econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,818
- 21,815
Kwa Sasa mapigano ya IDF na Hamas yanakaribia mwisho. Eneo la Hospitali ya Al Shifa na Hospitali ya Rantisi ndio yalikuwa maeneo magumu kwenye mapambano ya Hamas na IDF.
Kwenye Hospitali ya Rantisi jijini Gaza iligundulika kwamba Hamas waliwaficha raia karibia 1000 humo ndani. Baada ya mapigano makali Kiiongozi wa Hamas aitwaye Ahmed Siam alikimbilia kwenye shule iittwayo Al Buraq hapo jijini Gaza. Baadae IDF waliamua kumuua Siam na wapiganaji na watu wengine hamsini waliokuwa wamejificha kwenye shule hiyo.
Kwa Sasa eneo liliobakia ni hiyo Hospitali ya Al Shifa ambako mapigano makali yanaendelea kati ya IDF na Hamas. Israel imetoa muda wa raia kuondoka ili ishughulike na Hamas waliobakia kwenye Handaki huko Chini.
Kwa habari za chinichini inasemekana mateka wapo Chini kwenye Handaki ya Hospitali hiyo. Pia wapiganaji wa Hamas waliokamatwa wamedai kiongozi wao Yahya Sinwar amejificha huko Chini.
Israel wakifanikwa kuwatoa raia eneo Hilo na kuwapata mateka hao kazi itakuwa imeisha. Kinachochelewesha operation hiyo ni uwingi wa raia waliokwama kwenye eneo Hilo, hivyo kuwafanya IDF kuwashambulia Hamas kwa tahadhari.