Search results

  1. econonist

    JWTZ na Waziri Mkuu ingilieni kati huu utapeli

    Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo...
  2. econonist

    Kwanini Rais Samia katumia strategies hizi? Kuna Nini kimejificha?

    Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa 2024 na 2025, inaonekana Kuna mbinu ambazo Samia amezitumia ili kushinda huo uchaguzi. 1. Strategy ya kisheria, Muswada wa Tume Huru ya Uchaguzi feki: Ili kupata uhalali wa upinzani kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025...
  3. econonist

    Rais Samia aache kukwepa majukumu

    Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi. Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni...
  4. econonist

    Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

    Habari Wana JF. Kwanza nielezee masikitiko yangu kwa kauli ya Jana ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Mbowe kwamba anajuta kumwamini Rais Samia Mheshimiwa Mbowe alipigiwa kelele sana kuhusu kuingia maridhiano na CCM hakusikia kabisa. Nakumbuka kwenye mkutano wa CHADEMA Mwanza, tarehe...
  5. econonist

    Makosa tunayotakiwa kurekebisha kama nchi

    makosa tunayotakiwa kurekebisha Kama nchi, kwa baadhi, ni kama ifuatavyo: 1. kutokuwa na mfumo rasmi wa kiuchumi. Katiba yetu ya mwaka 1977, ibara ya 3 (1) inaitambua Tanzania Kama nchi yenye mfumo wa kijamaa. Hivyo Tanzania kisheria inafuata mfumo wa kiuchumi wa kijamaa, lakini ukija kwenye...
  6. econonist

    IDF yawataka Viongozi wa Hamas wajisalimishe

    Jeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao. IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa...
  7. econonist

    Israel Sasa inatosha

    Mimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio Hamas ni raia wa kawaida wa Gaza. Kama ni kisasi kimeshalipwa. Maana mpaka Sasa wameuawa wapalestina...
  8. econonist

    Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano

    Kwa Sasa mapigano ya IDF na Hamas yanakaribia mwisho. Eneo la Hospitali ya Al Shifa na Hospitali ya Rantisi ndio yalikuwa maeneo magumu kwenye mapambano ya Hamas na IDF. Kwenye Hospitali ya Rantisi jijini Gaza iligundulika kwamba Hamas waliwaficha raia karibia 1000 humo ndani. Baada ya mapigano...
  9. econonist

    Hatimaye IDF yatwaa ngome kuu ya Hamas jijini Gaza

    Hatimaye Jeshi la Israel limeweza kuitwaa ngome kuu ya Hamas katikati mwa JIJi la Gaza. Ngome hiyo maarufu Kama Central Hamas Military quarter iliyopakana na hospitali ya eneo la Shifa. Kikosi Cha 162 Cha IDF kilichotwaa ngome hiyo kimefanikiwa kuwaua wapiganaji wa Hamas 50 na kwa Sasa...
  10. econonist

    Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

    Mkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine. Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii...
  11. econonist

    Kwanini Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe?

    Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
  12. econonist

    Ushauri kwa Simba: Kipigo Cha Leo kitutoe usingizini.

    Naomba kuwapa pole mashabiki wa Simba kwa kipigo Cha Leo. Sio lelemama. Kutokana na kipigo hicho Simba inatakiwa ikitumie kipigo hicho Kama changamoto ya mabadiliko. Ila Simba Kama Klabu ikichukulia kipigo hiki Kama kawaida, basi yatakuja makubwa zaidi. Naomba nishauri yafuatayao: 1. Kwanza...
  13. econonist

    Viongozi wetu wajifunze dhima za mikutano

    Nimeshangazwa na Viongozi wetu kutojua dhima ya mkutano au kusudio la mkutano wanaoshiriki. Mfano mzuri ni mkutano wa Leo pale Manyara Babati kwenye uwanja wa Tanzanite. Dhima kubwa ya mkutano ule au tuseme sherehe ile ilikuwa kumuenzi baba wa taifa, ila Viongozi wetu walikuwa tofauti na dhima...
  14. econonist

    Kuna uwezekano Royal Tour haikuleta faida

    Akiongea Leo wakati akipokea Ripoti kuhusu utendaji wa Wizara ya mambo ya nje kwenye Ikulu ya Dar, Rais Samiah amedai kwamba suala la branding sio suluhisho, kwani tumefanya branding nyingi na kutumia makampuni ya ulaya lakini hakuna faida iliyopatikana na zaidi imeleta hasara kwa serikali. Kwa...
  15. econonist

    CHADEMA iende kuwekeza nguvu Zanzibar

    Hakuna wakati muafaka Kama huu kwa chama Cha CHADEMA kwenda kuwekeza nguvu Zanzibar. Sababu zangu kwa ombi Hilo ni zifuatazo. 1. Kwanza, Kwa Sasa harakati za kisiasa Zanzibar zimepoa baada ya Maalim seif Kuondoka duniani. Hivyo kwa Sasa upinzani Zanzibar hauna political figure kama ilivyokuwa...
  16. econonist

    Hizi ni ziara za Rais au ni kampeni za uchaguzi?

    Nimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi. Sababu zangu ni zifuatazo: 1. Sababu ya kwanza, Kila anayesimama anampigia debe Rais kana kwamba ni mkutano...
  17. econonist

    Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  18. econonist

    Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai ni Batili kwenye sheria za kimataifa

    Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa. Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za...
  19. econonist

    Je, inawezekana Bunge kukataa kupitisha mkataba uliokwisha sainiwa na Serikali?

    Swali la msingi ni kwenye kuridhia mikataba ya kimataifa, Bunge linauwezo wa kuukataa mkataba ambao umekwisha sainiwa na serikali? Na Je, Bunge likiukataa huo mkataba Nini kitatokea? Naomba mtaalamu wa sheria za Kimataifa kwenye ratifications of treaties atusaidie.
  20. econonist

    Ofisi ya CAG ifutwe kama hatutaki kupambana na ufisadi

    Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika. Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho hilo. Nikiondoa tukio la CAG Assad kuitwa mbele ya kamati ya bunge kujieleza kipindi Cha ndugai...
Back
Top Bottom