chongolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

    Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake. Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa...
  2. Magufuli 05

    Chongolo aliachia ngazi kwa skendo mbaya, leo kateuliwa kumtumikia nani?

    Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni Tamu Sana. Huyu Jamaa aliachia nafasi yake ya chama kwa skendo za fedheha kwa nchi. Chama kikasema kinachunguza na kwamba kitatoa taarifa uchunguzi ukikamilika. Hata jua halijazama bwana Jamaa kateuliwa wakati hata...
  3. Heparin

    Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Miongoni mwa watu hao ni Daniel Chongolo...
  4. Erythrocyte

    Unafiki: Aliyemdhalilisha Chongolo Kinondoni leo kawa Mtetezi wake!

    Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC. Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?
  5. M

    Makonda: Stendi mpya Iringa ipewe jina la Chongolo

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema ataishawishi Serikali na Uongozi wa juu mara baada ya kukamilika kwa stendi mpya Iringa ili ipewe jina la aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kwakuwa ameacha alama ndani ya CCM. Makonda amenukuliwa akisema...
  6. Sir John Roberts

    Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu. Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi ametanguliza shukrani zake za dhati kwa Mwenyekiti wa...
  7. D

    Mwandishi Bollen Ngetti kumrithi Daniel Chongolo?

    Wanabodi, Nimekutana na hili katika korido za Lumumba kwamba baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kujiuzulu, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kwenye wakati mgumu kumpata SG wa CCM. Washauri wake ni kama wamegoma kumshauri ampendekeze nani kwa CC ya chama chake. Ila za chini ni kwamba...
  8. R

    Tetesi: Gervais Milton kuchukua Nafasi ya Chongolo CCM

    Gervais Milton anatarajiwa kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Chongolo. Pamoja na exposure yake akiwa mwana Diaspora bado hana nguvu nje ya mfumo wa siasa. Nguvu kubwa aliyonayo ni utaalam wa masuala ya utawala, lobbying, negotiations na mikakati. Pamoja na umahiri wake bado...
  9. Mhaya

    Mguu aliyoondokea Chongolo unavyoweza kukaribisha zama ngumu CCM

    DANIEL Chongolo kujiuzulu ukatibu mkuu CCM, linaweza kuwa jambo lisilo na uzani mkubwa. Mguu ambao ameondokea, unaweza kuchora mstari wa ujio wa zama za tofauti kabisa. Kwa uongo au usahihi wa tuhuma za Chongolo, zilizomfanya aandike barua ya kujiuzulu, zinachagiza mwanzo mpya. Chongolo...
  10. DodomaTZ

    Inadaiwa Maganga wa CWT aandaliwa kashfa ya ngono, chongolo ‘style’ kutumika

    Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho. Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
  11. Jaji Mfawidhi

    Watesi wa Chongolo wameshinda: Mengi yaja

    Novemba 28, 2023 nilianza kuona fununu za aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kujiuzulu. Nikiri ilikuwa nimetokea msibani Bukoba ambako nilikaa siku nne, hivyo sikuwa na taarifa za kinachoendelea mtandaoni. Novemba 29, 2023 nilisafiri kwenda Nairobi, na hatimaye...
  12. Poppy Hatonn

    Nimesikia Chongolo amejiuzulu. Katibu Mkuu mpya ni nani?

    Baada ya kukosa thread nzuri ya kusoma,nimeamua kuandika thread yangu. Kwa hiyo Katibu Mkuu mpya ameshachaguliwa au bado mtutano unaendelea? Nampongeza Rais Samia kwa jinsi alivyoweza kuleta amani katika nchi. Naona mabadiliko yanaendelea ndani ya CCM. Jana nimepita Mererani nimekiona Kijiji...
  13. A

    Tetesi: Dotto James kumrithi Chongolo?

    Mheshimiwa Dotto James Ni mtu mnyenyekevu na mwenye uzoefu katika uongozi. Hakika tunajivunia uadilifu wake.
  14. K

    Kigwangalla: Baada ya mipango mizuri iliyotengenezwa kumuangusha Gekul na Chongolo, nani anafuata? Kuna wengine wanakuja!

    Kupitia X (zamani Twitter), Anaandika Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini Hivi baada ya a very carefully planned and executed mission ya kumuangusha Mhe. Gekul na Ndg. Chongolo, unaweza ku-guess anayefuata ni nani? Competitive intelligence imejikita kwenye kujua kitakachotokea kabla...
  15. Jidu La Mabambasi

    Kada Humphrey Polepole alisema juu ya yatakayompata Chongolo

    Yaani Polepole ni kada aliyewiva, na anakijua Chama Cha Mapinduzi, CCM Yaliyompata Katibu Mkuu Daniel Chongolo alitabiri muda mrefu uliopita. Mimi pia ni kada, lakini tunayoyaona sasa ni too much. Yetu macho.
  16. VUTA-NKUVUTE

    Chongolo uwe na amani, uchunguzi utafanyika na utatendewa haki. Chama kitaonesha ukubwa wake

    Kwanza, tunamshukuru Mungu kwa kuzuia hujuma zisizo na huruma kwa CCM yetu baada ya kuepusha kupokwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu jana. Shukrani zetu, kama makada waandamizi na wazee wa chama, ni kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia S. Hassan kwa kutusikiliza tulipomshauri cha kufanya...
  17. GENTAMYCINE

    Tafadhali tafuta Video Clip ya Makonda akitangaza CCM kupokea Barua ya Kujiuzuru Chongolo kisha niambie Kisaikolojia umegundua nini?

    Kwa wale Wabobezi wenzangu wa Psychology ( hasa ile Communication Psychology ) ambayo inajumuisha hadi Body Language ya Mtu bila Kusahau na Eye Contact yake naamini katika hiyo Video Clip mmegundua Mambo makubwa na tata kama Matatu mpaka Matano hivyo naomba sasa tuwasaidie wale ambao...
  18. The Supreme Conqueror

    Rais Samia Aridhia Chongolo Ajiuzulu.

    Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameijulisha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kupokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo, na ameridhia ombi hilo. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema hayo...
Back
Top Bottom