umeshawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Etugrul Bey

    Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

    Kuna mbingu Saba Bahari Saba Ardhi Saba Binadamu ana matundu Saba Kuna siku Saba Katika wiki Waislamu wanazunguka mara Saba kule Kaaba Kiama kitatokea siku ya Saba ambayo ni Ijumaa Waislamu wakiswali wanasujudu kwa viungo Saba,,kwa maana paji la uso na pua moja, vitanga viwili vya mikono, magoti...
  2. Mhafidhina07

    Umeshawahi kuwaza/kufanya jambo tofauti katika maisha yako?

    Nakumbuka nilipokuwa mdogo wa miaka 17 nilishawahi kuwaza kujiua sababu niliona kama nateswa au kunyanyaswa. Nilishawahi kufikiria kuacha shule kabisa,kutaka kuishi maisha ya kitaa sababu kichwa kilikuwa kizito alafu hata maisha kwangu sikuyaelewa kabisa. Mawazo ya kuomba dua za utajiri wakati...
  3. Etugrul Bey

    Mwamba kama umeshawahi kupotelewa na boxer au soksi ujue umekwisha

    Mpaka mida ya saa nane adhuhuri binti haonekani, ikafika alsir around saa kumi na moja hakuna anayejua kapatwa na masahibu gani binti wa watu. Aliondoka home majira ya saa sita tukajua ameenda dukani, kwakuwa ni mgeni maeneo haya na siku hiyo ilikuwa siku ya mnada huwa pamechangamka sana...
  4. JF Toons

    Je, umeshawahi kushushwa kwenye daladala ili kupisha zoezi la ujazaji mafuta?

    Kwanini madereva wa usafiri wa umma na binafsi hawafuati utaratibu wa kushusha abiria wanapoingia kwenye kituo cha kujaza mafuta?
  5. imhotep

    Je umeshawahi kupigwa kitu kizito mpaka ukasahau mbinu zako za kuiba UCHAGUZI?

    https://youtube.com/shorts/Q-lZqr4sOQM?si=tYeBkv32gKrQKx0- CCM haya ndiyo yanayokuja acheni kuliteka Taifa letu kwa MASLAHI yenu wachache. CHADEMA PEOPLE'S POWEER!!!✌️✌️✌️🤞
  6. Expensive life

    Umeshawahi kupata bahati ya kufanikiwa kwenye maisha ukaichezea?

    Ndugu zangu ama kweli bahati haiji mara mbili. Huu ni ushuhuda nilionao dhidi ya rafiki yangu kipenzi, rafiki yangu huyu baada tu ya kumaliza masomo yake. Mungu si Athumani ni bahati iliyoje alipata kazi haraka sana huko bandarini kwenye moja ya kampuni kubwa sana ya mafuta. Kaka yake ni moja...
  7. Nazjaz

    Ni mkoa gani umeshawahi kufika na hautamani kurudi tena?

    Kuna mikoa unaenda mara unatishika, watu wanachomana visu, kila bar lazima ugomvi utokee. Wasichana wanavuta bangi, wanapigana na punda hadi punda anakufa. Arusha sina hamu
  8. GoldDhahabu

    Umeshawahi kula ngwara?

    Inasemekana Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa sababu wanakula ngwara😀 Zitafute na wewe uanze kuzila kuanzia mwakani.
  9. M

    Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye division one anaweza kufikiria VETA at first place. Mbona hatumuoni mtoto wa Mwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko VETA kama ni elimu ya maana kweli? Acheni...
  10. LA7

    Umeshawahi kumuamini fundi yeyote yule ukamlipa pesa ya kazi? Siku ya kupokea kazi isiendane na pesa ulomlipa?

    Ndo hivo yaani mtu nimempa lakitatu anifanyie kazi, siku ya kuleta kazi haiendani hata kidogo na pesa ni liyompa Na sitaki kuzozana na mtu, dunia tunapita tu.
  11. R-K-O

    Kwa wale tuliojiajiri, kama umeshawahi kufilisika ulifanikiwa vipi ku bounce back / kurudi upya?

    Inaweza kutokea umeibiwa, umepata ushindani mkali, sheria za serikali zimeathiri unachofanya, umechezewa michezo michafu, umeumwa, n.k. Ukiwa na mshahara angalau unaweza kuugulia kwa wiki kadhaa mshahara ulioisha lakini una uhakika mwezi ujao upo hivyo ni wewe kujitafakari tu jinsi ya kula kwa...
  12. LA7

    Umeshawahi lala stendi bila kutarajia

    Hii kitu ni mbaya sana hasa kwa safari zetu za watu wa maisha ya chini, na mara nyingi hutokea kwa kupanda gari bovu, au gari kuharibika njiani, au kudanganywa na wakata tiketi, Kwa mara ya kwanza kabisa nilikuwa natokea singida naelekea kigoma kwa sababu za changamoto za usafiri kutoka...
  13. LA7

    umeshawahi kupimwa imani, au kujaribiwa na mtu

    umeshawahi kupimwa au kujaribiwa imani na mtu, kuna siku nimdenda zangu kununua earphone nilipo rudi jioni yake mdada wa kazi akaniomba asikilize radio, nikampa akabaki nazo mpaka kesho asubuhi, sasa kufika asubuhi nimeamka nafanya usafi akanifuata na kuniambia zile earphone alipitiwa na...
  14. LA7

    Umeshawahi kukosa huduma au msaada kwa kutokusalimia watu,

    nikiwa nimetokea zangu kigamboni nikafika ferry kutafuta magari ya gongo la mboto, sikuwa mzoefu sana yanaoopatikana, ikabidi nisogee kwenye daladala moja hivi iliyopaki ilikuwa ni mida ya mchana, ndani kulikuwa na dereva na kondakta wake, kufika nakauliza, eti gari za gongola mboto zinapaki...
  15. LA7

    Umewahi kusikia sauti za watu wakifanya mapenzi live?

    Kidogo macho unaweza kusema uyafumbe, na masikio je? Mimi hii kitu imenitokea mara nyingi tu katika mazingira ya maisha niliyoishi ila kuna siku naikumbuka nikiwa nafanya kazi kwenye boti jamaa ambae ni mkubwa kwangu alileta demu, Mimi ikabidi nijifanye nimelala usingizi ili nisiwaharibie watu...
  16. MIXOLOGIST

    Je umeshawahi kufanya wajibu wako kama mlimwengu?

    Wasalam wana JF Wahenga walisema: ASIYEFUNZWA NA WAZAZI WAKE ATAFUNZWA NA ULIMWENGU. Mimi na wewe ndiyo either wale wasiofunzwa na wazazi au ndiyo walimwengu wenyewe. Swali langu kwako, je umeshawahi timiza wajibu wako kama mlimwengu? Mimi nimetimiza wajibu huo mara nyingi kwa slay queens...
  17. Iziwari

    Umeshawahi kusikia kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari na vyombo vya moto. Kimekufikia

    kidonge kinaitwa Govvi petrol pill Kimeshatumika sana duniani na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi. Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana. Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia. Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha...
  18. Nyendo

    Je, umeshawahi kuwa mhanga wa ukatili wa kihisia kwa namna yoyote?

    Katika jamii tunayoishi kuna aina mbalimbali za ukatili ambao watu hutendewa na watu wengine eidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya lakini athari ya ukatili huwa na matokeo mabaya kwa mtendewa. Zipo aina nyingi za ukatili kama ukatili wa kijinsia, ukatili wa kimwili, au ukatili wa kihisia...
  19. N

    SoC02 Umeshawahi kujiuliza haya kuhusu mitandao ya kijamii?

    picha kwa hisani ya mtandao(Google) Nani mnufaika wa machapisho yako? Unapoweka chapisho mtandaoni Kuna vigezo unaviangalia?, Nani mlengwa mkuu wa machapisho yako? Je, Chapisho lako linalenga umri wa mnufaika/Msomaji au linajikita zaidi katika jinsi mfano (ke/me). Yote yanaweza kuwa majibu...
  20. M

    Nini kilikutokea baada ya kujifanya mjuaji kwenye kitu usichokijua

    Mimi bhana nakumbuka nikiwa kama house boy boss wangu alikuwa ananiamini sana hivo alikuwa na gari kama tano hivi Alikuwa na tabia ya kuniachia funguo za gari ambayo ni chafu ili niioshe Sasa bhana siku hiyo akaniachia funguo ya gari land cruise, alipo toka tu nikaenda kufungua gari na kutia...
Back
Top Bottom