• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

bei nafuu

 1. D

  Wapi pa kupata vifaa vya stationery kwa bei nafuu sana?

  Habari zenu wadau. Naombeni mwenye uzoefu anisaidie kujua ni wapi naweza kupata vitu vya Stationery kwa bei nafuu sana, mfano pen, karatasi, mafaili n.k Natanguliza shukrani
 2. Mike400

  INAUZWA Powerbank kwa bei nafuu

  Habari za majukumu wakuu nina powerbank used proda 20000 mah ipo katika hali nzuri.. Bei tsh 60000. Napatikana Moshi Mjini. 0655234557.
 3. muuza magari

  Agiza toyota harrier 2015 kwa bei rahisi zaidi

  Gari ipo Japan na inachukua siku 30 kufika pindi unapo agizia na hiyo gharma ni GHARAMA KAMILI PAKA GARI LINAKUFIKIA MKONONI IKIWA NA KILA KITU KASORO BIMA na pia hamna gharama zozote zitakazo ongezeka zaidi ya hapo. MALIPO HUFANYWA KWA AWAMU TATU (3) 1) Unalipia CIF yani bei ya kutoka japan...
 4. Lyamber

  Yafahamu magari ya bei nafuu unayoweza kununua Tanzania

  Kwa utafiti usio rasmi kwa mtazamo wangu baada ya kupita pita kwenye magroup ya Whatsapp na Kurasa za facebook za wauza magari yaliyotumika hapa Tanzania ni kama yafuatayo: Toyota Vitz, IST, Raum, Passo, Run X Mark II, Grande,Altezza Cresta, Brevis, Nissan X - Trail haya bei zake huanzia...
 5. mashonga

  Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo

  MALALAMIKO MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA WADAU: Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi Wananchi wanyonge. ===== --- --- --- --- --- --- ===== WADAU WENYE MTAZAMO TOFAUTI: --- ---...
 6. Kijana258

  Tunatengeneza Graphics kwa bei nafuu

  OFFER OFFER OFFER Karibu iTech graphix tukutengenezee tangazo(poster) kwa 10,000 Tsh/= tu,logo kwa 25,000/= Tsh tu ,Business card 15,000/=Tsh tu ,cover ya kitabu kwa 10,000/= Tsh tu na ku_edit picha kuwa HD au upendavyo kwa 2000 /= Tsh tu bila kusahau motion graphics kwa 20000/= tu Huduma ni...
 7. Humphrey60

  Pata simu aina zote mpya kwa bei nafuu 0652 565 597

  Simu za infinix zilizopo zote ni mpya: Hot 8 lite bei 250,000 Smart 3+ bei 290,000 Hot 7 bei 240,000 S4 bei 350,000 Simu za Tecno zilizopo zote ni mpya Spark 2 bei 230,000 Spark 3 na pro yake bei 250,000 Spark 4 bei 300,000 Camon 12 bei 350,000 Kwa mawasiliano piga simu 0652 565 597 au 0743 448...
 8. Ibrahim augustine

  Tunatengeneza apps mbalimbali na kuziweka Playstore kwa bei nafuu sana

  Habari, Tunatengeneza apps mbalimbali, websites, blogs, YouTube channels kwa bei nafuu sana. NiPM kwa melezo zaidi pamoja na namba za simu au wasiliana nasi kupitia email hii: myajiratoday@gmail.com Zifuatazo ni Bei zetu 10,000------>kutengeneza blog pamoja na kuifanyia design na kukuwekea...
 9. C

  Lema na wenzako ilani ya CHADEMA mwaka 2015/2020 ukurasa wa 53, mkasome vizuri

  Vijana wa CHADEMA mna maana gani mnapoyakana maandishi yenu wenyewe au ndo uvivu wa kusoma? Ipitieni upya ilani yenu la sivyo mtakuwa kama akina Lema wanaopinga hata vivuli vyao Ilani yenu ilimaaanisha nn kufufua shirika la ndege la Tanzania au mlimaanisha ndege za kivita?
 10. S

  viwanja poa!

  Lplp
Top