Waziri wa Afya atuombe radhi Wakulima na Wafanyabiashara ya matunda

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Kauli ya Waziri wa Afya kuwaeleza Watanzana kuacha kula matunda mchanganyiko si ya kitaalamu bali imejaa hisia yenye lengo la kuharibu soko la matunda ambalo linashamiri

Tanga ni wakulima wazuri sana wa matunda hivyo kama mbunge anayetoa Tanga tulitegemea ahakiki taarifa aliyopewa na wataalamu wake kabla ya kuitoa kwa umma na kuharbu soko la matunda.

Duniani kote Wizara za Afya hutoa kiwango cha sukari anachotakiwa kula mtu

Halafu wanatoa viwamgo vya sukari katika bidhaa mbalimbali
  • Soda
  • Bia
  • Machungwa
  • Nanasi
  • Ndizi
  • N.K
Mtu anachagua aleje kwa kutazama limiti.

Na mtu anayekula machungwa matatu kiwango cha sukari anachopata hakifikii anayekunywa soda.

Sisi wakulima wa matunda na wafanyabashara tunaliona hili kama vita ya biashara kama tunaua mizunguko hii hivi tunategemea kutengeneza ajira vipi?
 
Sidhani kama amekataza watu kula matunda au kuharibu biashara ya matunda...kuna sayansi ya kula matunda mchanganyiko na muda....kuna matunda mengine hayaendani ukiyala pamoja.

Ni ngumu kwa Jamii zetu kwa maisha ya kawaida kufanya upembuzi huo..cha msingi ukiweza kula matunda ya aina moja kwa wakati mmoja ni nafuu zaidi.

Mfano kama mtu unataka KUPUNGUA UZITO una obesity sio vizuri kula tikiti maji (sukari) ,ndizi mbivu na parachichi (Mafuta)kabla ya kulala usiku . Pia kuna matunda yenye acid nyingi hayapaswi kuchanganywa na mengine..
 
Siku hizi hakuna matunda, yote ni GMO, kubali au kataa na yana hatarisha afya ya mlaji pakubwa tu.

Labda haya yanayozalishwa kwa asili, na mengi hayauzwi sokoni kwa sababu wanasema hayana ubora.

Lakini ndio hivyo hatuna cha kupinga na ukifuatilia GMO imekatazwa karibia nchi nyingi duniani.
Hapo bado hujaingia kwenye soda na juice za viwandani, ni hatari tupu.
 
Hivi hata juice za tropical hua hawajui maana yake? Mchanganyiko wa matunda toka lini ukawa na matatizo ya kiafya? Waziri wa afya ni mwanasheria, hana utaalamu wowote wa chemical reactions za matunda halafu anasema watu wasile matunda mchanganyiko? Aisee.
 
Tatizo ni pale kila aliye mwembamba kufikiri kuwa yeye ni mtaalamu wa nutrition.
 
Mfano kama mtu unataka KUPUNGUA UZITO una obesity sio vizuri kula tikiti maji (sukari) ,ndizi mbivu na parachichi (Mafuta)kabla ya kulala usiku . Pia kuna matunda yenye acid nyingi hayapaswi kuchanganywa na mengine..
Tiririka mwangu
 
Sidhani kama amekataza watu kula matunda au kuharibu biashara ya matunda...kuna sayansi ya kula matunda mchanganyiko na muda....kuna matunda mengine hayaendani ukiyala pamoja.

Ni ngumu kwa Jamii zetu kwa maisha ya kawaida kufanya upembuzi huo..cha msingi ukiweza kula matunda ya aina moja kwa wakati mmoja ni nafuu zaidi.

Mfano kama mtu unataka KUPUNGUA UZITO una obesity sio vizuri kula tikiti maji (sukari) ,ndizi mbivu na parachichi (Mafuta)kabla ya kulala usiku . Pia kuna matunda yenye acid nyingi hayapaswi kuchanganywa na mengine..
Nimejifunza kitu, endelea kutuelimisha!
 
Kuna mambo huwezi kuyajua mtu ambaye hauko kwenye chain ya biashara hiyo

mfano anaweza Kuibuka mtu anatoa tuhuma uta vyombo vya habari uhusu samaki au nyama hasemi msile la ule usema una Tatzo biashara kuanzia hapo hudorora sana.

haya n mambo hufanywa na watu mbumbu lakini serikali lazima wakae chini wataalamu kutoka tasnia mbalimbali. wajadiliane tatizo, wajadili suluhiso.

kinachotakiwa ni kuondoa tatizo na si kutengeneza matatizo mengine.

unaosema waziri kuwa watu wasile matunda mchanganyiko eti mtu mzima unasema hajazuia.

wao wangeibuka na menu za matunda mchanganyiko.

kwamba late ya matunda mchanganyiko iwe hivi kwa kutazama vigezo vya kitaalamu. Viongozi wakifanya haya layman afanye nini.
 
Back
Top Bottom