Search results

  1. E

    Ndani ya muda mfupi nimekosa Imani na tume ya mipango

    Juzi nilimsikiliza waziri wa mipango akiongea clouds nilishangaa sana waziri wa mipango anaongea habari ya ajira kama ambavyo kila layman anaongea. eti anasema serikali haitoi ajira watu wajiaijri. Mimi siamini kama vijana wanakosa ajira, wanakosa kwa sababu ya kukataa ajira za sekita binafsi...
  2. E

    Kitabu cha unga sera na mitaala ya elimu 2023

    Ndugu watanzana sera na mitaala ya elmu ya 2023 ni mibovu inahitaji kubadilishwa kabla ya kuanza kutumika. Mama alisema watanzania semeni ili kujenga taifa lenu sasa ego tumeamua kuongea kupitia kalamu. Mitaala na sera ni mibovu kwa kuwa waandaji (kamati) wa mitaala hawaonekani kuelewa taifa...
  3. E

    Ishara za tukio la Hanang zinaashiria kubomoka kwa bwawa la maji kulikoni

    Kama mtaalamu niliyeshiriki kujenga vyanzo vya maji mbalimbali pamoja na mabwawa ninapata shida kuamini kuwa killchotoea Hanang ni natural land slide Kiwango kikuubwa cha maji kikifuatiwa na tope mda mfupi tena vinatiririka njia ya mto ni kuashiria storage ya maji upsteams kubomoka. Sasa...
  4. E

    Waziri wa Afya atuombe radhi Wakulima na Wafanyabiashara ya matunda

    Kauli ya Waziri wa Afya kuwaeleza Watanzana kuacha kula matunda mchanganyiko si ya kitaalamu bali imejaa hisia yenye lengo la kuharibu soko la matunda ambalo linashamiri Tanga ni wakulima wazuri sana wa matunda hivyo kama mbunge anayetoa Tanga tulitegemea ahakiki taarifa aliyopewa na wataalamu...
  5. E

    Hivi aliyeshindwa kusimamia bandari zetu aachishwe kazi au alete mwingine

    ninasikiliza mambo ambayo serikali na chama wanasema juu ya bandari najiuliza mambo mengi lakini kubwa sijui kama hawa watu wanaelewa maana ya kuongoza serikali ni nini yaani umeewa bandari unatuambia bandari inakusanya bilioni 700 na serikali inaata bilioni tatu, sekita binafsi sisi kwa...
  6. E

    Bandari ya Dar tuachane na Dubai tuwape Wachina

    Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona. Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai. Dubai wamekamata bandari zote kwenye ukanda wa mashariki mwa Afrika, kuanzia embe ya Afrika huko Djibout maka kusini...
  7. E

    Watanzania tupinge siasa za kinafiki. Anayesema no DP WORLD aseme sasa

    Kuna watu wanasoma upepo, akiona ugali uko kwenye wanaosema YES wakati mawazo yake ni NO anakaa kimya kama hayupo. Siku akiona upepo umebadilika anabadilika na kuanza kusema NO. Lazima tujenge watanzania katika kusimamia kile wanachokiamini. Ukiamua kusema NO sema no kwa hoja na ukiamua...
  8. E

    Turufu yetu ya mwisho kujitoa mkataba wa DP World ni kuwakata waliohusika kujadili na kusaini kwa tuhuma za rushwa

    Kama mkataba ni mbaya na ni wa milele, Turufu yetu ya kwanza kujitoa ilikuwa kupingwa na bunge ingekuwa wazi kwamba mchakato wa kisheria haukamiliki kwa mtu mmoja kutia saini. Hiyo wabunge wetu wanajigamba kuwa magwiji wa sheria hawakuona. Sasa ni kuunda timu ya kuchunguza ambayo itaibuka na...
  9. E

    Mbadala wa Mkataba wa Bandari na DP World huu hapa

    Tuunde kampuni ya bandari, Tuandae mpango wa kuunganisha nchi za "east and central africa" na bandari yetu. Hapa tutazungumza na nchi kama zambia, kongo, burundi, uganda, afrika ya kati. Halafu tutengeneze master plan itakayojumuisha upanuzi wa bandari, ujenzi wa njia za kusafirisha mizigo...
  10. E

    Sera zisizotabilika kwenye kilimo zitaua kilimo

    Kilimo kitaendelezwa na upatikanaji wa soko la uhakika. Kwa miaka ya hivi karibuni Tanzania tulikuwa tumeanza kukamata masoko ya chakula katika nchi jirani kama Kenya na Kongo. Tunasikia jinsi ambavyo kenya inahangaika na uhaba wa chakula, badala ya watanzania kuplani hawa ndugu zetu kuchukua...
  11. E

    Mkataba DP World, Bandari ya Mangapwani, Daraja la Zanzibar: Miradi hii ina uhusiano?

    Zanzibari wana mpango wa kujenga bandari kubwa kuliko zote Africa Mashariki. bandari hii haiwezekani kama Zanzibari haina mzigo wa kutosha. Mzigo wa Zanzibari peke yake hautoshi kujenga bandari kubwa Zanzibari. Lakini Zanzibari ikiwa na uhakika wa kuhudumia mizigo ya Tanzania bara pamoja na...
  12. E

    Ubovu wa sera na mitaala ya elimu 2023 - kurudisha ufundi sekondari ni kukosa dira na mipango

    Watanzania hii fursa ya kurekebisha mitaala ni fursa adhimu sana, ni nafasi ya kuweka mambo mengi sawa lakini fursa hiyo inaweza kupotezwa na watu wachache bila kuwa na maono yoyote wakavuruga. Mpaka leo najiuliza ni mtaalamu gani anayeweza kutoa mapendekezo butu na kujaribu kuvuruga dira za...
  13. E

    Sera mpya ya Elimu na Mitaala ni mibovu, ni mwendelezo wa kuwa na Elimu mbovu

    Hii tume ya marekebisho ya mitaala ya elimu ukitazama mapendekezo yao ni wazi hawana uwezo wa kukwamua elimu ya Tanzania. ukitazama mapendekezo unaona kabisa ni watu ambao kwanza hawana taarifa kama elimu yetu ni mbovu, yawezekana ni watu walewale waliokuwa wakifundisha wakati hawajui kama...
  14. E

    Rais Samia zuia vibali vya chakula kwa sasa, utalaumiwa lakini Taifa litakukumbuka kama mkombozi wa kiuchumi

    Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo. Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita. Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia. Wamisri walikuwa utumwani misri...
  15. E

    Ushauri kwa Fei Toto, fuata maslahi

    Hapa ulipofika ndiyo uko kwenye kilele cha taaluma yako Umefika hapa kwa kipaji na juhudi kazako na unastahili kupata mavuno ya kazi zako. Bahati mbaya maisha ya bongo yamejaa utapeli mwingi, Wenzetu ulaya hatua hizi walishazipitia na wakaweka utaratibu mzuri. mchezaji anaweza kuchukuliwa...
  16. E

    Watu wazuri hawafi haraka - ni blackmail kwa utawala

    Kila nikitafakari kauli ya "watu wazuri hawafi haraka" inanichanganya maana ninaiona kama blackmail kwa utawala
  17. E

    Dkt. Bashiru ameikumbusha CCM kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi siyo walanguzi!

    Kauli ya Dr Bashiru na mjadala ulioibuka unatosha kufanya tathmini ya chama. Sisi tukiwa elimu ya msingi tulifundishwa kuwa CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi, je hivi kweli chama chetu hiki kinasimamia hiyo misingi iliyoasisiwa na waasisi wake? Hotuba ya bashiru iliashiria mwana CCM...
  18. E

    It should be a criminal offense to "kuwazuia polisi waliovalia sare za kazi"

    Tumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia. Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini...
  19. E

    Ushauri kwa Waziri wa Michezo - Andaa watoto kuwa wanamichezo achana na samaki wakavu

    Nimemsikia waziri wa michezo akisema majina makubwa yataachwa kwenye timu ya taifa, na anasema wataenda kijiji kwa kijiji kutafuta wachezaji. ukweli ni kwamba Waziri hata kwa mbinu hiyo hutapata timu. Mpira au mchezo wowote duniani ulishatoka kwenye vipaji. Kanuni ya kupata wanamichezo ni...
  20. E

    Chimbuko la vitambi linatoka wizara ya elimu na afya, siyo jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi. Tulitegemea...
Back
Top Bottom