Search results

  1. S

    Kwahiyo Rais Ruto amebadilisha dini?

    Embu Wakenya tujulishe
  2. S

    Pacome yupo tayari kuwakabili Uruguay

    Kwa Mara ya kwanza mchezaji kutoka ligi ya Tanzania kuchezea mabingwa wa Afrika dhidi ya mechi na mabingwa wa zamani wa dunia.
  3. S

    Serengeti Queens wamekula 3 kutoka kwa vitukuuu wa Madiba

    Mechi imeisha kwa Serengeti girls kupata kipigo cha 5 kasoro 2 yaani 0-3 ndani ya Azam Complex. Mwendelezo wa machungu ya AFCON.
  4. S

    Anahoji Mshabiki wa Simba: Tulikula 5 mayele alikuwepo ?

    Kumbe bado wapo mashabiki wenye uelewa . Nenda Instagram kwa maelezo zaidi . Nafikiri pamoja na kuto perform pyramid mayele Ana frustration na ile mechi ya Tanzania v DRC alikamatwa vizuri na beki ya stars ya kina mwamnyeto na bacca vijana wa yanga haku score.
  5. S

    Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

    Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B. Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee? Wadau wenye kujua tujulishane.
  6. S

    Awamu ijayo TFF kwa maslahi ya nchi aongoze Hersi

    Tanzania imekuwa ikifuzu kwa kuunga unga Kwenye afcon 2019 kule misri na sasa afcon ya Ivory Coast . Ukiangalia matokeo ya mechi za kufuzu na ukalinganisha na matokeo ya tarehe 17 Jan dhidi ya Morocco kule afcon , morroco kwa mkapa Kwenye WC qualification na Jana dhidi ya Zambia unabaki kusema...
  7. S

    Saudi Prince Al-Waleed and his Wife

    No hijab no Bukha no buibui
  8. S

    Miji yenye Uwiano wa Idadi kubwa ya Wanawake kuliko Wanaume

    In this article, we take a look at cities with the highest female to male ratio in the world. You can skip our detailed analysis on migration, economy and gender ratio and go directly to the 5 Cities with Highest Female to Male Ratio in the World. As of 2023, there are 8 billion people in the...
  9. S

    AFCON 2023: Non-league duo Haji Mnoga and Ben Starkie hoping to make history with Tanzania

    https://www.skysports.com/amp/football/news/11095/13028884/afcon-2023-non-league-duo-haji-mnoga-and-ben-starkie-hoping-to-make-history-with-tanzania
  10. S

    Simba 0 - 4 Young Africans (U20) Shekhan afunga goli matata!

    Huyu dogo ni hatari! https://m.youtube.com/watch?v=g60FXyTJGWI
  11. S

    Timu ya Wiki Caf Champions League 2023/2024

    Ligi ya Tanzania imekua wachezaji 5 sio haba .
  12. S

    Klabu kubwa Ulaya Zimepata Hasara Wachezaji Wao Kuumia Euro /WC Q 2024/ 2026

    Kutokana na ratiba ngumu na wachezaji kukosa muda wa kutosha kumpumzika imepelekea Baadhi ya wachezaji kuwa na kipindi kigumu ikiwemo majeraha wakati timu ya taifa Ina wahitaji na vilabu navyo vinawahitaji. Barcelona itamkosa Gavi kwa msimu wote uliosalia kwa majeraha , na wanajiandaa kupeleka...
  13. S

    Nani atakuwa mbabe katika derby ya Argentina Jumanne ijayo?

    Argentina akicheza katika uwanja wake wa Estadio La Bombonera jijini Buenos Aires amekubali kipigo cha goli 2 bila majibu kutoka kwa mtani wake wa jadi Uruguay katika Derby ya kusisimua. Argentina na golikipa wake Emiliano Martinez walikuwa hawajaruhusu goli lolote katika mechi nane walizocheza...
  14. S

    Yanga SC players pocket R3.6 million windfall after derby demolition of Simba

    Tanzanian giants Yanga SC players will receive a massive R3.6 million bonus for their emphatic victory in Sunday’s Kariakoo derby against their arch-rivals, Simba SC. Yanga SC pummelled a hapless Simba 5-1 at the Benjamin Mkapa Stadium, the biggest derby defeat in 11 years. The defending...
  15. S

    Faida Mbalimbali za Mmea wa Moringa katika mwili

    Moringa oleifera is a drought-resistant tree native to South Asia and Africa. It has been cultivated for centuries around the world for its potential health benefits. While the plant's leaves can be eaten, it is also found as a supplement in pill or powder form. The leaves have a spicy...
  16. S

    Uchumi wa Ujerumani umedorora baada ya kukosa Gesi ya bei nafuu kutoka Russia

    Germany went from envy of the world to the worst-performing major developed economy. What happened? ESSEN, Germany (AP) — For most of this century, Germany racked up one economic success after another, dominating global markets for high-end products like luxury cars and industrial machinery...
  17. S

    Injinia Hersi akikabidhi Jezi ya Yanga kwa Raisi kagame

    Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame . https://m.youtube.com/watch?v=OKCQOPb1DkM Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo. Zawadi hiyo...
Back
Top Bottom