changamoto za ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa

    Chukulia umri wako ni zaidi ya miaka 50, na tayari upo kwenye ndoa na mna watoto. Ikitokea mwenzi wako akachepuka au akakuwekea mazingira ya kutaka kuvunja ndoa, kwako itakuwa ni afya au ni tatizo? Na je, utakubali ndoa yako ivunjike na mtengane? Tupe sababu.
  2. maheda0756

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    Habari za Pasaka aisee? Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji. Shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima nitaathirika moja kwa moja. Inshu iko hivi, nina mke na mtoto moja, nimekuwa kwenye mahusiano na mke wangu...
Back
Top Bottom