furaha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa muwazi, Ndoa imekupa amani na furaha uliyotegemea au imekuwa agano la kuvumilia kwajili ya watoto, kuendana na jamii n.k ?

    Je, ndoa uliyoingia ukiwa na matumaini ya furaha na amani, ndiyo unayoishi leo? Au imekuwa safari ya kuvumilia tu kwa ajili ya watoto, heshima ya jamii, au kuonekana kuwa na ndoa rasmi?
  2. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya pesa na furaha?

    Kipi bora kati ya pesa na furaha?
  3. Secret Star

    JamiiForums Tanzania UONGO WA KARNE: "Pesa Haiwezi Kununua Furaha" Neno la Kujifariji La Masikini na Kukaririwa na Wasomi

    Leo naomba tushuke kwenye majukwaa yetu ya usomi na falsafa za akina Socrates, tuingie kwenye hesabu halisi za maisha. Kuna utapeli wa kisaikolojia ambao tumekuwa tukiimba kila siku: "Pesa haileti furaha, utu ni bora kuliko mali." Hii ni kauli mbiu ya kujifariji iliyotengenezwa ili kuwafanya...
  4. Vien

    JamiiForums Tanzania Kuna muda mtu akiniuliza “ntaoa lini?” Kichwani kwangu naona ni sawa na mtu anayeniuliza "Ntapoteza furaha yangu lini?"

    1/ Dunia ya leo, upendo wa kweli ni nadra. Watu wengi wanaishi maisha ya ku-pretend tu. Ukiwa na mtu, akagundua hawezi kupata kitu, huondoka. Hii ndio ukweli wa mahusiano. 2/ Wengi wanafanya ndoa kwa sababu ya pressure ya jamii au familia. Lakini ndani, maisha yao ni siri na maumivu. Wake na...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawana furaha?

    Ripoti mpya ya Furaha Duniani (World Happiness Report) ya mwaka 2026 iliyotolewa Machi 19, 2026, imeendelea kuiweka Tanzania katika orodha ya mataifa yasiyo na furaha. Katika utafiti huo uliohusisha nchi 147, Tanzania imeshika nafasi ya 138, ikiingia kwenye kundi la nchi 10 zisizo na furaha...
  6. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Heri ya Eid al-Fitr, furaha na amani iwe nanyi 🌙⭐

    Eid Mubarak 🌙✨ Nawatakia nyote sikukuu njema iliyojaa furaha, amani na baraka tele. Mwenyezi Mungu azikubali ibada zenu zote, awajaalie afya njema na mafanikio katika kila jambo mlipangalo. Tukumbuke kushirikiana na kusaidiana, hasa wale wenye uhitaji, ili furaha ya Eid iwafikie wote 🤍 Eid...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

    Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake Mtu anayekufa katika njia ya Allah huitwa shahidi (shahid). Katika Qur'an kuna aya inayosema: “Wala msiwadhanie waliouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni wafu, bali wao wako hai...” (Qur’an 3:169) Tofauti na wakiristo na wegine. Wanaona wakiwaua...
  8. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Rockcity Mall,kila mtu ana furaha

    Nipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha. Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wairani wengi wameendelea kujitokeza barabarani wakishangilia na kutoa shukrani kwa Trump na Netanyahu

    "Donald Trump, THANK YOU!" "Benjamin Netanyahu, THANK YOU!" Huko Iran wananchi wamefungiwa majumbani lakini wanaendelea kushangilia, watawala wamepanik wanawafyatulia risasi
  10. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Nimekaa miezi 6 bila kufanya mapenzi nilikuwa na furaha na amani, wiki iliyopita nimefanya nilijisikia vibaya siku 4.

    Hapo vip! Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu. Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu wakufocus sana na mipango yangu,najiamini sana,najiona nipo salama sana,pia spirituality nakuwa na nguvu...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Body language na facial expression zinaeleza wazi kwamba Lissu amekata tamaa, licha ya kujaribu kulazimisha furaha na ujasiri ambao ni wazi hana

    Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused. Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sawa Mungu akatuchoma moto wa Milele. Je ninyi watakatifu mtakao Baki mtakuwa na furaha Gani wapendwa wenu wakiwa wanachomwa moto wa Milele??

    Mods Uzi huu uachwe ujitegemee tafadhari.🫷 Awali ya yote Mimi mpango wa kwenda mbinguni ni kama haupo maana kila nikipiga tathimini Bado najiona Sina sifa hizo Kwanza Zaka sitoi,sadaka nishakataa kuipeleka kanisani. Ukija namna ya kuishi napo Bado na pwaya maana uko zako unawaza kuchuma...
  13. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni furaha ya mwanaume,na mwanaume vivyohivyo

    Huo ndio ukweli,nami ukweli huo huutumia kwa vitendo,na hata tunaponyanduana na hakikisha tunapeana furaha haswaaaaaaaaaa
  14. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI, JAIPUR warejesha furaha kwa wahitaji 507 kwa kuwapatia viungo bandia bure

    Watu 507 waliopoteza viungo, vikiwemo mikono na miguu wamefaidika na uwepo wa kambi maalum ya kutoa viungo bandia bure iliyoandaliwa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Taasisi ya Jaipur (India) na Ubalozi wa India nchini. Mratibu wa Kambi hiyo kutoka Taasisi ya MOI Bi...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Furaha isiyo na raha..! Ama raha isiyo na furaha..hakuna ladha!

    Madomo zege hawawezagi kutongoza wao hutumia kumwaga pesa na kuonesha mikogo ya kila aina.. Ufahari usio kipimo chap Domo zege yuko tayari kunuka madeni ili aoneshe uwezo na ukwasi.. Bingwa wa kukopa mgumu kulipa Ukitaka kuona hasira take muite domo zege kibamia Kitandani hamna kitu pia.. Vile...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Yona Sonelo: Jenista alikuwa na furaha baada ya kutoteuliwa

    Mfanyabiashara Yona Sonelo kutoka Jijini Dar es salaam amesema alikuwa miongoni mwa watu wa karibu waliokuwa wakifahamiana vyema na marehemu Jenista Mhagama, na kueleza kuwa alimpa moyo baada ya kutoteuliwa katika Baraza jipya la Mawaziri hivi karibuni, akimsihi asijiumize moyo bali amshukuru...
  17. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Vita vya panzi, furaha kwa kunguru

    Duru zinasema Kuna mpasuko ndani ya chama cha maamuma, bakwata na maaskofu njaa. Mmoja wao katangazwa kutema bungo Leo na bado Kuna wengine wa ngazi za juu wako vizuizini. Raha ilioje jamani kuona wanavyo papasana matako wao kwa wao baada ya kujivika upofu kwa muda mrefu. Na bado pumbavu...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wenye akili tulishamjua mapema. Hajali chochote kuhusu Tanganyika na Watanganyika. Lolote baya linalotupata kwake ni furaha kuu

    Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za Tanganyika. Ukiangalia namna alivyoteua Wazanzibari kushika sehemu nyeti za Tanganyika ikiwemo Wizara...
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Muliro anaonekana hana furaha kabisa.

  20. S

    JamiiForums Tanzania Waliotangazwa washindi kwenye kilichoitwa uchunguzi mkuu wa 2025, naona ni watu wasio na furaha na wanajihisi kukosa political legitimacy

    Huu ndio ukweli na hata wao wanaujia, ila tu wameshindwa kupambana na roho za ubinafsi na tamaa ya madaraka. Yaani kwa sasa hata kumita mtu sijui Mheshimiwa Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu au sijui waziri fulani, mbunge au diwani fulani, unaona kabisa unakosea na hustahili kumuita...
Back
Top Bottom