presha

Poxi Presha (1971–2005), real name Prechard Pouka Olang, was a pioneer Kenyan rapper. He emerged in the mid 1990s with hip hop sung in Dholuo language.
His debut album Total Balaa also popularly known as "Dhako" was released in late 1997, then followed by hits like "Mummy","Jaluo Jeuri" which featured celebrated actor Joseph Olita of 'Rise & Fall of Idi Amin' and "Otonglo Time". The album was followed by another solo album Vita Kwaliti.He was also an MC for Nairobi City Ensemble group, which released the album "Kaboum Boum", containing a remake of "Lunchtime", originally popular song by benga singer Gabriel Omolo.He was known as the "bad boy of Kenyan music" due to number of incidents, such as falling out with his producers Bruce Odhiambo and Tedd Josiah. He also released dis track "Wape Really?" aimed at producers and promoters.During his later years, Poxi Presha worked as an anti-piracy activist.Poxi Presha was born in Mombasa but was based in Nairobi during his career. He died at the St Mary's Hospital in Langata, Nairobi on October 14, 2005 due to tuberculosis, aged 34.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania MPYA Mchanganyiko wa limao, mchaichai na tangawizi ni chai nzuri ya kusaidia kudhibiti presha

    Mchanganyiko wa limao, mchaichai na tangawizi ni chai nzuri ya kusaidia kudhibiti presha (hasa kama sehemu ya mtindo bora wa maisha), ingawa si mbadala wa dawa kama una presha tayari ya muda mrefu. Hivi ndivyo unavyoweza kuutumia kwa ubora zaidi na kupata matokeo ya kudumu: Kwa nini...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Milio ya mafataki usiku Mliman City inatukosesha amani na kutupa presha wakazi wa maeneo jirani hasa Sinza A

    Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A. Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote hivyo kuleta taaruki kwetu na hata kutupandisha presha kwani hali hii inatukumbusha ile milio ya risasi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho3,mtoto umri miaka 10 anakojoa mkojo umechanganyikana na damu

    Wakuu nimerudi kuwapa mrejesho Tena,baada ya kumaliza dawa za kichocho prazquantel 600mg vidonge vinne hali ya mtoto ikawa vile vile Bado anaendelea kukojoa damu Leo asubuh nimeamkia hospital hapa yawakatoliki hospital ya kati tu,mtoto akaandikiwa vipimo Tena vya damu,mkojo,ultrasound ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anakojoa mkojo umechangayika na damu Wakuu na uliza presha ya mtoto umri miaka10 kg 37 anatakiwa awe na presha isiyozid ngap

    Wakuu yule mtoto wangu anakojoa mkojo umechanganyikana na damu nauliza presha ya mtoto inatakiwa iwe ngap,mtoto ana umri miaka10
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama za Interior, Tairi na Rim. Tenga bajeti ya ziada mapema ili usije ukahangaika baada ya kununua gari

    Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua. Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior. Tairi na Rim Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kocha Gaborone; Yanga ndio yenye presha zaidi

    Kocha wa Timu ya Gaborone United ya Botswana, Sean Connor amesema kikosi chake kimejipanga kwa nidhamu, umakini na mbinu kuhakikisha kinapata matokeo dhidi ya Young Africans, akieleza kuwa wamebaini maeneo ambayo wanaweza kuyatumia kuisumbua Yanga katika mchezo huo. Amesema Yanga ilionyesha...
  8. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Doumbia anasema hana presha Simba SC, anawaskia ngebe zenu

    Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Doumbia, amesema hana presha licha ya kuanza msimu huu bila kufanya vizuri. Doumbia amesema ameanza taratibu, lakini bado ana matumaini ya kufanya vizuri zaidi na kuumaliza msimu kwa kiwango kizuri.Mshambuliaji huyo anakabiliwa na presha kutoka kwa mashabiki...
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kiredio; Siku kumiliki mwanamke mzuri mwenye shepu ni kujitafutia presha, sitarudia

    Mdau mmoja amemuuliza Kiredio kwanini siku hizi kaacha kabisa kazi yake ya kupost maudhui mtandaoni baada ya kuachana na aliye kuwa mpenzi wake, Vee Dollars. Kiredio ameshangaza wengi Kwa jibu alilo litoa, Kiredio amejibu kuwa; "Siku hizi kumiliki mwanamke mzuri mwenye Shepu ni kazi sana ni...
  10. CreativeSanta

    JamiiForums Tanzania [B]Tunadizaini. Tunaprint na-kudeliver, Oda kubwa hazitupi presha.

    Kila safari. Kila kituo. Kila mtaa. Ni nafasi ya brand yako kuonekana👀 SantaPrint - Tunapeleka brand yako barabarani, barabara ina macho! 📍 Mwenge, opposite Mlimani City ☎️0743 717 072/ 0733 000 638
  11. K

    JamiiForums Tanzania Presha ya wafanyakazi baada ya weekend

    Hakuna kundi linaloteseka kama wafanyakazi wa serikali. Faraja yao kuu ni weekendi na public holidays. Ila masela wengine ikifika jumatatu ni mwendo wa kula tungi tu hawana stress za maisha. Ila wafanyakazi ni kukuru kakara. He/she wake up early in the morning doing the same thing from January...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Presha yangu haishuki 150/105 pr 65

    Habari wakuu nimiezi mitatu sasa presha yangu haishuki Toka niugue homa kali ..presha tangia hapo haijawahi shuka pamoja na kufanya Kila jitihada presha inasoma 155/105 pr 66 Kila asubuh napoamka napima Nina mashine ya BP ,, Mwezi wa wakwanzamwishoni nilipima vipimo vya figo,ini,moyo vyote...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  14. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa Presha

    Ugonjwa wa Presha (Shinikizo la Damu - Hypertension) Presha ni hali ambapo damu inasukuma kwa nguvu kupita kiasi kwenye kuta za mishipa ya damu kwa muda mrefu, jambo linaloweza kuharibu moyo, figo, ubongo, na macho. Vipimo vya kawaida: Presha ya kawaida: chini ya 120/80 Presha iliyoinuka...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys kufungwa baada ya Siasa na Presha kuingizwa!

    Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final. Wakati timu ilipofika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada presha 158/100 pr 57 nifanyaje kushusha presha

    Habari wakuu niwiki Sasa presha yangu Iko juu nimekuja kwenu kutaka muongozo namba Gani naweza kushusha hii presha nisitumie dawa
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa Wasichana na kusahau Wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni

    PRESHA WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni. Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao. Wamefundishwa: “vumilia.” “kuwa mwanaume.”...
  18. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya presha

    Jaman habari zenu mimi nina changamoto ya presha na nimegundua kutokana na number zangu zinavyojieleza mara inapanda mara inashuka naitaji kuicontroll kabla haijaniletea shida kubwa zaidi iwe kwa dawa au kawaida,naomba kwa upole tu munibariki njia za kuicontroll,plz hii ni serious sana,apo chini...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Manchester United gari imekolea moto au gesi ya presha cooker?

    Hawa jamaa wanatembeza kipigo sahivi EPL pale hadi unaogopa.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu

    Habari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa...
Back
Top Bottom