uishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya ili uishi kwa furaha

    Ikiwa unataka kuwa na furaha, jifunze yafuatayo: Kujipenda Kujithamini Kujipa kipaumbele Kutoifikiria sana kesho Kuachana na yaliyopita Kufurahia yaliyopo Kukubali kuwa si kila mtu atakupenda
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Usifanye ujinga wa kumbadilisha ‘mwanamke aliyeharibika’ ili uishi naye

    Mahusiano ya kudumu hayataki mbwembwe. Mahusiano ya kudumu hayataki hisia kuzidi akili. Mahusiano ya kudumu yanahitaji uhalisia sio kuigiza. Mahusiano ya kudumu yanahitaji msingi mzuri kuanzia mwanzo. Niamini mimi, mbwembwe na maigizo vitafika mwisho na hamtaelewana ila mkichukuana katika...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mgeni sehemu yeyote fuata taratibu ili uishi vizuri na wenyeji wako

    Mahali popote mbali na nyumba kutoa mkoa wako wanataratibu zao za kuishi kijamii watu wengi wanashindwa kuishi sehemu nyingine kwasababu wameshindwa kufuata taratibu za mahali huko Iko hivi mfano Mara rorya huku hutaki kula chakula wakazi wakikuangalia hii imewashinda watumishi wengi...
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Usioe, Fanya haya uishi kama peponi

    Wanawake kwa wanaume watagawa utamu wao wakati wowote kwa mtu yeyote wamtakae..Basi nawe kijana nenda uitazame mbuye kama kijiko cha mama ntilie. Ambacho mwenzako akimaliza kula kinaoshwa nawew unatumia.. Kamwe usifikirie kujimilikisha uchi mweusi wa binadamu mwenzako mwenye uhuru wake kwa...
  5. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Maisha yanavyoweza kukufanya uishi mazingira usiyopenda

    Hamjambo wanabodi. Moja ya vitu vinampa mtu Amani na utulivu ni kufurahia mazingira ,iwe kazini,hotelini,mgahawani inshort kila unachofanya ni vizuri sana ukikifurahia. Lakini suala la ugumu maisha linaweza kukufanya ukawa mwenye msongo wa Mawazo muda wote kwasababu ya kubadilisha mazingira...
  6. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Maisha lazima uishi, maisha yenyewe mafupi

    Salaam jamiiforum Kuishi ni lazima, Kuishi ni kuvifurahia vitu,kama Kula vizuri, Kulala pazuri na kuvaa vizuri. Bahati mbaya vitu tunavyotamani havipatikani kirahisi lakini ,naamini kila mmoja anatamani kupata kilicho bora. Bro,hata uwe bize na majukumu vipi usisahau kuishi,enjoy maisha Kula...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi?

    Na wengi wao huwezi kuwajua kabla ya ndoa, Drama inaanza baada ya ndoa
  8. nodetz

    JamiiForums Tanzania Je ? Kuwa mtu mwema ni kweli kunakufanya uishi maisha bora hapa duniani ?

    Habari wana jf. Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana (nice guy) hapa duniani. Leo nimeona nililete mbele yenu wana jf nisikie mitazamo yenu Pia niweke...
  9. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Ukiishi kama mfalme ujanani tegemea utumwa uzeeni

    Mambo ni mawili tu, Uishi kama mfalme ujanani uje kuishi kama mtumwa uzeeni Au Uishi kama mtumwa ujanani uje kuishi kama mfalme uzeeni. Pia kumbuka maisha ni kama GAME LA AVIATOR Ishi kwa kuyavizia ukijisahu kifo kinakupitia bila kula pesa yako iliyo BANK. Pia unaeza...
  10. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Wekeza weka akiba ili uishi vizuri kesho

    Unataka kufikia uhuru wa kifedha? Ni lazima upitie hizi hatua sita.. Na ili ufike hatua ya sita ni lazima upitie hatua y Akiba kisha uwekezaji 1. Tengeneza Bajeti ya Kila Mwezi Tambua kipato chako na angalia matumizi yako yote. Lenga kutumia chini ya unachopata. Tenga asilimia kwa kila...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bora Uishi karibu Kodi kubwa ama mbali na nauli kubwa

    Maoni yako Tafadhali
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uishi kwa raha usiingie katika Siasa, zama katika Uislamu

    Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu. Mambo ya Msingi katika Uislamu...
  13. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania ZINGATIA HAYA MMBO, UISHI VIZURI

    Kuna njia tulipita ndefu,zenye maumivu Makubwa na majuto, tusingependa nawewe upite huko! 1) Upo shule/ Chuo achana na issue za mapenzi,zitakupotezea focus ,kukupa stress na gharama 2) Upo mtaani epuka Mahusiano ya Kila unaye muona,ukilala na wanawake/ wenaume wengi unakuwa na majuto mengi...
  14. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Maisha: Ni mitihani gani au changamoto zipi ulizokumbana nazo maishani mwako na kuzikubali na kuamua uishi nazo ili maisha yaendelee?

    Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini...... Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali....... Kuna baadhi ya changamoto na mitihani tunazikabili na kuzipatia ufumbuzi na kuendelea na maisha na kuna zingine kwa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?

    Kwema Wakulungwa. Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani? Mimi Miaka 87.
  16. safuher

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwa Afisa MADENI ili kumu"WIN" anayekudai.

    Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI. madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa WANAOKUDAI HUKUOMBEA UTOBOE ILI UWALIPE MADENI YAO,na Mungu mara nyingi hujibu dua hizo. usikope kwa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watu watatu unaotakiwa úwafurahishe ili nawe uishi maisha ya Furaha

    WATU WATATU UNAOTAKIWA UWAFURAHISHE ILI NAWE UISHI MAISHA YA FURAHA Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Umeshakuwa mkubwa sasa. Hakuna kitu unachohangaikia kila siku kwenye maisha kama kuwa na Furaha. Tafsiri ya furaha kwa sisi Watibeli ni kutokuhisi Upweke. Kutokuhisi Upweke ni kuhisi...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu angekupa nafasi ya kuamua uishi miaka uipendayo je ungechagua mingapi? (Sharti muda lazima)

    Toa sababu pia kwanini umechagua miaka hiyo. Mimi 1000 sababu ningependa kuona tabia ya nchi inavyobadilikabadilika.
  19. king of cool

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo 15 ya msingi sana kuyajua ili uishi na wenzio vizuri

    MAMBO 15 YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI Thread 🧵 👏 1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo). 2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya ulipwa kwa ubaya...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ili uishi sehemu yeyote unahitaji kibali na sio kila siku unahama mikoa huku na huku na bado haufanikiwi

    Kijana na wazee, mada hii ni fikirishi ila italenga kutoa maana kuhusu Maisha. Hapa duniani haijalishi upo mjini au kijijini Ila unachohitaji ili ufanikiwe na kutoishi maisha ya kuangaika ni kibali. Zingatia huu mchakato kwanza ili upate kibali. Fanya chaguzi kwa kuitikia wito wako. Ukiitikia...
Back
Top Bottom