Hivi aliyeshindwa kusimamia bandari zetu aachishwe kazi au alete mwingine

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
ninasikiliza mambo ambayo serikali na chama wanasema juu ya bandari najiuliza mambo mengi lakini kubwa sijui kama hawa watu wanaelewa maana ya kuongoza serikali ni nini

yaani umeewa bandari unatuambia bandari inakusanya bilioni 700 na serikali inaata bilioni tatu, sekita binafsi sisi kwa taarifa hizo serikali nzima kwenye ngazi ya juu tungewafuta kazi.

ila serikalini wale wenye dhamana ya kusimamia wanatumia hiyo kama hoja ya kutaka kuleta mwendeshaji mwingine.

sidhani kama hii ni shida ya kuwa na mwendeshaji
 
...

ila serikalini wale wenye dhamana ya kusimamia wanatumia hiyo kama hoja ya kutaka kuleta mwendeshaji mwingine.

sidhani kama hii ni shida ya kuwa na mwendeshaji

Kwamba kama mamlaka za uteuzi hazina uwezo wa kuwawajibisha watendaji wa bandari, itaweza kuwadhibiti watumishi wa kampuni ya kigeni? Nami najiuliza
 
Kwamba kama mamlaka za uteuzi hazina uwezo wa kuwawajibisha watendaji wa bandari, itaweza kuwadhibiti watumishi wa kampuni ya kigeni? Nami najiuliza
tena watu ambao tulitegemea wawe ndiyo wenye vission na kutoa miongozo kwa watendaji ndiyo wanasimama majukwaani kusema haya
 
Back
Top Bottom