Kitabu cha unga sera na mitaala ya elimu 2023

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Ndugu watanzana sera na mitaala ya elmu ya 2023 ni mibovu inahitaji kubadilishwa kabla ya kuanza kutumika.

Mama alisema watanzania semeni ili kujenga taifa lenu sasa ego tumeamua kuongea kupitia kalamu.

Mitaala na sera ni mibovu kwa kuwa waandaji (kamati) wa mitaala hawaonekani kuelewa taifa liko wapi na linatakiwa kuelekea wapi. Kujua jamii iko wapi kwa sasa na inatakiwa kuelekea wapi ndiyo "basic knowledge" katika kuandaa sera na mitaala mipya.

Ushauri wangu kwa wizara husika ni kuruhusu maboresho ya sera ma mitaala mipya kwa manufaa ya Taifa.

Kosa la kwanza lllofanyika ni kuteua watu wazoefu kwenye sekita ya elimu kutunga sera mpya na mitaala mipya. najua wengi watashangaa kwa hoja yangu hiyo ya kukosea kwa kuwateua watumishi waandamizi katika sekita ya elimu kuboresha mitaala.

iko hivi kuna msemo wanasema hakuna jamii inayobadllishwa na wazee. Maana hailisi ya wazee ni uandamizi au uzoefu katika jambo fulani kwa mda mrefu. Kwamba mtu yeyote anayekaa kwenye jambo kwa mda mrefu analizoea hilo jambo na Kuanza kulichukulia kama la awada uo ama wahenga walvyosema mazoea hujenga tabia.

Ukienda jamii yoyote yenye mila za ajabu zenye madhara, waandamz wa jam hyo au wazee wanauwa wameyazoea mambo hayo na usitegemee wazee wa jamii hiyo ndio wakupe maboresho ya kuacha mila hizo. ama ilivyo kwenye jamii taasisi yoyote ina wazee au waandamz ambao wao wanakuwa wamezoea sana tamaduni za hiyo taasisi na hawa ndiyo hugangania taasisi zisibadirike.

hao wazee hutuma zaIdi uzoefu kulijo kujfunzamambo maya, na n vgumu uelewa mbnu mya souwa wa ulazmshwa tu. hata uwaelezee vipi daima wao huchukulia mazoea kuwa ndiyo taratibu na daima watazitetea tamaduni zao.

hii si kwa wazee wa kimila tu, hizi ni hulka za binadamu wote kwamba daima wanadamu hupinga mabadiriko. Wakishazoea tu ni ngumu kumbadili akili hata ama kile kinacholetwa ni bora zaid na usitegee mabadiriko yaanzie kwao bali wataendelea kuboresha mawazo yaleyale wanageuza terminologies au namba lakini concept inakuwa iko palepale. Kuna msemo mwingine unaosema "if you want to improve something don't seek advise from your peer"

hawa walimu waliounda kamati ya maboresho kwanza ni watu waliokaa kwenye elimu mda mrefu na wakawa waandamizi au wazee katika sekita hiyo. Maungufu ya mitaala mengine walishiriki kuyatunga na mengine walishiriki kuyaboresha na mengine wameyafundisha kwa mda mrefu. Hawa hawaoni mapungufu ya hiyo mitaala na sera ni kama wazee katika jamii yoyote.

binafsi swala hili la elimu nilianza kullfanyia tafiti tangu mwaa 2004 nilivyomaliza chuo kikuu nikaingia mitaani nilifanya kazi kwenye mradi wa maendeleo uliokuwa na watanzana, wazungu wahindi na waafrika kutoka mataifa mbalimbali kutoka kenya na zimbabwe.

Najua hawa watu wa chuo wao wana utaratibu wao wanaoita tafiti ila sisi wa mtaani mara nying huwa tunasigana nao, maana sisi wa mtaani na hasa private sekita sisi tunafocus kwenye kutafuta tatizo ni nini limesababishwa na nini na suluhu ni nini. yaan lazma utafiti uje na majbu ya urdhsha mteja.

Chuo wao focus yao ni standard format hata Kama hana majibu lakini ukifuata utaratibu wao ripoti inakuwa tafiti. Haya ndiyo yalyofanyika hata kwenye uandaaji mitaala mya na sera mpya

matokeo yake kwa mtizamo wangu bado hoja za msingi zilizoibuliwa na watanzania mpaka kuelekea Raisi kuagiza maboresho ya elimu hazina majbu.

1. watanzania wallalamika kuporomoka kwa maadili katika jamii
2. watanzana walilalamika vijana kuosa ajira
3.. bila shaka watanzania wengi walio piga kelele juu ya mapungufu ya elimu kwa mda mrefu walikuwa na sababu nyingine Nyunga.

je nini chimbuko la changamoto hizi na suluhisho zake ni nini, yako majibu yako nje ya mfumo wa elimu lakini tafiti ya pamoja ndiyo itatoa mwanga wa tatizo na suluhu na hivyo kila sekita kujikita kutekeleza upande wake

Kama nilivyosema kwamba mimi nilianza kufanya tafiti Katika elimu tangu 2004 nilpomaliza chuo kikuu nilipaanza kazi nilikuta hadithi za kwamba watanzania ni wavivu.

Binafsi niljsikia vibaya kuambiwa watanzania sisi ni wavivu, na kwa haraka niligundua watanzania walikuwa ndiyo watu wanaolipwa kidogo kuliko wataalamu wengine kutoka nje ingawa histora inatueleza haya yalikuwepo wakati wa ukoloni na miaka ya mwanzo ya uhuru lakini bado yapo. Kwa haraka nilijenga hoja kuwa tofauti ya malipo ndiyo inasababisha utofauti wa kufanya kazi.

Jambo hili liliedelea kunisumbua kifikra hivyo nikawa nafuatilia Kujua kuna tofauti gani inayofanya watanzania waitwe wavivu na je hao wenzetu wana sifa zipi. UKwel watanzana tuko tofauti na utofauti uko kwenye mambo madogo madogo ambayo sisi hatuyatllii mkazo.

Utofauti wa engineer kutoka ulaya au engineer kutoKa china na engineer kutoka tanzania hauko kwenye kujua ratio za cement wala size za nondo wanavyofundishwa katika fani ya ufundi bali kwenye mambo mengine ambayo yakijumuishwa na maarifa ya ufundi. unapata wataalamu walio makini na taifa linalosonga mbele

mfano uKichukua wazungu ukawaweka Kwenye chumba wanafanya kazi wanakuwa serious sana hakuna stori. mchina akikusimamia ufanye kazi utafikri anasimamia kazi za baba yake hataki uinue mgongo. Lakini watanzana ukiwaweka kwenye chumba wakawa wengi mda wote ni kuongea tu.

huu ni mfano laKini hulka zinajengwa, Ulaya hawako walivyo kutokana na "genes" zao, wachina hawako walivyo kutokana na ubini wao bali jamii zao zilifanya maamuzi kuzibadili jamii zao kuwa na hulka na tabia ambazo leo hii zimewaletea maendeleo.

utafiti unaonyesha 90 percent ya tabia za binadamu ni za kujiunza hivyo mitaala na sela zinazo adress changamoto zetu ndizo tuzipe nafasi.

naKumbua mwasisi wa taifa la Singapore alisema katika hotuba moja ya kuadhimisha uhuru kuwa wasingapore wasikubali sera na mipango myepesi.

haya maneno ndiyo watanzania waahitaji kwa leo kwamba mipango bora ya maendeleo na mipango bora ya elimu ndiyo driving force ya uchumi. na ustawi wetu.

nilichotegemea mabadiriko ya sera za elimu na mitaala yangefanya tafiti kama hizi kubaini tuboreshe nini.

Kwa mshangao mkubwa mapendekezo ya kamati hayaonyeshi kutafuta vyanzo vya tatizo na wala kuja na suluhu halisi.

unawezaje kuandaa sera ya elimu na mitaala mipya bila mpango wa maendeleo wa taifa 2025 / 2050 kutoka?

wametumia vigezo gani kusema watoto wafundishwe haya.

mtoto anayeanza darasa la kwanza 2024 atahitimu chuo kikuu na kutegemewa kuanza kazi 2040. sasa Kabla ya kumuandaa huyo mtoto tujue 2040 maisha yatakuwaje na sisi tunandaa kizazi hicho sasa.

mpango wa maendeleo wa 2050 ndiyo utasema kufika huko tunataka jamii yetu iweje na ili tufike huko tupite wapi. Simple tunaanza kuchonga njia sasa kwa kuandaa vijana wetu sasa.

Lakini sasa mwenye kutakiwa kuandaa vijana anaandaa vitu vyake mwenyewe, hana mango WA maendeleo lakini eti kashakamilisha sera na mitaala ya kuandaa hao vijana na jamii ikifika 2040 vijana wanahitmu wanaonekana hawana sifa, jamii inayotegenewa kufikia kipato cha Dola elfu kumi kama kilivyotajwa katika ya 2050 ya Afrika mashariki bado wana hulka za vizazi vya miaka ya 80 au 90.

maendeleo katika jamii yoyote yana hatua 3
1. mipango - ku project PA kwenda na njia za kupitia
2. elimu - kazi ya elimu ni kuwajengea wanajamii tabia hulka na ujuzi wa kutekeleza mipango ya maendeleo
3. utekelezaji - hatua ya tatu ni utekelezaji ambao kila mwananchi anakuwa anajua cha kufanya na wanatekeleza mipango ya maeneleo.

jamii yetu tumejikita kwenye kutumia madesa mpaka mambo serious kama Sera na mitaala ya elimu. Bila mpango wa maendeleo kuwepo bila shaka kamati ilitumia madesa. Tunahitaji kujenga jamii ambayo mtaalamu ukimwambia fanya hili ndani ya miezi miwili aseme nahitaji mojambili kwanza nasiyo kukimbia kutunga mambo Makati vielelezo muhimu hakuna, huo ndiyo utaalamu tunaosema wenzetu wamefikia. Sasa watu wasiotambua mambo kama haya nyeti ndiyo wanaandaa maboresho.

elimu yetu kwa kiasi kikubwa ni mbovu kwa kuwa haijafungamanishwa na mipango ya maendeleo. watoto wanafundishwa general theories na wakienda mtaani hawana uelewa wowote bali kuanza kujifunza upya kutumia uzoefu. Graduates kutoka kote duniani kote fresh from school hawajui ila wenzetu vijana wao wamepewa sifa za ziada

tunazo changamoto kuanzia teaching materials teaching contents mpaka teaching methodologies na matatizo makubwa hayapo kwenye mapendekezo

Nimwombe Waziri kuwa hiyo kamati ni watu waliokurupushwa hawakujiandaa walikuwa wanafukuzana na tme frame walyopewa kufanya kazi.

tunachohitaji ni mfumo wa elmu ya Tanzana kutazamwa kwa pamoja kuanzia mtoto anazaliwa mpaka uzeeni hii ndiyo hatua ambayo jamii imefikia,

tulipo tunatakiwa kutatazama maboresho ya elimu kutokana na historia. hili ndilo lilikuwa lifanyike 2014 baada ya Tanzania kukamilisha kutengeneza structure ya elimu.

ni lazima tujue histora huko nyuma tulianzia mazingira ambayo hatukuwa na elimu ya juu, na haya yalitufanya tufanye marekebisho kushusha baadhi ya mambo ya tertiary Chini ili wahitimu wa elimu ya chini waaijrike. hapa mambo ya ufundshaji ufundi shule za msingi na sekondari yalianzishwa kama crush programs tulizozibuni kutokana na mazinira hayo.

lakini kwa layman au "wazee" wasiobadirika wao wanaamini hiyo ndiyo mifumo bora ya elimu na ndiyo kamati imependekeza kurejesha ufundi sekondari.

ukweli ni kwamba unahitaji kumlinganisha mtaalamu wa Tanzana wa sasa na mtaalamu kutoka ulaya ndiyo ujue cha kuboresha na siyo kutafuta kutengeneza kizazi cha maa ya 80 kwa kuleta mitaala ya 1979 iliyoingiza ufund sekondari.

hao waliofundishwa kwa mitaala hiyo ya 1979 iliyoingiza ufundi sekondari wamefanya nini katika taifa hili ambacho tuna admire sana kurudisha mitaala ya mwaa 1979.

Ni kwamba mwaka 1979 tulibadirisha mitaala kuweka ufundi sekondari kutokana na sera ya viwanda kwa kuwa hatukuwa na vyuo vya Kati vya ufundi kipindi hicho . Leo hii tuna vyuo kadhaa vya ufundi tuna VETA, tuna vyuo vya maendeleo ya jamii, kurudisha ufundi seondari ni upofu wa mtu asiyejua tulichokifanya tulikifanya kwa sababu zipi na leo tuko wapi na tunatakiwa kufanya nini.

maandalizi ya wataalamu yananzia wakiwa wadogo lakini tukiamua kupoteza elimu ya chini ya msingi na sekondari kwa kuendelea kugangania mambo ya tertiary education au kuendeleza mambo yanayoiharibu mising ya elmu tuliyorithi kutoka kipindi kigumu ambacho tunarudisha jamii nyuma.

KITABU KITATOKA JANUARY 2024 PRINTING NI PRE ORDER HIVYO JIANDAE KUWEKA ODA YAKO MAPEMA. URITHI SAHIHI TUNAOWEZA KUWAACHIA KIZAZI CHETU NI ELIMU ILIYO BORA. KUNUNUA KITABU UNAKUWA SEHEMU YA MABADIRIKO CHANYA KATIKA ELIMU NA JAMII KWAUJUMLA.

MWEZI WA KWANZA MWANZONI TUNAANZA KUPOKEA ODA
 
Uwe unafanya proof reading baada ya kuandika makala yako! Makosa mengi ikiwemo ya sarufi yamenifanya nichoke haraka kusoma maandishi yako!
 
  • Thanks
Reactions: ego
Mkuu una hoja tafakari na sanifu tena zenye kujenga jamii bora,lakini naomba fanya editing ya Uzi wako ,ili tukuelewe vema zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: ego
Ndugu watanzana sera na mitaala ya elmu ya 2023 ni mibovu inahitaji kubadilishwa kabla ya kuanza kutumika.

Mama alisema watanzania semeni ili kujenga taifa lenu sasa ego tumeamua kuongea kupitia kalamu.

Mitaala na sera ni mibovu kwa kuwa waandaji (kamati) wa mitaala hawaonekani kuelewa taifa liko wapi na linatakiwa kuelekea wapi. Kujua jamii iko wapi kwa sasa na inatakiwa kuelekea wapi ndiyo "basic knowledge" katika kuandaa sera na mitaala mipya.

Ushauri wangu kwa wizara husika ni kuruhusu maboresho ya sera ma mitaala mipya kwa manufaa ya Taifa.

Kosa la kwanza lllofanyika ni kuteua watu wazoefu kwenye sekita ya elimu kutunga sera mpya na mitaala mipya. najua wengi watashangaa kwa hoja yangu hiyo ya kukosea kwa kuwateua watumishi waandamizi katika sekita ya elimu kuboresha mitaala.

iko hivi kuna msemo wanasema hakuna jamii inayobadllishwa na wazee. Maana hailisi ya wazee ni uandamizi au uzoefu katika jambo fulani kwa mda mrefu. Kwamba mtu yeyote anayekaa kwenye jambo kwa mda mrefu analizoea hilo jambo na Kuanza kulichukulia kama la awada uo ama wahenga walvyosema mazoea hujenga tabia.

Ukienda jamii yoyote yenye mila za ajabu zenye madhara, waandamz wa jam hyo au wazee wanauwa wameyazoea mambo hayo na usitegemee wazee wa jamii hiyo ndio wakupe maboresho ya kuacha mila hizo. ama ilivyo kwenye jamii taasisi yoyote ina wazee au waandamz ambao wao wanakuwa wamezoea sana tamaduni za hiyo taasisi na hawa ndiyo hugangania taasisi zisibadirike.

hao wazee hutuma zaIdi uzoefu kulijo kujfunzamambo maya, na n vgumu uelewa mbnu mya souwa wa ulazmshwa tu. hata uwaelezee vipi daima wao huchukulia mazoea kuwa ndiyo taratibu na daima watazitetea tamaduni zao.

hii si kwa wazee wa kimila tu, hizi ni hulka za binadamu wote kwamba daima wanadamu hupinga mabadiriko. Wakishazoea tu ni ngumu kumbadili akili hata ama kile kinacholetwa ni bora zaid na usitegee mabadiriko yaanzie kwao bali wataendelea kuboresha mawazo yaleyale wanageuza terminologies au namba lakini concept inakuwa iko palepale. Kuna msemo mwingine unaosema "if you want to improve something don't seek advise from your peer"

hawa walimu waliounda kamati ya maboresho kwanza ni watu waliokaa kwenye elimu mda mrefu na wakawa waandamizi au wazee katika sekita hiyo. Maungufu ya mitaala mengine walishiriki kuyatunga na mengine walishiriki kuyaboresha na mengine wameyafundisha kwa mda mrefu. Hawa hawaoni mapungufu ya hiyo mitaala na sera ni kama wazee katika jamii yoyote.

binafsi swala hili la elimu nilianza kullfanyia tafiti tangu mwaa 2004 nilivyomaliza chuo kikuu nikaingia mitaani nilifanya kazi kwenye mradi wa maendeleo uliokuwa na watanzana, wazungu wahindi na waafrika kutoka mataifa mbalimbali kutoka kenya na zimbabwe.

Najua hawa watu wa chuo wao wana utaratibu wao wanaoita tafiti ila sisi wa mtaani mara nying huwa tunasigana nao, maana sisi wa mtaani na hasa private sekita sisi tunafocus kwenye kutafuta tatizo ni nini limesababishwa na nini na suluhu ni nini. yaan lazma utafiti uje na majbu ya urdhsha mteja.

Chuo wao focus yao ni standard format hata Kama hana majibu lakini ukifuata utaratibu wao ripoti inakuwa tafiti. Haya ndiyo yalyofanyika hata kwenye uandaaji mitaala mya na sera mpya

matokeo yake kwa mtizamo wangu bado hoja za msingi zilizoibuliwa na watanzania mpaka kuelekea Raisi kuagiza maboresho ya elimu hazina majbu.

Kama nilivyosema kwamba mimi nilianza kufanya tafiti Katika elimu tangu 2004 nilpomaliza chuo kikuu nilipaanza kazi nilikuta hadithi za kwamba watanzania ni wavivu.

Binafsi nljsikia vibaya kuambiwa hivyo na kwa haraka niligundua watanzania walikuwa ndiyo watu wanaolipwa kidogo kuliko wataalamu wengine kutoka nje ingawa histora inatueleza haya yalikuwepo wakati wa ukoloni na miaka ya mwanzo ya uhuru lakini bado yapo. Kwa haraka nilijenga hoja kuwa tofauti ya malipo ndiyo inasababisha utofauti wa kufanya kazi.

Jambo hili liliedelea kunisumbua kifikra hivyo nikawa nafuatla. Kujua kuna tofauti gani inayofanya watanzania waitwe wavivu na je hao wenzetu wana sifa zipi. UKwel watanzana tuko tofauti na utofauti uko kwenye mambo madogo madogo ambayo sisi hatuyatllii mkazo.

Utofauti wa engineer kutoa ulaya au engineer kutoKa china na engineer kutoa tanzania hauko kwenye kujua ratio za cement wala size za nondo bali kwenye mambo mengine.

mfano uKichukua wazungu ukawaweka Kwenye chumba wanafanya kazi wanakuwa serious sana hakuna stori. mchina akikusimamia ufanye kazi utafikri anasimamia kazi utafikiri ni za baba yake hataki uinue mgongo. watanzana ukiwaweka kwenye chumba wakawa wengi mda wote ni kuongea.

hz n fano lan hula znajengwa ata nd cha mauz ya vjana na ama hatuwez utengenUkweli ni kwamba tuko tofaut na utofaut huu utrace wenye mtaala magae yao meng.

nilichotegemea mabadiriko ya sera za elimu na mitaala yangefanya tafiti kama hizi kubaini tuboreshe nn.

Kwa mshangao mkubwa mapendekezo ya kamati hayaonyeshi kutafuta vyanzo vya tatizo na wala kuja na suluhu halisi.

unawezaje uandaa sera ya elmu na mtaala mya bla mpango wa maendeleo wa tafa 2025 / 2050 kutoka

wa fu lchofanywa na amat nauonyesha wa ufu wa nn elmu yetu n mbovu.

maendeleo ata jam yoyote yana hatua 3
1. mango
2. elimu - az ya elmu n uwajengea wanajam taba hula na ujuz wa uteeleza mango ya maendeleo
3. uteelezaj - hatuaya tatu n uteelezaj ambao la mwananch anauwa anajua cha ufanya na wanateeleza mango wa maeneleo.

sasa mango hauo alafu tayar watu wameamlsha nn fundshwe na wa utaratbu u hv unategemea hatua ya 3 ya uteelezaj tauwa na mafano ?

jam yetu tumejta wenye utuma madesa lan sasa real lfe hatuwez utoboa wa madesa tuwe na mango wa maendeleo wenye uonyesha dra tunawenda wa sera na mtaala vtengenezwe ueleeza fra na ujuz ata jam ata uteeleza mango ya maendeleo.

elimu yetu kwa kiasi kikubwa ni mbovu kwa kuwa haijafungamanishwa na mipango ya maendeleo. watoto wanafundishwa general theories na wakienda mtaani hawana uelewa wowote bali kuanza kujifunza upya kutumia uzoefu.

tunazo changamoto kuanzia contents teaching materials mpaka teaching methodologiees na matatizo makubwa hayapo kwenye mapendekezo

Nmwambe Waziri kuwa hyo kamati ni watu waliokurupushwa hawakujiandaa walikuwa wanafukuzana na tme frame walyoewa ufanya kazi.

tunachohitaji ni mfumo wa elmu ya Tanzana kutazamwa kwa pamoja uanza mtoto anazaliwa mpaka uzeeni hii ndiyo hatua ambayo jamii imefikia, wapo kutatazama maboresho ya elmu kutokana na historia. hili ndilo lilikuwa lifanyike 2014 baada ya Tanzania kukmilisha kutengeneza structure ya elimu.

ni lazima tujue histora huko nyuma tulianzia mazingira ambayo hatukuwa na elimu ya juu, na haya yaltufanya tufanye marekebisho kushusha baadhi ya mambo ili wahitimu wa elimu ya chini waaijrike. hapa mambo ya ufundshaji ufundi shule za msingi na sekondari yalianzishwa kama crush programs tulizozibuni kutokana na mazinira hayo.

lakini kwa layman au "wazee" wasiobadirika wao wanaamini hiyo ndiyo mifumo bora ya elimu na ndiyo kamati imependekeza.

lakini ukweli ni kwamba unahitaji kumlinganisha mtaalamu wa Tanzana wa sasa na mtaalamu kutoka ulaya ndiyo ujue cha kuboresha na siyo kutafuta kutengeneza kizazi cha maa ya 80 wa uleta mtaala ya 1979 iliyoingiza ufund sekondari.

hao walofunshwa wa mtaala huo wamefanya nn ata tafa hl ambacho tuna admre sana urudsha mtaala wa mwaa 1979. Ni kwamba mwaa 1979 tulbadrsha mtaala uwea ufund seondar utoana na sera ya vwanda wa uwa hatuuwa na vyuo vya at vya ufund. Leo hii tuna vyuo kadhaa vya ufundi tuna VETA, tuna vyuo vya maendeleo ya jamii, kurudsha ufundi seondari niuofu wa mtu asyejua tulichokifanya tulikifanyak wa sababu zipi na leo tuko wapi

maandalizi ya wataalamu yananzia wakiwa wadogo lakini tukiamua kupoteza elimu ya chini ya msingi na sekondari kwa kuendelea kugangania mambo ya tertiary education au kuendeleza mambo yanayoiharibu mising ya elmu tuliyorithi kutoka kipindi kigumu ambacho tunarudisha jamii nyuma.

KITABU KITATOKA JANUARY 2024 PRINTING NI PRE ORDER HIVYO JIANDAE KUWEKA ODA YAKO MAPEMA. URITHI SAHIHI TUNAOWEZA KUWAACHIA KIZAZI CHETU NI ELIMU ILIYO BORA. KUNUNUA KITABU UNAKUWA SEHEMU YA MABADIRIKO CHANYA KATIKA ELIMU NA JAMII KWAUJUMLA.

MWEZI WA KWANZA MWANZONI TUNAANZA KUPOKEA ODA
Story ndeefu, na hoja but where?
 
Asante kwa Bandiko refu Mkuu.

WAHUSIKA WAMEKUSIKIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom