kuumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Nimezidi kuumia baada ya kuona Mamelodi amepangwa na Esperance nusu fainali. Yanga ilikuwa inaenda fainali, hata kushinda kombe

    Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance. Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi. Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali...
  2. S

    Klabu kubwa Ulaya Zimepata Hasara Wachezaji Wao Kuumia Euro /WC Q 2024/ 2026

    Kutokana na ratiba ngumu na wachezaji kukosa muda wa kutosha kumpumzika imepelekea Baadhi ya wachezaji kuwa na kipindi kigumu ikiwemo majeraha wakati timu ya taifa Ina wahitaji na vilabu navyo vinawahitaji. Barcelona itamkosa Gavi kwa msimu wote uliosalia kwa majeraha , na wanajiandaa kupeleka...
  3. GENTAMYCINE

    Simba SC acheni Kutuzuga kuhusu Kuumia kwa Kipa Mbrazili Jefferson Luis Mabingwa wa Uchunguzi tumegundua yafuatayo....

    #1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni. #2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC...
  4. Lanlady

    Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

    Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia? Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
  5. F

    Bodaboda msilie wala kuumia, CHADEMA haioni umuhimu wenu lakini CCM inawajali na kuwaheshimisha

    Sio rahisi kukielewa alichosema Lema kama hutotumia mlango wa sita wa fahamu au jicho la tatu kukitafakari kwa makini lakini yote kwa yote bodaboda wamefedheshwa sana. Mwenye kulaani na kubariki ni Mungu pekee na mafundisho ya kiimani yanafundisha juu ya kuongezewa kwa kile ulichonacho...
  6. Ibrahimeliza

    Mwanzo mgumu

    Mwanzo ukianza au siku ya kwanza kufanya inauma sanaaa ila siku ya pili utafanya tena pamoja na maumivu ya awali na utagundua siku ya pili maumivu sio kama ya awali, kisha maumivu yatapungua na yatapotea kabisa halaf utaanza kusikia rahaa, mara utakuwa mzoefu na maisha yataenda. Kila kitu...
  7. Yofav

    Wanawake wajihadhari na kuumia na kuuawa

    Habarini wakuu, Naandika uzi huu nikiwa nina experience ya kutosha kuhusiana na mahusiano na hadi kufikia kutoa onyo kwa wanawake zaidi ili kuwaepusha na vifo na madonda(ngeu) yasiyo na msingi. Japokuwa wanaume hu-cheat kwenye mahusiano ila isikufanye na wewe mwanamke uka-cheat, kaa utulie na...
  8. Kibosho1

    Hoja: Sio kila anayelia na kuumia anastahili huruma, ni mavuno yake hayo

    Katika maisha kuna hali tofauti tofauti. Hali zingine ni kutokamilika kwetu, au kujisahau kwetu. Kwa tulipofikia sasa si kila mtu anastahili kuonewa huruma na kusaidiwa na jamii. Wakati mwingine ni mavuno ya alichopanda. Hebu fikiria hii; 1. UHALIFU Ulikuwa mwizi, umewaibia watu sana...
  9. M

    Kama hujawahi penda basi hujawahi kuumia

    Watu wengi ambao hatujawahi kupenda au kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi hatujawahi kuumia tunaishi kwa furaha na amani ya moyo, hivi ni kweli kama hujawah penda huwezi kuumia kwenye mapenzi ?
  10. M

    Taifa halina maono ya maendeleo zaidi ya nani kaumia na nani kafurahi

    Nikiangalia ktk teuzi Magufuli alikua anajitahidi sana na utaona alikua anateua mtu akitaka matokeo flani ktk kutimiza vision zake ktk kuliletea Taifa maendeleo. Kuna watu unaona kabisa alikua akiwaandaa au kuwapa teuz flani ili wafit sehemu flani. Tukija huku unaona kuna safu ya kusifu na...
  11. sky soldier

    Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi wakisomesha watoto wao shule za gharama za private toka chekechea, msingi, o level na advance mpaka chuo kwa mategemeo kwamba watakuwa na ajira zenye malipo ya juu, watoto wakimaliza chuo hawana ajira aua ajira zinakuwa za chini, kwa o yanageuka kuwa...
  12. Bata batani

    Warning: Epuka kuingia kwenye mahusiano yeyote kwa nia ya kupata ndoa utakuja kuumia

    Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
  13. trisha cute

    Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

    Habari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua nampenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja. Last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia haya...
Back
Top Bottom