Habari
Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.
WHY?
Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na...
Hapo vip!
Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati.
Ni aibu kwa club ndogo kama yanga kutumia siasa kuharibu mpira Tanzania.
Nb: Tukumbuke yanga tokea Dunia kuubwa na kuanzishwa kwa...
Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo huko Windsor mnamo Juni 12.
Mashuhuda wanasema alilalamika ghafla akisema, “Nimekimeza kitu,” na...
Ujumbe umefika mechi ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi amesema Sasa wewe kolo jichanganye ukanyage taifa Leo utapigika vibaya sana sababu ushatangaziwa mechi na tff ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi ameshasema na hakuna wa kupinga Hilo heshimj mamlaka kabla hujashugulikiwa ipasavyo na nadhani...
Habari ndugu.
Bila ya kupoteza muda habari za uhakika kabisa timu za Simba na Yanga kupitia kwa mashabiki wao zitakuja na mabango ya mama kwenye dabi ya tarehe 25/06/2025.
TFF nawaomba msituzuie kuingia na mabango ya vyama vyetu vya siasa na viongozi wetu pendwa.
Kwa nchi hii ilivyo na upuuzi...
Wanaupiga mwingi nje ya Uwanja Kapteni wao haeleweki anacheza nini kila pass anayopewa anabutua uelekeo wowote ule.
Hakuna aliyejibu hoja ya Gwajima. Maswali ya Gwajima yamekuwa Magumu sana kujibiwa. Wanapuyanga tu kama kuku alokatwa kichwa akaachiliwa akimbie..
Wanamshambulia Gwajima badala...
Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao.
ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua...
Najiuliza tu, Kama kanuni zinasema Timu itakayoingia uwanjani endapo mpinzani hatatokea basi adhabu hufuatia, Sasa Yanga ndiye mwenyeji wa mchezo, Ndiye anapaswa kuamua mchezo uchezwe wapi, Je, siku hiyo akiamua kufunga milango ya uwanja kisha kutokomea na funguo nani ataingia na kudai alipeleka...
Habari wadau!
Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga.
Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi?
Na kama kweli...
Kwa kweli hii nchi tulikuwa tunaongoWa na mshamba kweli kweli. Maendeleo kidogo tu tena almost negligible kelele wiki nzima na kuita vyombo vya habari ili kusifu
Mbona jk alikuwa anaajiri almost walimu na madaktari wote nchima lakini hatukusikia mayowe na mapambo
Mbona samia anafanya mambo...
Kama Simba Sc itaingia uwanjani kwa Game plan ya kujihami mwanzo mwisho simply ipo ugenini itaaibika..
Hii Game plan iliwa-cost Simba dhidi ya Constatine kule Algeria..
Ile mechi Simba sc haikustahili kufungwa..ulikuwa ni uzembe.Laiti Simba angekuwa na wazoefu wake wa zamani angeshinda.
Mambo...
Baada ya mapumziko ya muda katika michezo ya ngazi ya klabu katika mataifa mengi hasa upande wa Ligi Kuu, Ligi Kuu ya England inatarajiwa kuendelea leo Jumanne Aprili 1, 2025 kwa mechi tatu kupigwa
Timu ya Arsenal ambayo bado inapambania ubingwa ipo nyumbani ikiikaribisha Fulham, Wolves nayo...
Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel.
Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita.
Kama kawaida ving'ora vililia kwa sauti kali kwenye mji wa Metulla wa kaskazini ya Israel.
Inaonekana subira imewashinda...
Naona yanga wanalialia kama watoto kwa makosa ya ushenzi wao !! Wanataka point za mezani kwa mechi gani waliocheza? Mwamuzi alikuwa nani ,na Kamisaa alikuwa nani? Ipeni yanga pointi 3 na ikiwezekana wapewe na za nyongeza Bado mwaka huu ubingwa hauwahusu
Baada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu uwanjani siku ya mechi. Baada ya kutafakari sana wao wenyewe na kuwasiliana na baadhi ya wajumbe...
Katika hali isiyo ya Kawaida Club ya soka huko nchini Misri, imetunukiwa Alama 3 na magoli 3 kwa sababu Team ya Al ahly haikutokea uwanjani
Club hiyo Yenye mafanikio makubwa barani Afrika imegomea mchezo kwa kigezo kuwa haina Imani na marefa watakaa chezesha. Mtanange huo na kuomba waletwe...
Kwanini Yanga walilazimisha kwenda uwanjani hata baada ya mechi kuahirishwa hiyo tarehe 8 Machi 2025?
Ilikuwa ni kwenda kuondoka na majini na uchawi wao waliouacha uwanjani. Hakukuwa na namna nyingine ya kuhamisha uchawi wao mara baada ya bodi ya ligi kutangaza mechi haipo. Sasa wanaingiaje...
Watu wanadai pwenti 3 za bure wakati hata wao hawajafuata taratibu zinazoweza kuwapa nguvu ya kudai hizo pwenti tatu.
Tuachilie mbali tukio la kuvunja kanuni kwa kuzuia mpinzani wake asifanye mazoezi na kumfanyia vurugu usiku wa kuamkia mechi husika.
Tuachilie mbali kuvunja kanuni kwa kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.