watangazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa EFM Radio Wahamasishana Kununua Malaya Kahumba Morogoro

    TCRA ndio inatulea hivi, wanao present mambo ya maana media zao zinapewa onyo na kufungiwa, haya sasa leo EFM wanahamasishana kuwa wakifika kwenye Marathon ya tarehe 20 June wakishamaliza kukimbia wataenda kununua malaya Kahumba Morogoro. Maudhui hayo yaliruka leo majira ya saa tano na dakika...
  2. C

    JamiiForums Tanzania EATV ndo kituo kinachoongoza kwa watangazaji na mapresenter wenye ubora wa juu kwa sasa

    najua kuna vituo vyenye watangazaji bora na wakubwa sana lakini EATV ina combination kubwa sana kwenye burudani utakutana na Rich Msafi au mwanadada February Omary kwenye Michezo utakutana na Wastara Masese kwenye shiw za vijana na Gen-Z utakutana na Zeydan Thabit na Modoo ingawa pia dolly...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wawili wa KYELA FM walioshikiliwa na Jeshi la Polisi waachiwa kwa dhamana Mkoani Mbeya

    Wanahabari wawili wa kituo cha redio cha Kyela FM, Tumsifu Katina na Emmy Eliud, wameachiliwa kwa dhamana asubuhi ya leo Aprili 15, 2026 baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi tangu jana mchana. Meneja wa Kyela FM, Lamso Malongo amethibitisha kuwa wanahabari hao kwa sasa wako huru na taratibu...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kapteni mwamba kabisa, moja ya watangazaji bora nimewahi wasikia

    Pumzika kwa amani mwanangu, Kapteeeeeeeeeeeni G Habash https://www.jamiiforums.com/threads/gardner-g-habash-mtangazaji-wa-clouds-media-afariki-dunia.2205794/
  5. Lucha

    JamiiForums Tanzania Tabia ya watangazaji wa Clouds Media kuwasimanga watu wanaotafuta maisha wakiwa wanaishi kwa shemeji

    Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa nasikiliza radio iliyokua imewashwa sebuleni kwa sauti ambayo kila aliechumbani anaweza kuiskia ndo...
  6. maroon7

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa mpira Azam TV waache kupotosha matumizi ya baadhi ya maneno ya kiswahili

    Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake. Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
  7. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Natafuta waandishi wa habari au watangazaji wawili wenye Diploma

    ENEO LA KAZI MBEYA KAZI KUTAFUTA NA KUANDAA HABARI VOICE OVER,NK MSHAHARA MAKUBALIANO YETU tUma cv yako pamoja na vyeti vya taaluma josefevafeva@gmail.com Nimongeza Muda wa Kuomba tena, Hata kama Upo kwenye Chombo kingine ila uko mbeya unaweza kuwa Reporter tuma maombi yako chap wanahitajika...
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wenye uwezo wa kifedha wasome Masters au PG Diploma darasani au Online lakini lazima wawe na Shahada yoyote ya kwanza

    Sakata la Bodi ya Ithibati limezua janga na wengi wa watangazaji wamekwama kuendelea na shughuli za utangazaji kwani tasnia hiyo yahitaji uwe na cheti cha ngazi ya Diploma. Lakini nina ushauri kwa watangazaji wengi ambao wana shahada yoyote ya kwanza kwamba wana uwezo wa kusoma shahada ya...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Sio kweli bodi ya ithibati imezuia watangazaji wakosoaji

    Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️ "Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuondoa watangazaji wasio na Diploma, radio zimeanza kuwa na ladha fulani nzuri

    Mimi Kama Mpenzi wa radio niliacha kusikiliza radio mwaka 2021 baada ya kuona watu Kama Baba Levo wanachambua mambo ya msingi ya Nchi. Baada ya kuwatoa hawa jamaa sasa ile ladha imerudi katika hali yake. Asante Sana Serikali kwa hili. Mfano yule Chumvi alikuwa anaharibu Sana.
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

    Kuna nini. Maana Jahazi nasikia sauti za watangazaji mpya. Nikienda Wasafi nako watangazaji maarufu siwasikii tena!! Nini kinaendelea maana maredio haya makubwa watangazaji maarufu siwasikii tena... Wapi Mchomvu, wapi Kipanya, wapi Masanja, Zembwela nk
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Hamjagundua watangazaji vituo vya redio wameanza kung'olewa!?

    Wazee wa minyama Kitenge na Zembwela siwasikii siku hizi!! Au hiyo bodi ya waandishi ishakula vichwa!?
  13. secretarybird

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini mabinti wa siku hizi hupendelea kusema "mwanaume wangu" wanapohojiwa na ripota wa online media?

    Yaani binti anapohojiwa na ripota wa online media asipotaja hili neno ni kama anawashwa washwa hivi. Hili neno linakifu mjue😮 Sasa leo nawuliza mabinti waliomo humu sababu inayowafanya walitumie sana hili neno ni nini? Cc Mshangazi dot com.
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kugombana na watangazaji wa mpira, badili kwa kiingereza utanishukuru

    Nimeona kuna mjadala mkali unaendelea mitandaoni kuhusiana na baadhi ya mashabiki wa Simba kuamini kuwa Simba haipati matokeo mazuri pale mechi zake zinapotangazwa na mtangazaji wa Azam TV, Gharib Mzinga. Binafsi, mimi siwakubali hawa watangazaji woote. Kwanza wote wana chembechembe za uto na...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Vipindi na Watangazaji Bora katika TV kwa Miaka ya nyuma

  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katikati ya matangazo ya 'Live' ITV Mgeni aomba watu wote studio wasimame kumuombea Rais Samia, Watangazaji wapata kigugumizi kumzuia

    Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'. Wakati kipindi kinaendelea akakaribishwa mchangiaji mmoja akijulikana kwa jina la Ramadhan Kampira, Mwenyekiti wa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wasanii na watangazaji mama kawabeba sana. Sasa ni zamu yenu kumbeba kuelekea oktoba

    Mambo vp wakuu. Wasanii mama kawabeba sana, mikutano yote mpo nae anawakusanya wasanii wote wa muziki na uigizaji. Wengine Hadi china Kawapeleka lakini mbona na nyie hamjitoi kwake kwakutumia sanaa yenu? Mnaishia kupost tu Instagram kwel.!!!!! Wasanii tengenezeni documentarys za kuonyesha...
  18. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hawa watangazaji huwa wanalipwa mishahara? Maana wanafaidi sana

    Kuna huyu Mwamba anaitqa Sunday Temba kipindi cha mapishi ITV, Mwamba anafuatilia mapishi yakikamilika tu anasogeza pembeni anapiga 😀 Alianza kutangaza akiwa mwembamba sasa hivi ana kitambi. 2.Margareth Geddy Huyu dada anatangaza kipindi cha Hoteli zetu Safari channel, Kazi yake ni kutembelea...
  19. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Hawa Watangazaji Wa Azam TV Wanaotangaza Mpira Wa Ujerumani Wanakuwa Tanzania Ama Huko Huko Ujerumani?

    Msaada tutani
  20. R

    JamiiForums Tanzania Jamani watangazaji wetu kipimo cha umeme kwenye grid ya taifa ni megawatt siyo megabyte!

    Tangu jana nawasikia mkisoma habari fulani kuhusu umeme na kusoma kama megabyte badala ya megawatt. Megabyte ni kipimo cha data za Internet kama hilo bando unalonunua na kifupi chake ndio Mb.
Back
Top Bottom