katiba mpya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tathimini: Kwa huu mziki waliouwasha CHADEMA Leo huko Arusha kama kungekuwa na tume huru na Katiba mpya CCM wasingetoboa uchaguzi 2025

    Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na kamati maalumu ya wanaCCM hawakuzidi hata watu ishirini. Ndio maana inawafanya CCM kudhurumu uchaguzi na kukaa madaraknai kwa nguvu. Katiba inasababisha kuwa tume ya uchaguzi isiwe huru Leo...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kinachowaogopesha CCM siyo katiba mpya bali ni maneno mapya yatakayokumbukwa kwa uharaka zaidi

    Hata katiba ya sasa ni nzuri sana, changamoto ni namna maneno yaliyopo ni old fashioned na no body cares about it. Sasa CCM wanajiuliza kama watakubali katiba mpya means ujumbe na maelekezo yake yatakuwa mapya na marahisi kukumbukwa. Kwa sasa wanakiuka misingi mingi ya katiba mpaka wanadiriki...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya kuchaguana wenyewe kwa wenyewe CCM kwa kuvunja katiba zote, sahau Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi

    Uhuni huo uliofanyika na CCM akina Samia et al kujivika madaraka ya kuvunja Katiba ya nchi, Katiba ya CCM , sheria zoooote, upinzani sahau kuwa kupata katiba Mpya na Tumehuru ya uchaguzi! sasa ni full swing DICTATORSHIP! MADIKITEIT WANAWEK WALIOWAHI KUWEPO DUNIANI Indira Gandhi Isabel...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya inakuja kutusaidia nini kama tumeuza madini, gesi, mbuga, visiwa na bandari?

    Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi? Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
  5. Farolito

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

    Wakuu, Leo tarehe 09.02.2023 Luhaga Mpina akihojiwa katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kwamba dharau anazoonesha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe dhidi ya wabunge ni matokea ya matobo ya Katiba ambayo yanatakiwa kushughulikiwa. "Waziri anaulizwa maswali anajibu anavyotaka...
Back
Top Bottom