Murtaza Ally Mangungu (born 29 September 1959) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kilwa North constituency since 2010. chairman of simba sports club in tanzania from 2021
Mara baada ya kupata wasaha wakumsikiliza mara kadhaa, nimejiridhisha kuwa ndugu zetu wa Simba wana kila sababu ya kuhakikisha anabaki madarakani ili kuimarisha timu yao.
Sioni kiongozi wakumzidi pale Simba, huyu anaweza kuongoza hata taasisi kubwa na ya heshima kama Yanga au Ikulu.
Hongereni...
Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
Mangungu aliahidi mambo 11 wakati anaomba kura kuwa Mwenyekiti Simba. kabla ya kuhukumu rejea kwanza ahadi zake, ametimiza mangapi?
https://youtu.be/t_mRj7nOM14?si=dTAi_PkWeRMepQW_
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Mangungu ambaye amewahi kuwa mbunge wa Jimbo Hilo kabla ya...
Kuhusu 25 June, wanasimba wote wanapaswa kujua mpira unaongozwa kwa sheria na kanuni,hivyo sisi kama taasisi ya mpira lazima tuheshimu kanuni na sheria.
Niwatoe wasiwasi mchezo namba 184 klabu yetu itakwenda uwanjani kuzipigania alama tatu ambazo zitatupa ubingwa msimu huu. Wanachama na...
MANGUNGU KUHUSU KARIA 👇
🗣"Kwa ambae atakaechukua fomu ya Urais wa TFF atakuja kutueleza atafanya jambo gani kubwa ambalo wewe Wallace Karia umeshindwa kulifanya, lipi ambalo yeye atakuwa ametoka nalo huko aliko kuja kulileta, hoja yangu ya msingi ni wajumbe kumpitisha tena Rais Wallace Karia"-...
Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru.
"Tumesoma vitabu vya historia na klabu...
Baada ya uvumi wa muda mrefu kuwa Mo Dewji, rais wa Heshima na Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu haziivi hatimae washikana Mikono.
Soma Pia:
Mangungu amjibu Mo Dewji: Simba SC haiuzwi na haitauzwa kamwe
Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji...
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Sc Murtaza Mangungu anasema Uwanja ambao Wananchi Young Africans mnatamba nao sio mali yenu bali ni mali ya Mnyama Simba SC!
"Wenzetu Wamepewa Uwanja ni haki yao kama wakipewa na Serikali na sisi hatuwezi kulalamika ila na sisi tumeiandikia Serikali kuwakumbusha...
Achana na porojo za vikundi vinavyo hongwa na watu wenye nia mbaya ili kumhujumu ndugu Murtaza Mangungu (genius wa msimbazi), leo nataka kukumegea siri makini sana.
Ni hivi, ndugu Murtaza Mangungu ni kiongozi makini anayesimamia katiba na sheria ndiyomaana mpaka sasa hajajiingiza kwenye...
Salaam Wakuu,
Jana kupitia mitandao ya kijamii kumezunguka nukuu mbalimbali za Mwenyekiti wa sasa wa Simba Sports Club Murtaza Mangungu.
Miongoni mwa nukuu iliyonipa mashaka na kutaka kujua ukweli wake ni ile inayosema Mangungu amesema Simba haiwezi kuvunja Mkataba na Jobe na nyingine kwamba...
Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba.
Halafu umewaongezea machungu sana pale ulipokuwa ukihojiwa na waandishi wachovu wa Mawingu kwani ulikuwa ukiongea na jeuri...
Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba.
Halafu umewaongezea machungu sana pale ulipokuwa ukihojiwa na waandishi wachovu wa Mawingu kwani ulikuwa ukiongea na jeuri...
Kuna Wapumbavu wanataka Kuwaangushieni Zigo la Mavi ( Nnya ) pale Timu ikifungwa basi Lawama zote zielekezwe Kwenu wakati GENTAMYCINE nina uhakika kuwa Adui namba moja wa Simba SC yetu ni Mwekezaji Mohammed Ghullum Dewji ( Tajiri Kibyongo ) na kamwe wala siyo nyie na hata kama ni kweli nanyi mna...
Hapa una Murtaza Mangungu raisi wa Simba Sports club na pale una Engineer Hersi Saidi Raisi wa club ya Young African, yupi anafaa kuwa mwenyekiti bora kati ya wenyeviti hao wawili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.