young africans

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium.
Nicknamed "Timu ya Wananchi"
utaputapu (People's Club) or "Yanga" (Young Boys) , Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 27 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Gaborone apigwa ngumi: TFF Ichukue Hatua Kulinda Taswira ya Tanzania

    Mpira sio uadui; mpira ni furaha, burudani na umoja. Kitendo kinachodaiwa kufanywa na kiongozi wa Yanga cha kumpiga ngumi kocha wa Gaborone United kinaharibu taswira ya mpira wa miguu nchini Tanzania. Matukio ya aina hii yanaweza kugeuza mpira kuwa uhasama, jambo ambalo ni hatari zaidi katika...
  2. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-1 Gaborone Utd | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Azam Complex | AGG 3-2

    Timu ya Wananchi Yanga SC leo itakuwa uwanjani katika mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone kutokea Botswana, mchezo utakochezwa uwanjwa wa Azam Complex saa 1 kamili usiku Katika mchezo wa kwanza Timu hizi zilitoka kwa Sare ya goli 1 kwa 1, kwahiyo leo yoyote...
  3. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

    Yanga leo watatupa karata yao ya kwanza ya Ligi ya mabingwa msimu wa 2026/2027 dhidi ya wenyeji wao Gaborone. Vipi matoke yatakuwaje kwa Yanga weka kwenye comment hapo KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA
  4. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: Fountain Gate 0-2 Young Africans SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Stadium | 31/08/2026

    Young Africans SC imeendeleza mwendo wake wa ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Fountain Gate, na hivyo kufikisha ushindi wa tano mfululizo kwenye NBC Premier League. ⚽ Peter Shalulile ⚽ Mudathir Yahya Yanga imeendelea kuonyesha ubora na kasi katika ligi. KIKOSI CHA FG...
  5. Palac

    JamiiForums Tanzania Full Time: NBC Premier League: Young Africans 3-0 Singida Big Stars 🌟: KMC Complex

    Timu ya soka ya Yanga imefanikiwa kufunga magoli 3-0 dhidi ya Singida Big Stars Magoli ya Yanga yalifungwa na Allan Okello (Star Boy) magoli mawili na Mudathir goli moja Kwa ushindi huo Yanga wamerudi kileleni mwa ligi wakiwa na points 57, huku wakiwa wamebakiza mechi 6 =========== Leo tena...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa timu yangu Yanga baada ya kipigo kutoka Dodoma Jiji

    Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza 1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin 2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team Kitendo cha kususa na kujitoa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Full Time: TRA United 0 🆚 0 Young Africans SC, Machi 18, 2026, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

    Mchezo unaendelea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, upinzani ukiwa ni mkali, wenyeji TRA wanacheza pungufu baada ya mwenzao mmoja kucheza kadi ya pili ya njano. Hadi Kipindi cha Kwanza kinakamilika hakuna timu ilioona lango la mpinzani wake. Mchezo umemalizika kwa timu zote...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Taarifa za wachezaji waliopata majeraha kutoka klabu ya Young Africans Sports Club

    •Ibrahim Abdullah (Bacca) amepata jeraha la nyonga na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha Wiki tatu • Laurindo Dilson (Depu) amepata majeraha ya nyama za paja na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili. • Chadrack Boka amepata jeraha la enka ya mguu wa kushoto na atakuwa nje ya...
  9. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

  10. P

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCL Group Stage: Young Africans 1-0 Far Rabat | New Amani Complex | 22/11/2025

    Mabingwa wa Tanzania, Yanga leo wanaanza kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Far Rabat ya Morocco katika mechi ya kwanza ya group B, katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Amani Complex, Zanzibar
  11. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Tetesi: It's Over, Romain Folz amefutwa kazi ndani ya Young Africans as expected. Official Announcement soon

    Credit by Felix jason
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Bandari FC, siku ya wananchi

    Kwanza naona coach Folz ana kazi ngumu mno kwenye kupanga kikosi. Young wameboresha timu Yao inatosha 1. Goal keeping Diarra ni yule yule ametoa mchezo mzuri mno, na mwenzake Msheri 2 Defending Walinzi wamecheza vizuri mno, Amenipa surprise Asink ni beki Bora sana. Naona akichukua namba ya...
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

    𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔. 🔰 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐌𝐓𝐎𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐀𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐔𝐌𝐄𝐅𝐈𝐊𝐀 🤩Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako Mwananchi🔰.#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Kwa elfu 45 tu mwananchi 💚💛
  14. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Azam FC: Hakuna timu iliyokuja kuzungumza nasi kumuhitaji Feisal Salum

    Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa...
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Young Africans imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Mussa Bala Conte

    Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi kiungo mkabaji wa zamani wa klaabu ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia ambaye ni raia wa Guinea Moussa Balla Conte. Nyota huyo alikuwa kwenye midomo ya watu wengi hapa nchini baada ya kuonesha kiwango bora kwenye michezo ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya...
  16. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Young Africans SC (Yanga) Kuanzisha Tiketi za Kidigitali

    Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets). Maelezo ya Wazo: Katika siku maalum kama vile Yanga...
  17. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Match Day. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Kikosi Cha Singida Black Stars
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi: Elie Mpanzu Kibisawala ni mali ya Dar es Salaam Young Africans

    Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
  19. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania Young Africans tunapoteza mechi leo

    Mimi ni mshabiki kindakindaki wa Yanga, ila Leo moyo wangu unakataa, tunapigwa 2 kwa 1 na Simbo, na anguko letu la miaka 4 litafuata! Poleni sana wananchi wenzangu!
  20. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 DAY 🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania 📆 18.05.2025 🏟 CCM Mkwakwani 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Updates Kikosi cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA JKT Updates... DK 41 Prince Dube anaipatia Yanga Goal lakuongoza. Alipokea Assist nzuri...
Back
Top Bottom