euro

  1. Mjomba Malume

    Ronaldo: Kubeba Euro 2016 kwangu ni sawa na World Cup tu

    Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup. “Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo.
  2. I

    Sarafu ya Iran Yaporomoka Dhidi ya Euro

    https://www.instagram.com/p/DTa9jEmklYS/?igsh=MzR4ZzViZDFqOXly
  3. Pfizer

    Zaidi ya Watanzania milioni 1.5 kunufaika na mradi wa misitu wenye thamani ya Euro milioni 20

    Na Mwandishi Wetu, Dodoma TAKRIBANI watu milioni 1.5 kutoka Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma na Lindi wanatarajia kunufaika na mradi wa unaolenga kuboresha matumizi ya endelevu ya ardhi na kukuza uchumi wa ndani (FORLAND) wenye thamani ya Euro milioni 20. Mradi huo ambao wa miaka minne...
  4. Eli Cohen

    Eti England ilishindwaga kubeba FIFA angalau basi hata EURO na hiki kikosi

  5. MBOKA NA NGAI

    Rwanda yaidai UK Euro millioni 50 za mkatapa wa wahamiaji kutoka UK

    Mahusiano ya Rwanda na serikali ya Uingeleza, siku za nyuma yalikuwa mazuri. Mwaka 2022, mwezi wa nne, enzi za waziri mkuu, Rishi Sunak, serikali zote zilisaini mkataba wa mamilioni ya Euro. Baada ya waziri mkuu wa sasa kuingia madarakani, mkataba huo ulizikwa, na serikali ya UK ikaiomba Rwanda...
  6. D

    Sweden imetenga Euro 109 milioni ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni

    Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni. Wamegundua kuwa matumizi ya computer kama mbadala wa vitabu unawacosha wa toto na...
  7. Waufukweni

    Ureno kuzindua Sarafu ya Euro 7 Kumuenzi Cristiano Ronaldo

    Serikali ya Ureno imepanga kuzinduzi sarafu mpya, CR7 Euro kumuenzi mfungaji bora wa timu yao ya taifa, Cristiano Ronaldo. Sarafu hii itakuwa ni ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa Ronaldo kwa taifa la Ureno. Cristiano Ronaldo ndiye mfungaji wa muda wote wa timu ya taifa ya Ureno, akiwa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Cristiano Ronaldo: Kushinda Euro ni sawa na kushinda Kombe la Dunia tu

    Baada ya kufunga magoli 900 na kuwa mwanasoka wa kwanza kufanya hivyo Cristiano Ronaldo amesema Timu yake ya Taifa kushinda Euro ni sawa na kushinda Kombe la Dunia tu, huku akibainisha kuwa tayari ameshinda mataji mawili akiwa na Ureno ambayo aliyataka sana. Itakumbukwa Ronaldo Ronaldo...
  9. Nrangoo

    Wawekezaji, je tutegemee sarafu ya EURO kuporomoka?

    Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD). Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa? Nini maoni yenu? Karibuni
  10. M

    Man united kujenga uwanja mpya kwa euro Bilioni 2.4

    Klabu ya manchester united nchini England imepitisha mpango wa kujenga uwanja mpya wa mpira utakaokua na manufaa zaidi kuliko kukarabati ule uliopo [old trafford], uwanja huo utakaobeba mashabiki 100,000 unakadiriwa kugharimu euro bilioni 2.4. Mpango huu umetokana na kuvuja kwa uwanja wa zamani...
  11. Dr Restart

    UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Naam, ni Hakika! Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024. Mashindano haya ya kusisimua, yanayofanyika mara moja kila baada ya miaka minne, yataanza kutimua vumbi Ijumaa...
  12. GENTAMYCINE

    Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  13. DogoWaNjombe

    Ratiba ya Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024

    Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024 Juni 29, 2024 Switzerland Vs Italia (1:00 Usiku) Germany Vs Denmark (4:00 Usiku) Juni 30, 2024 England Vs Slovakia (1:00 Usiku) Uhispania Vs Georgia (4:00 Usiku) Julai 1, 2024 Ufaransa Vs Belgium (1:00 Usiku) Ureno Vs Slovenia (4:00 Usiku) Julai 2...
  14. M

    Euro 2024 goal analysis roud 1 & 2

    As we head into the final round of group matches, here is a small piece on what we have learned so far.The first round produced plenty of goals, 34 in total and majority coming from strikes just outside the penalty area ( zone 14), players demonstrating their immaculate technical proficiency of...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    AzamTv wametudanganya kuhusu kuonesha michuano ya Euro

    AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha. Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini? Au Euro ishaisha?? Anyway, imebidi nilipie DStv tu
  16. MulengaMulenga

    Piga Kura: Nchi gani itashinda EURO 2024?

    Naomba maoni yenu tena! EURO inaanza leo na mechi Germany vs. Scotland. Mnafikiri ni nchi gani itashinda EURO 2024?
  17. uhurumoja

    Wakati afrika inawaza kupeleka mbele Afcon 2025 naiona Euro inayoongozwa na watu wenye msimamo iking'ra sana

    Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani. Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America. Namshauri...
  18. uhurumoja

    Wale tunaongoja kuangalia Euro kupitia ZBC 2 mashaka lukuki

    Wakuu bado Nina mashaka sana kama hii Euro itanoga maana hiki kituo huwa hakuna picha angavu kama za wenzetu dstv lakini pia kabla ya mechi tunaweza kosa uchambuzi uliotukuka wa mechi badala yake tutakuwa tunawekewa Busati la mtoro mara msitu wa Jozani na historia ya mtume haya nadhani yanaweza...
  19. Eli Cohen

    England waki "line up" hivi wanaweza chukua kombe la EURO

    1: Pickford 2: Walker 4: Branthwaite 5: Stones 3: Shaw 6: Rice 8: Mainoo 10: Bellingham 7: Saka 11: Foden 9: Kane
  20. shonkoso

    UEFA EURO 2024 Azam wataonesha kweli?

    UEFA EURO 2024 Azam wataonesha kweli? Nauliza tu, wajuaji mnjibu
Back
Top Bottom