Tanzania imekuwa ikifuzu kwa kuunga unga Kwenye afcon 2019 kule misri na sasa afcon ya Ivory Coast .
Ukiangalia matokeo ya mechi za kufuzu na ukalinganisha na matokeo ya tarehe 17 Jan dhidi ya Morocco kule afcon , morroco kwa mkapa Kwenye WC qualification na Jana dhidi ya Zambia unabaki kusema vijana walijitahidi kwa kadri ya uwezo wao.
Ukiangalia Kwenye karatasi wacheza ndombolo DRC wametuzidi kwa mchezaji mmoja mmoja ingawa jibu ni dakika 90+ za mechi.
Mechi ijayo ikiisha kwa Sare au Hata kufungwa 1 au 2 bado tutasema vijana wamejitahidi.
Uwezo wa Tanzania bado ni Mdogo miongoni mwa mataifa ya viwango vya juu Afrika.
Ni nini tunakosa wenzetu Senegal , Morocco, Equatorial Guinea , Cape Verde, Angola , Mali , Morocco wanacho?
Wenzetu wamewekeza wachezaji wengi sana kucheza ulaya kwenje ligi kubwa na vilevile wana shule za kufundisha soka watoto na vijana wadogo.
Shule ya soka maanake mtoto Mdogo anafundishwa namna ya kupiga mashuti ya kulenga goli na namna ya kufunga magoli ,mbinu mbalimbali za soka nk.
Kilichokosekana ni uongozi wenye Nia ya kweli , mikakati , malengo na Mipango madhubuti ya kukuza soka la Tanzania.
Mtu wa kutuvusha Kwenye mafanikio ni Injinia Hersi.
Tuache uyanga na usimba katika kupinga mazuri na uwezo wa mtu maana Hata jana mgunda kocha msaidizi alikuwa uwanjani kusaidia timu na watu wote tulisapoti