Mkutano wa Taasisi...
Idara ya Uhamiaji Tanzania imetoa pasipoti za kieletroniki 193,645 katika miaka miwili ya uongozi wa
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza jijini Dares Salaam, Ofisa Habari wa Idara hiyo, Mrakibu Paul Mselle alisema pasipoti hizo zimetolewa kwa Watanzania waliotaka kusafiri.
"Pasipoti za...
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeridhia ombi la kuongeza muda wa ukomo wa uwekaji wa hereni za utambuzi kwa mifugo kwa hiari kuwa tarehe 31/12/2022 na baada ya hapo hatua za kisheria zitaanza kuchukuliwa dhidi ya waliokaidi.
Tangu mwezi Oktoba, 2021, Wizara ilianza kufanya utambuzi...
Na WyEST,
DAR ES SALAAM.
Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imepongeza Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji mitihani ambao umerahisisha zoezi la usahihishaji mitihani ya Taifa.
Pongezi hizo zimetolewa Jijini...
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa na Wizara ya mifugo, Ewe Mfugaji kabla ya kukumbana na faini hiyo Sajili mifugo yako mapema.
Chanzo: Habari Leo
USIJE KUSEMA HATUKUKUAMBIA.
===========
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa taarifa ya ukomo wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia...
Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka?
Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa...
Serikali imetangaza viwango vipya vya tozo vya miamala simu na benki zikiwa zimepita siku chache tangu iahidi kuvipunguza kutokana na malalamiko ya wananchi.
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, kupitia gazeti la Serikali la Septemba 30 ambalo Mwananchi...
Zoezi la ugawaji wa vitalu vya uwindaji wa kitalii kwa njia ya mnada kwa kutumia mfumo wa kielektroniki umetajwa kuwa na faida kubwa kuliko ilivyokuwa ikitumika kwa njia ya kiutawala (administratively).
Imeelezwa tangu kuanza kwa ugawaji wa vitalu kwa njia ya mnada mwaka 2019, Uhifadhi wa...
Nimesikia kwamba utaratibu wa kutumia tiketi za kielektroniki umeanza rasmi tarehe ya leo. Tunaambiwa tukate tiketi ya Bus husika online, tunatambua sio Kampuni zote za Mabasi zina website sasa sijui itakuwaje. Mwenye uelewa kuhusu utaratibu huu naomba anieleweshe zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.