Ishara za tukio la Hanang zinaashiria kubomoka kwa bwawa la maji kulikoni

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Kama mtaalamu niliyeshiriki kujenga vyanzo vya maji mbalimbali pamoja na mabwawa ninapata shida kuamini kuwa killchotoea Hanang ni natural land slide

Kiwango kikuubwa cha maji kikifuatiwa na tope mda mfupi tena vinatiririka njia ya mto ni kuashiria storage ya maji upsteams kubomoka.

Sasa nikitazama mitandao naona kuna mradi wa maji umejengwa kwenye huo mto hivi karbuni.

Je, huo mradi haukujenga bwawa?

Na kama uliljengwa bwawa ni wazi shida ni bwawa au ni kabla ya bwawa

Hili kwetu sisi wataalamu lna maana kubwa kwa maana matukio kama haya ndiyo hukumbusha jamii kuweka na kufuata viwango na taratibu. Kwa sasa tunajenga miradi kama hiyo maeneo mengi nchini, wataalamu, wanye makampuni, serikali na wadau wote kujua potential risk iliyopo ndiyo itakuza utaalamu sekita husika.

Najiuliza kwa nini mpaka sasa hatuoni picha za mlima uliomeguka ?

Kitu kikubwa ni kama ni man made structure failure je tunaweka taratibu zipi ambazo zitazua matukio kama haya yasitokee tena.?
 
Binafsi sijakuelewa ndugu msomi!
Kama mtaalamu niliyeshiriki kujenga vyanzo vya maji mbalimbali pamoja na mabwawa ninapata shida kuamini kuwa killchotoea Hanang ni natural land slide

kiwango kikuubwa cha maji kikifuatiwa na tope mda mfupi tena vinatiririka njia ya mto ni kuashiria storage ya maji upsteams kubomoka.

sasa nikitazama mitandao naona kuna mradi wa maji umejengwa kwenye huo mto hivi karbuni.

je huo mradi haukujenga bwawa?

na kama uliljengwa bwawa ni wazi shida ni bwawa au ni kabla ya bwawa

hli kwetu sisi wataalamu lna maana kubwa kwa maana matukio kama haya ndiyo hukumbusha jamii kuweka na kufuata viwango na taratibu. Kwa sasa tunajenga miradi kama hiyo maeneo mengi nchini, wataalamu, wanye makampuni, serikali na wadau wote kujua potential risk iliyopo ndiyo itakuza utaalamu sekita husika.

najiuliza kwa nini mpaka sasa hatuoni picha za mlima uliomeguka ?

Aah umejileta mwenyewe, kwanza kabisa mlipotea mafichoni bila kutupa jibu la tope la Kunduchi, mlifika kwa mbwembwe wengine wakipima kwa kijiti kisha ziii!
Leo tupe jibu baba.
 
Kama mtaalamu niliyeshiriki kujenga vyanzo vya maji mbalimbali pamoja na mabwawa ninapata shida kuamini kuwa killchotoea Hanang ni natural land slide

kiwango kikuubwa cha maji kikifuatiwa na tope mda mfupi tena vinatiririka njia ya mto ni kuashiria storage ya maji upsteams kubomoka.

sasa nikitazama mitandao naona kuna mradi wa maji umejengwa kwenye huo mto hivi karbuni.

je huo mradi haukujenga bwawa?

na kama uliljengwa bwawa ni wazi shida ni bwawa au ni kabla ya bwawa

hli kwetu sisi wataalamu lna maana kubwa kwa maana matukio kama haya ndiyo hukumbusha jamii kuweka na kufuata viwango na taratibu. Kwa sasa tunajenga miradi kama hiyo maeneo mengi nchini, wataalamu, wanye makampuni, serikali na wadau wote kujua potential risk iliyopo ndiyo itakuza utaalamu sekita husika.

najiuliza kwa nini mpaka sasa hatuoni picha za mlima uliomeguka ?

Kitu kikubwa ni kama ni man made structure failure je tunaweka taratibu zipi ambazo zitazua matukio kama haya yasitokee tena.?
Funuñu ,hii ni funuñu"up stream"
 
Back
Top Bottom