nimeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marry Diana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kujizuia jamani

    Shikamoon wakubwa zangu Unajua kuna namna ukipita, au ukiwa kwenye Nyakati ngumu unajikuta, huwazi mambo ya ngono na huhitaji mpenzi. Sasa kwasasa angalau nipo kwenye wakati mzuri. So kuna kitu nakuta nakikosa, mmmh nyege mbaya niwe mkweli nimeshindwa kukaza, mbaya zaidi hata mtu wangu...
  2. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumshauri dogo naombeni busara zenu

    Dogo alipewa smartphone na dada wa rafiki yake ambaye ni mkubwa tu kaolewa na anafamilia kubwa. Sasa simu ya rafiki yake ilipoharibika ANAOMBWA hii aliyopewa kila muda na rafiki yake kama watukimi wote haombwi na alimpatia Kuna siku aliombwa akarudishiwa baadhi ya files zimefutwa je amumpe tu...
  3. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Hapa nimeshindwa kumwelewa Putin. Inawezekana kuna Uhuni anatufanyia yeye na Marekani

    Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nimeshindwa kabisa kusahau yaliyotokea oktoba29 sitasahau mpaka naingia kaburini!

    Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani, sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote! Waafrika tunaroho mbaya sana, waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapa nimeshindwa mwelewa Sheikh. Anamaanisha kweli?

    Sheikh anawezaje sema haya maneno nasi tukamkubalia tu? Mbona ni mkanganyiko mkubwa? ===== JamiiCheck imefuatilia kipande hicho cha video na kubaini kuwa kimekatwa kutoka kwenye video ndefu hivyo kutokukamilisha ujumbe uliokusudiwa. Kwa kutumia Google Reverse image search imebainika video...
  6. Bmw m5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kula tunda

    Wakuu salaaam.. Moja kwa moja kwenye mada Leo nilipata kutembelewa ofisini na bibie mdogo miaka 18 hivi. Katika moja na mbili nikatupia ndoano kumvua kimwana huyu mzuri wa sura na shape. Ilivyo bahati ikabidi tuandae mazingira ya kula hapo hapo ofisini mida ya jioni saa mbili kasoro. Piga...
  7. Daby

    JamiiForums Tanzania Umeshindwa kuacha kula nini?? Binafsi nimeshindwa kuacha Kula idadi kubwa ya Tende licha kujua athari zake.

    Nimejitahidi kuacha sukari na chumvi kwa kiasi fulani ila nimeingia kwenye uraibu wa tende. Kwa siku naweza kula 50. Meno yananiuma ila nikiziona tu roho inanianza. Nimeshindwa kuacha tende. Wewe umeshindwa kuacha kula nini ambacho unajua kabisa hakihitajiki kiliwe kwa wingi kama unavyokila??
  8. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari mpaka nimeogopa: nimeshindwa kukijua chanzo cha MUNGU na kule alikotokea, nimeogopa zaid kutokujua chanzo chake

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Leo nikiwa nimekaa nimetulia ndan, hii ni baada ya mvua kubwa kunyesha na kinikwamisha kwenda parokian, kanisan kusali Lakini mda huo ambao nikiwa nimekwama kwenda kanisani kwa sababu ya changamoto ya baraka ya mvua nikawa nawaza ivi MUNGU MWENYEZI alitokea...
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kujizuia kwa wamama watu wazima

    Wadau habari za muda Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu. Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuwa ananizidi kama miaka 20 hivi sasa toka kipindi hicho naona kama...
  10. Kahama- shy

    JamiiForums Tanzania Kichwa kinauma sana nimeshindwa kwa maana nimefail

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF heri ya Pasaka kwenu , Natumaini mnamalizia pasaka vema, kwa wenye changamoto poleni sana, Ndugu zangu wakati mkiwa mnasherekea na kumalizia sikukuu kesho pia ni kazini na vibaruani pia kwa Watoto wanaenda shule, Nimeanzisha Uzi muda umekosa wachangiaji...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalam naomba mnasadie na kwa namna gani naweza kupata verification notification to my android. Nimeshindwa kabisa kulog in kwa accout zangu zote

  12. didy muhenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejikaza ila nimeshindwa

    Wakuu nimeliweka moyoni na jaribu kulificha ila ngoja tushee labla mawazo chanya yatapatikana. Inshort natarajia kuoa japo ndoa yenyewe inapingwa kama katiba mpya na CCM na mpingaji ni mama yangu akidai hataki nimuoe huyu binti kutokana na shughuli yake. Huyu binti ni mwanasiasa wa chama...
  13. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  14. Minjingu Jingu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu DC ameidharau sana Yanga. Nimeshindwa mwelewa kabisa kwa hii kauli yake kwa TBR United

  15. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuelewa kabisa aisee

    Huu ushuhuda umekaaje aisee kwa aliyeelewa
  16. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie link ya kudownload majina Facebook

    WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
  17. SankaraBoukaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac ya Washing Machine.

    Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu nataka kufanya biashara ya viatu vya kike. Naombeni ushauri

    Habari waungwana mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu na ninaitaji kufnya biashara ya viatu vya kike nifanyaje
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika. Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora. Assalam alyekum kwa Waislam, Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam. Wapagani, salama...
  20. Jeep wrangler

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wananigombania, nisaidieni kutoka katika hili. Nimejitahidi, nimeshindwa

    Habari wanajukwaa. Huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi lakini hili limekuwa gumu nisaidieni Kama nilivyoandika hapo juu: Yangu nikiwa ndogo wanawake wadogo Kwa wakubwa wamekuwa wakivutiwa kufanya ngono NAMI Nakumbuka nikiwa mdogo kabisa na nikiwa sijui chochote, kuna Binti wa F4...
Back
Top Bottom