kuishambulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keyboard_Warrior

    Trump: Usiku wa leo tunaenda kuishambulia vibaya sana Iran.

    Trump anaenda kujitia kidole cha macho.
  2. Chizi Maarifa

    Israel yaendelea kuishambulia Iran. Yataka Vita ianze au iendelee. Yapiga maeneo nyeti ya Kijeshi

    Hawa Waisrael wameshindikana... Hawataki kabisa Iran kupoe. Jamaa wanaona kama Iran ni sehemu yao ya kujipimia ubavu. Hivi ingekuwa ni Taifa kubwa ingelifanyia hivi kweli?
  3. Keyboard_Warrior

    Iran yatishia kuishambulia Israel endapo Beirut itashambuliwa na Israel

    Hawa Iran uthubutu wa kumchimba mkwara Netanyahu wanautoa wapi!? Siku zinakimbia sana aisee!!! Kuna kipindi Israel na Marekani walikuwa wanatafuta sababu ya kumtandika Iran, ila sasa hivi Iran ndio anatafuta sababu ya kumtandika Israel.
  4. Ritz

    Trump anatishia kuishambulia Oman

    Wanaukumbi. Rais wa Marekani Donald Trump amekataa pendekezo lililoripotiwa ambapo Oman na Iran walikuwa wakijadili mpango wa kutoza ushuru meli zinazopita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz. "Oman haina budi kufuta mkondo wa watu wengine, la sivyo tutawaangamiza. Wanafikiri kila kitu kitakuwa...
  5. Echolima1

    Muda wa kuishambulia miundombinu ya Iran umefika!!!!

    Kauli ya mwisho ya Rais Trump kwa Tehran inaisha saa 2:00 PM saa za Washington (saa 3:30 AM saa za Iran, saa 3:00 Tanzania) usiku wa leo, ikiacha chini ya saa 10 tu. Tarehe ya mwisho, iliyowekwa wiki moja iliyopita kutokana na mvutano unaoongezeka kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, imesababisha...
  6. ChoiceVariable

    Mitandao Yote Imejaa Picha za Iran Kuishambulia Israel Kwa Sababu Dunia Nzima Imechukia Uonezi wa Israel

    My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
  7. R

    Balozi wa Iran: Hatuna Mpango wa Kuishambulia Kenya...

    Iran has allayed fears of alleged plans to target Kenya amid an escalating war with the United States and Israel. During a press briefing in Nairobi on Monday, Iranian Ambassador to Kenya Dr Ali Gholampour noted that Kenya does not provide a US military facility with the capability to attack...
  8. kimsboy

    US kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

    Vita inakuja sahivi wanahesabu masaa tu, huko Israel mahandaki yashafunguliwa Marekani wenyewe washaanza kuondia wanajeshi kwenye bases zao...Sidhani kama round hii itapita bila mtwangano kutokea
  9. Echolima1

    Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

    BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7 Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache. Israeli wala Marekani hawajatoa maoni. Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani...
  10. gallow bird

    Fitina za marekani zafeli Iran,sasa kuishambulia

    Iran imetangaza kukamata zaidi ya waratibu maandamano miambili wakiwa na shehena kubwa ya silaha,vilipuzi na mabomu ya petrol, wakiwemo watumishi wa MOSSAD, shirika la ujasusi Israel Baada ya kamata kamata hiyo maandamano yamepoteza shinikizo na kupungua tangu alhamisi Leo shirika la habari...
  11. I

    Marekani inajiweka tayari kuishambulia Iran

    Ndege nyingi za Jeshi la Anga la Marekani zimeonekana zikiondoka katika kambi mbalimbali nchini Marekani na pia kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Uingereza, zikielekea Mashariki ya Kati. Ndege hizo ni pamoja na za kujaza mafuta angani na ndege kubwa za kusafirisha wanajeshi na vifaa...
  12. Richard

    Marekani yajiandaa kuishambulia Colombia ili kumchukua Rais Gustavo Petro, majasusi wa CIA tayari wapo kwenye miji ya Bogota na Cucuta

    Raisi Donald Trump amesema Marekani ni lazima iwe na uhakika wa usalama wake pale tu endapo eneo lake la Marekani ya Kusini ( Western Hemisphere) litakuwa salama na tulivu. Rais Trump amesema rais wa Colombia Gustavo Petro ni mgonjwa na kwa muda sasa rais Petro amekuwa chini ya vikwazo kadhaa...
  13. RRONDO

    Venezuela yashambuliwa na Marekani

    Kuna milipuko mikubwa imetokea mji mkuu wa Venezuela, Caracas. Inaelekea wizara ya ulinzi imeshambuliwa. Bado taarifa rasmi kuhusu shambulio hilo hazijatolewa. Updates:Baada ya mashambulizi yq masaa kadhaa USA wamemkamata nq kumchukua Rais Maduro wa Venezuela. Yuko njiani kupelekwa USA.
  14. Echolima1

    Israel yaangalia uwezekano wa kuishambulia tena Iran!!!

    🚨 Israel yaionya Marekani: Majaribio ya Makombola ya Iran yanaweza kuficha shambulizi la Iran dhidi ya nchi yake. Maafisa wa Israel wameutahadharisha utawala wa Trump kwamba zoezi kubwa la kombora la IRGC huenda likawa kificho kwa shambulio la kushtukiza linaloweza kutokea dhidi ya Israel...
  15. Webabu

    Hizbullah wasema mvua ya makombora kuanza kuinyeshea tena Israel isipoacha kuishambulia Lebanon

    Naim Qassem ambaye ni kiongozi wa Hizbullah amesema kundi lake halijaona umuhimu wa kusalimisha silaha zake kwa serikali ya Lebanon wakati Israel imevunja mkataba wa kusitisha vita na inaenndelea kuishambulia Lebanon. Katika hotuba yake kupitia televisheni,kiongozi huyo ameitaka serikali ya...
  16. Komeo Lachuma

    Trump aweka mguu usawa Nyambizi tayari kuishambulia Urusi ikiwa watamlazimisha

    Katika kile kinachoonesha ubabe wa Marekani. Na kauli za kibabe kujibiwa na aliyewahi kuwa Rais wa Urusi miaka ya nyuma. Trump ameziweka mguu sawa Nyambizi zake zenye nguvu ya Kinyuklia akisubiri tu Putin aseme kitu kuchangamke. Ndo unagundua kuna kitu Marekani wameona kwa Urusi.
  17. inamankusweke

    Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

    Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa...
  18. Echolima1

    Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: Abwabwaja kuishambulia Israel bila kusita!

    Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: "Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu." “Mytake” Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi...
  19. The Zanzibar Echo

    Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine kwa makombora

    Urusi imerusha kombora katika mji wa viwanda wa Samar kusini mashariki mwa Ukraine na kusababisha vifo vya watu watano huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa. Gavana wa mji huo Serhiy Lysak, amesema katika mtandao wake wa Telegram kwamba watu wanne kati ya waliojeruhiwa wako katika hali mahututi...
  20. U

    Breaking News Waziri wa ulinzi Israel aagiza IDF kuishambulia Iran baada ya kukiuka makubaliano ya kuacha ya. Amani baino yao

    . Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’ By Lazar Berman Follow Today, 11:22 am Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire. “Iran broke the...
Back
Top Bottom