Rais Samia zuia vibali vya chakula kwa sasa, utalaumiwa lakini Taifa litakukumbuka kama mkombozi wa kiuchumi

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo.

Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita.

Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia.

Wamisri walikuwa utumwani misri, walikuwa wanakula na kunywa lakini walikuwa watumwa. Wamisri hawa walivyoambiwa kuwa wanatoka misri utumwani na kwenda nchi ya ahadi, wao walidhani ni swala la kutoka kwenye utumwa na kuanza kula bata mara moja.

Wamisri hawa walianza safari, lakini kumbe ili wafike nchi ya ahadi, walitakiwa kupitia jangwani ambako kuna shida.. Jangwani walikabiliana na njaa na kiu. Wamisri hawa hawakuwa tayari kuvumilia shida walipofika jangwani. walianza kupiga kelele na kutamani kurudi utumwani misri kwani huko walikula na kunywa.

Kama wamisri wale wangekuwa na maamuzi, wangerejea misri na kuachana na safari ya kwenda nchi ya ahadi.Mama umasikini ni sawa na utumwa. Watanzania wamekaa katika utumwa wa umasikini kwa mda mrefu.

Kilimio kinayo nafasi kubwa sana ya kuwatoa watanzania katika utumwa wa umasikini. Lakini ili kilimo kikue na kulikomboa taifa lazima kuna jangwa la kukatiza ili kufika nchi ya ahadi. Ili kilimo kikue ni lazima kufungua masoko ya nje yategemee uzalishaji wetu wa ndani. hapa ndipo penye jangwa sasa. unapofungua masoko ya nje ni wazi kwamba demand itakuwa kubwa kuliko supply na hiyo italeta mfumuko wa bei katika chakula.

Lakini mama mfumuko wa bei ni gea ya kwanza itakayosukuma watanzania kuwekeza katika kilimo. mfumuko huo wa bei utawafanya vijana kufanya kilimo kama ajira. vijana kitu chochote ambacho wakifanya wanapata faida wala hawahitaji kuimbiwa nyimbo watafanya tu. hakuna anayewaimbia vijana kufanya kazi za boda boda, wao wakiona wanaendesha na kuendesha maisha yao watafanya tu na tena serikali itagombana nao kwa kutofuata taratibu.

Mama mfumuko huu wa bei ndiyo chachu ya kuendeleza kilimo chetu, mfumuko huu wa bei ni bei nzuri kwa mazao ya kilimo. kijana akipiga mahesabu kulima ekari moja ya mahindi akajua anaweza kupata kima cha chini cha mshahara kwa mwaka mzima ataenda kulima.

Ukitoa vibali vya kuagiza chakula, kwa kusikiliza wamisri wanaoogopa jangwa na kutamani tanzania irudi misri utumwani tuendelee kula lakini tukiwa utumwani.

Serikali zilizopita zilishindwa kukwamua kilimo kwa kuwa watu waliogopa jangwa. wakaanza kuzuia chakula kuuzwa nje ili kuzuia mfumuko wa bei, walizuia chakula kutengenezwa vitu mbadala kama kuchoma mahindi ili eti kulinda taifa lisiwe na njaa.

Wachumi wa leo wanaojua uchumi wanakwambia "confort zone" ni shida sana. ukitaka kubadiri mfumo wa maisha lazima uachane na confort zone. kama watanzania tunataka kukomboa kilimo chetu ni lazima tuachane na conforte zone ya "cheap food prices"

Tujiandae kununua vyakula kwa gharama ya juu kwa miaka kama 5. wakulimaa wataongeza uzalishaji kutosheleza soko letu la ndani na nje.

Serikali inachoweza kufanya ni kuweka ruzuku kwenye chakula kinachokwenda nje ili bei zetu bado ziwavutie wanunuzi kutoka nje. Serikali isamehe ushuru kwenye mazao yote ya chakula yanayolengwa kuongeza uzalishaji. Sasa ni hatma ya kuvumilia shida hizi za mfumuko wa bei ambao unaletwa na kufungua masoko ya chakula ya nje.

Wakulima kwa sababu wanapata faida wataongeza kilimo na juhudi zao, kwa kuwa chakula kitakuwa hakilipi kodi kuongezeka kwa mazao ya chakula kutaongeza kipato kwa wakulima.

Watanzania wengi wataongeza uwezo wa kununua na hilo ndiyo nguzo kuu ya uchumi bora. hawa watanzania watachochea biashara maana wakulima watakuwa wananunua, kodi zinazopatikana kwenye traansactions zitaongezeka. wakulima wakipata vipato sekita zote zitainuka, wakulima watakuwa wanajenga nyumba nzuri mafundi watapata kazi, wauza vifaa vya ujenzi watapata masoko zaidi.

Kwa kifupi ukifungua kilimo kitafungua sekita zote kwa urahisi.

Lakini hiyo fursa unaweza kuifungwa kwa ama kuzuia wateja kutoka nje wasije kununua chakula ili tusiingie jangwani au kufungua bidhaa za chakula kuja kuua presha hii ambayo tunatakiwa kuielekeza kwa wakulima ili tusiende jangwani kuvuka kuelekea nchi ya ahadi.

Wizara ya kilimo inafanya vizuri ila tu kuna jambo hawakufanya ambalo lingepunguza kelele.
 
Daaaah, yani watanzania tuna maneno mengi sana.
Tunapenda sana kuchonga ngenga kuliko kutenda na kufanya kazi.

Nchi hii imekuwa na mijadala mingi isiyo na kichwa wala miguu.
Tena ubaya zaidi mijadala hiyo imejikita katika kuwasifia viongozi.

Waandishi hamfanyi tafiti na kuchambua mambo kwa kina kama wasomi.
Mpaka leo mnaendelea kufananisha utendaji wa Raisi Samia na Raisi Magufuli huku linchi linazama tu.
 
"Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia.

Wamisri walikuwa utumwani misri,"

Hii hadithi kwenye biblia haipo mkuu

Halafu wewe mkulima si ulifurahia walaji wakikamuliwa bei juu mkidai kama bei ni juu tukalime wote sasa tulia mkuu mlaji naye aneemeke kubalance eqn kama ulificha mchele utoe tu uuze sasa hivi kabla ya mwisho wa mwezi maana utakula hasara
 
Nyie mnataka azuie ili muendelee kutuuzia maharagwe kilo tshs 4000?, mchele tshs 4000?, kuweni na huruma.
Bei ya mchele inatakiwa isizidi 2500.

Hata hivyo walichelewa kutuletea mchele ili walaji tupumue kidogo
 
Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo.

Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita.

Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia.

Wamisri walikuwa utumwani misri, walikuwa wanakula na kunywa lakini walikuwa watumwa. Wamisri hawa walivyoambiwa kuwa wanatoka misri utumwani na kwenda nchi ya ahadi, wao walidhani ni swala la kutoka kwenye utumwa na kuanza kula bata mara moja.

Wamisri hawa walianza safari, lakini kumbe ili wafike nchi ya ahadi, walitakiwa kupitia jangwani ambako kuna shida.. Jangwani walikabiliana na njaa na kiu. Wamisri hawa hawakuwa tayari kuvumilia shida walipofika jangwani. walianza kupiga kelele na kutamani kurudi utumwani misri kwani huko walikula na kunywa.

Kama wamisri wale wangekuwa na maamuzi, wangerejea misri na kuachana na safari ya kwenda nchi ya ahadi.Mama umasikini ni sawa na utumwa. Watanzania wamekaa katika utumwa wa umasikini kwa mda mrefu.

Kilimio kinayo nafasi kubwa sana ya kuwatoa watanzania katika utumwa wa umasikini. Lakini ili kilimo kikue na kulikomboa taifa lazima kuna jangwa la kukatiza ili kufika nchi ya ahadi. Ili kilimo kikue ni lazima kufungua masoko ya nje yategemee uzalishaji wetu wa ndani. hapa ndipo penye jangwa sasa. unapofungua masoko ya nje ni wazi kwamba demand itakuwa kubwa kuliko supply na hiyo italeta mfumuko wa bei katika chakula.

Lakini mama mfumuko wa bei ni gea ya kwanza itakayosukuma watanzania kuwekeza katika kilimo. mfumuko huo wa bei utawafanya vijana kufanya kilimo kama ajira. vijana kitu chochote ambacho wakifanya wanapata faida wala hawahitaji kuimbiwa nyimbo watafanya tu. hakuna anayewaimbia vijana kufanya kazi za boda boda, wao wakiona wanaendesha na kuendesha maisha yao watafanya tu na tena serikali itagombana nao kwa kutofuata taratibu.

Mama mfumuko huu wa bei ndiyo chachu ya kuendeleza kilimo chetu, mfumuko huu wa bei ni bei nzuri kwa mazao ya kilimo. kijana akipiga mahesabu kulima ekari moja ya mahindi akajua anaweza kupata kima cha chini cha mshahara kwa mwaka mzima ataenda kulima.

Ukitoa vibali vya kuagiza chakula, kwa kusikiliza wamisri wanaoogopa jangwa na kutamani tanzania irudi misri utumwani tuendelee kula lakini tukiwa utumwani.

Serikali zilizopita zilishindwa kukwamua kilimo kwa kuwa watu waliogopa jangwa. wakaanza kuzuia chakula kuuzwa nje ili kuzuia mfumuko wa bei, walizuia chakula kutengenezwa vitu mbadala kama kuchoma mahindi ili eti kulinda taifa lisiwe na njaa.

Wachumi wa leo wanaojua uchumi wanakwambia "confort zone" ni shida sana. ukitaka kubadiri mfumo wa maisha lazima uachane na confort zone. kama watanzania tunataka kukomboa kilimo chetu ni lazima tuachane na conforte zone ya "cheap food prices"

Tujiandae kununua vyakula kwa gharama ya juu kwa miaka kama 5. wakulimaa wataongeza uzalishaji kutosheleza soko letu la ndani na nje.

Serikali inachoweza kufanya ni kuweka ruzuku kwenye chakula kinachokwenda nje ili bei zetu bado ziwavutie wanunuzi kutoka nje. Serikali isamehe ushuru kwenye mazao yote ya chakula yanayolengwa kuongeza uzalishaji. Sasa ni hatma ya kuvumilia shida hizi za mfumuko wa bei ambao unaletwa na kufungua masoko ya chakula ya nje.

Wakulima kwa sababu wanapata faida wataongeza kilimo na juhudi zao, kwa kuwa chakula kitakuwa hakilipi kodi kuongezeka kwa mazao ya chakula kutaongeza kipato kwa wakulima.

Watanzania wengi wataongeza uwezo wa kununua na hilo ndiyo nguzo kuu ya uchumi bora. hawa watanzania watachochea biashara maana wakulima watakuwa wananunua, kodi zinazopatikana kwenye traansactions zitaongezeka. wakulima wakipata vipato sekita zote zitainuka, wakulima watakuwa wanajenga nyumba nzuri mafundi watapata kazi, wauza vifaa vya ujenzi watapata masoko zaidi.

Kwa kifupi ukifungua kilimo kitafungua sekita zote kwa urahisi.

Lakini hiyo fursa unaweza kuifungwa kwa ama kuzuia wateja kutoka nje wasije kununua chakula ili tusiingie jangwani au kufungua bidhaa za chakula kuja kuua presha hii ambayo tunatakiwa kuielekeza kwa wakulima ili tusiende jangwani kuvuka kuelekea nchi ya ahadi.

Wizara ya kilimo inafanya vizuri ila tu kuna jambo hawakufanya ambalo lingepunguza kelele.
👉 🚮
 
Kinachohitajika sasa hivi ni elimu kwa wakulima ambao hawama elimu ya biashara ya mazao ili wasinufaishe madalali. Baasi. Lakini Soko liamue bei.
 
we sukuma gang tangu lini ukamtakea jema samia? we pia ni miongoni mwa walanguzi wa nafaka lazima uingie hofu
 
Daaaah, yani watanzania tuna maneno mengi sana.
Tunapenda sana kuchonga ngenga kuliko kutenda na kufanya kazi.

Nchi hii imekuwa na mijadala mingi isiyo na kichwa wala miguu.
Tena ubaya zaidi mijadala hiyo imejikita katika kuwasifia viongozi.

Waandishi hamfanyi tafiti na kuchambua mambo kwa kina kama wasomi.
Mpaka leo mnaendelea kufananisha utendaji wa Raisi Samia na Raisi Magufuli huku linchi linazama tu.
Hama nchi kama vipi
 
Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo.

Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita.

Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia.

Wamisri walikuwa utumwani misri, walikuwa wanakula na kunywa lakini walikuwa watumwa. Wamisri hawa walivyoambiwa kuwa wanatoka misri utumwani na kwenda nchi ya ahadi, wao walidhani ni swala la kutoka kwenye utumwa na kuanza kula bata mara moja.

Wamisri hawa walianza safari, lakini kumbe ili wafike nchi ya ahadi, walitakiwa kupitia jangwani ambako kuna shida.. Jangwani walikabiliana na njaa na kiu. Wamisri hawa hawakuwa tayari kuvumilia shida walipofika jangwani. walianza kupiga kelele na kutamani kurudi utumwani misri kwani huko walikula na kunywa.

Kama wamisri wale wangekuwa na maamuzi, wangerejea misri na kuachana na safari ya kwenda nchi ya ahadi.Mama umasikini ni sawa na utumwa. Watanzania wamekaa katika utumwa wa umasikini kwa mda mrefu.

Kilimio kinayo nafasi kubwa sana ya kuwatoa watanzania katika utumwa wa umasikini. Lakini ili kilimo kikue na kulikomboa taifa lazima kuna jangwa la kukatiza ili kufika nchi ya ahadi. Ili kilimo kikue ni lazima kufungua masoko ya nje yategemee uzalishaji wetu wa ndani. hapa ndipo penye jangwa sasa. unapofungua masoko ya nje ni wazi kwamba demand itakuwa kubwa kuliko supply na hiyo italeta mfumuko wa bei katika chakula.

Lakini mama mfumuko wa bei ni gea ya kwanza itakayosukuma watanzania kuwekeza katika kilimo. mfumuko huo wa bei utawafanya vijana kufanya kilimo kama ajira. vijana kitu chochote ambacho wakifanya wanapata faida wala hawahitaji kuimbiwa nyimbo watafanya tu. hakuna anayewaimbia vijana kufanya kazi za boda boda, wao wakiona wanaendesha na kuendesha maisha yao watafanya tu na tena serikali itagombana nao kwa kutofuata taratibu.

Mama mfumuko huu wa bei ndiyo chachu ya kuendeleza kilimo chetu, mfumuko huu wa bei ni bei nzuri kwa mazao ya kilimo. kijana akipiga mahesabu kulima ekari moja ya mahindi akajua anaweza kupata kima cha chini cha mshahara kwa mwaka mzima ataenda kulima.

Ukitoa vibali vya kuagiza chakula, kwa kusikiliza wamisri wanaoogopa jangwa na kutamani tanzania irudi misri utumwani tuendelee kula lakini tukiwa utumwani.

Serikali zilizopita zilishindwa kukwamua kilimo kwa kuwa watu waliogopa jangwa. wakaanza kuzuia chakula kuuzwa nje ili kuzuia mfumuko wa bei, walizuia chakula kutengenezwa vitu mbadala kama kuchoma mahindi ili eti kulinda taifa lisiwe na njaa.

Wachumi wa leo wanaojua uchumi wanakwambia "confort zone" ni shida sana. ukitaka kubadiri mfumo wa maisha lazima uachane na confort zone. kama watanzania tunataka kukomboa kilimo chetu ni lazima tuachane na conforte zone ya "cheap food prices"

Tujiandae kununua vyakula kwa gharama ya juu kwa miaka kama 5. wakulimaa wataongeza uzalishaji kutosheleza soko letu la ndani na nje.

Serikali inachoweza kufanya ni kuweka ruzuku kwenye chakula kinachokwenda nje ili bei zetu bado ziwavutie wanunuzi kutoka nje. Serikali isamehe ushuru kwenye mazao yote ya chakula yanayolengwa kuongeza uzalishaji. Sasa ni hatma ya kuvumilia shida hizi za mfumuko wa bei ambao unaletwa na kufungua masoko ya chakula ya nje.

Wakulima kwa sababu wanapata faida wataongeza kilimo na juhudi zao, kwa kuwa chakula kitakuwa hakilipi kodi kuongezeka kwa mazao ya chakula kutaongeza kipato kwa wakulima.

Watanzania wengi wataongeza uwezo wa kununua na hilo ndiyo nguzo kuu ya uchumi bora. hawa watanzania watachochea biashara maana wakulima watakuwa wananunua, kodi zinazopatikana kwenye traansactions zitaongezeka. wakulima wakipata vipato sekita zote zitainuka, wakulima watakuwa wanajenga nyumba nzuri mafundi watapata kazi, wauza vifaa vya ujenzi watapata masoko zaidi.

Kwa kifupi ukifungua kilimo kitafungua sekita zote kwa urahisi.

Lakini hiyo fursa unaweza kuifungwa kwa ama kuzuia wateja kutoka nje wasije kununua chakula ili tusiingie jangwani au kufungua bidhaa za chakula kuja kuua presha hii ambayo tunatakiwa kuielekeza kwa wakulima ili tusiende jangwani kuvuka kuelekea nchi ya ahadi.

Wizara ya kilimo inafanya vizuri ila tu kuna jambo hawakufanya ambalo lingepunguza kelele.
Mkuu fanya editing.
Wamisri hawakuwa utumwani Misri.
Waisrael ndo walikuwa utumwani Misri.

Kujibu hoja yako
Nampongeza rais kuruhusu uagizwaji wa chakula kwa sababu hali si nzuri na wasaidizi wake wanapandisha inflation makusudi ili aanguke.

Ameona mbali.
Chakula kije bei ishuke
 
Narudia Tena hiki kilio ni Cha walanguzi na madalali huo ndo ukweli... Sasa hivi tembelea vijiji uone wakulima wanavyoteseka na njaa. Watu wanashindia mlo mmoja. Wanateseka sana. Wanalima sana hali ni ngumu mno vijijin kutokana na chakula kua Bei za juu sana
 
Back
Top Bottom