Vera Songwe is an Economist and Banking executive from Cameroon who has worked for the World Bank since 1998, and in 2015 became Western and Central Africa's regional director for the International Finance Corporation. Vera Songwe is the first woman to head the U.N.s Economic Commission for Africa (ECA) at the level of Under Secretary-General.
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Galula wilayani Songwe, Nisetas Dimoso amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji, kufuatia jitihada zake za kuzuia mifugo kupita ndani ya eneo la shule.
Mwalimu Dimoso alifariki dunia Julai 28, 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya...
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kufuatilia na kuhakikisha tunalipwa fedha zetu zote za kujikimu kwa mujibu wa mwongozo uliopo.
Tumepokea malipo hayo baada ya kuchelewa kwa muda mrefu, lakini tumeshangazwa kulipwa kiasi cha nusu tu ya fedha tunazostahili. Baada ya hapo tumeambiwa kuwa hayo...
Mimi ni mtumishi Halmashauri ya Mbomba mkoa wa Songwe ajira mpya Kada ya Afya tunadai pesa zetu za kujikimu kwa muda mrefu sana sasa, Julai 12, 2026 wamelipa ila wamelipa pungufu wakati walisema kuwa serika imeshaingiza pesa zote hivyo tutalipwa zote bila ubaguzi.
Ajabu wamelipa kiwango tofauti...
Anonymous
Thread
afya
ajira mpya
fedha za kujikimu
halmashauri
kada ya afya
songwe
Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea.
Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa zimewasili, lakini hadi sasa mwezi unaelekea kuisha bila kupokea malipo wala kupewa taarifa yoyote rasmi...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
hela
kujikimu
mkoa
momba
mpya
songwe
wilaya
wilaya ya momba
Ndugu wanajf habari za siku nyingi nilipotea kidogo sasa nmerudi mapumzikoni kutoka Bamako ñchini Mali, bahati nzuri pia nmebahatika kumtembelea bibi yangu aliyeko Patamela Songwe kupitia Makongolosi, kwa ujumla huu mji watu hawalali ikifika saa moja jioni ndio biashara zinafunguliwa hasa za...
Utangulizi: Safari ya Alfajiri na Ndoto ya Maji Safi
Kila alfajiri mkoani Songwe, mamia ya wanawake katika Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe huanza safari ndefu na yenye hatari kubwa. Hii si safari ya burudani wala hiari, bali ni mapambano ya lazima ya kusaka nishati ya uhai maji safi na salama...
Kwa masikitiko makubwa, wananchi na wachimbaji wadogo wa Wilaya za Chunya na Songwe wameendelea kulalamikia hali mbaya ya utendaji ndani ya ofisi za Tume ya Madini, ambapo vitendo vya rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya madaraka vinaonekana kuwa sehemu ya kawaida ya utendaji wa kila siku...
Barabara ya lami kutokea junction pale Mbalizi kuelekea Songwe viwandani ina mashimo mengi sana ambayo yamechangia kuharibu vyombo vya usafiri.
Mamlaka husika imekuwa ikiziba mashimo hayo kwa kutumia malighafi isiyokuwa na ubora, ambayo imepelekea mashimo yaliyozibwa kuibuka tena.
Lakini kuna...
Sisi wakazi wa Kijiji cha Patamela, Kata ya Saza, Wilaya ya Songwe, Mkoa wa Songwe tuna changamoto kuhusu mwekezaji ayetambulika kwa jina la Mathayo, ni kuhusu kumiliki eneo kubwa la uchimbaji ambapo sisi Wananchi tumekosa eneo la kuchimba madini.
Sisi ni wachimbaji wadogo hatuna leseni ya...
Anonymous
Thread
kijiji
kuchimba
leseni
madini
mwekezaji
songwe
utafiti
wananchi
wilaya
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho .
Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
Eneo la Machinjio ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe kuna Daktari wa Mifugo ambaye jukumu lake ni kukagua nyama baada ya ng’ombe kuchinjwa, katika ukaguzi wake amekuwa akiondoa sehemu anazodai kuwa hazifai kuliwa na binadamu.
Anaondoa kwa malengo ya kuteketeza lakini badala yake...
Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000.
Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000.
Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000.
Yaaani tunduma-mbeya...
Anonymous (0743)
Thread
barabara
kahama
kahama mjini
kati
kero
kupanda
mbeya
mitaa
mjini
nauli
songwe
ubovu
ubovu wa barabara
Magari wakati wa mvua mara nyingi yanakwam
Upimaji kiwango cha lami sijui wanapima mara ngapi ila wapimaji mara nyingi wanakula kodi za watanzania kwa kuja kupima.
Wabunge madiwani kura zao wanapata ukanda huu kwa ahadi ya tutaleta barabara ya lami upembuzi yakinifu ukikamilika.
Upembuzi...
https://www.instagram.com/reel/DWo8mLfDFW8/?igsh=NzM3MmtpOGcxNmZk
Katika pitapita zangu za online nimekutana na taarifa iliyorushwa Jana, wadau huko Songwe wanasema Kuna watu wanakugusa bega baada ya hapo sehemu zako za siri zinapotea. Wadau wanaamini wanajikinga kwa kuvàa rubber band na pin...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Anafanya Kazi ya kitume ,kazi yenye Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu,Kazi impendezayo Mwenyezi Mungu,Kazi yenye Kugusa Maisha ya Watu ,kazi yenye kuleta tabasamu na furaha kwa watu.
Kwa hakika Rais Samia ni Mfariji wa Taifa . Ni kiongozi mwenye Moyo...
https://www.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac
Serikali ya Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongozwa na Mwenyekiti Japhet Mbukwa imeachia madaraka kwa madai ya Mtendaji wa Kata amemkamata na kumshikilia katika ofisi yake kwa madai ya kuwa Mwenyekiti huyo...
Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Henry Mboya, zikidai kuwa hajulikani alipo baada ya kukamatwa na Polisi.
Taarifa iliyotolewa leo Disemba 21 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe imesema kuwa Henry Mboya, Mkazi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.