uwanjani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga SC jana waliingia uwanjani na wachezaji wa nne kwenye basi lao lakini timu nzima ikaingia na coaster, kitaalamu imekaaje?

    Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani. Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na benchi la ufundi waliwasili na costa. Wanasoka kitaalamu imekaaje hii?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

    1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid. Yanga kama kawaida yao...
  3. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Na nyie Mashabiki wa SIMBA SC, mnaenda kufanya nini uwanjani?

    Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football. SSC bado wanaamini kwenye political football na traditional ways of doing things , kwa staili hiyo, Yanga...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Simba inahitaji kiongozi Uwanjani

    Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni. Pamoja na upya wa kikosi Simba haijaonesha uhai wowote katika safu ya ushambuliaji, Kabla ya kumtafuta...
  5. L

    JamiiForums Tanzania TFF mmeona walichokifanya Utopolo leo uwanjani, nasubiria mseme neno

    Tumewaona utopolo katika basi Lao wametanguliza wachezaji 4 t, wengine wamepanda mabasi mengine, TFF nasubiria tamko lenu, wanasema hawarogi nn hii
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ali Kamwe alizuiwa kuingia uwanjani siku ya wiki ya Mwananchi kwa shinikizo la watu kadhaa ndani ya Yanga

    Wadau je ni kweli Ali Kamwe alizuiwa kuingia uwanjani siku ya wiki ya Mwananchi kwa shinikizo la watu kadhaa ndani ya Yanga? Maana ishu hii imekuwa kubwa sana ikizungumzwa naomba tuizungumze pamoja kumuhusu huyu Meneja wa Habari na Mawasiliano Yanga SC Klabu kubwa Afrika kwa sasa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa yaliyotokea jana, ni uthibitisho kuwa Mashabiki wa Yanga kwenda Uwanjani inahitaji moyo na uvumilivu wa chuma

    Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani. Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko. Wengine walikuwa na watoto, na wengine wameacha watoto nyumbani. Watu wametoka Kimara, Kibaha, Tegeta, Chanika...
  8. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Arusha atakuwepo uwanjani kuwaona wananchi?

    Kama mjuavyo leo yanga fc watakipiga huko southAfrica. Na kwa taarifa rasmi zilizotolewa na kiongozi ngazi ya mkoa hapo Arusha ni kuwa gavana wa arusha yupo likizoni akimalizia siku 28 za likizo za mtumishi hukohuko kusini mwa afrika. Sasa swali ni je ataenda kuwatia moyo wananchi hapo...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile za nchi nzima kukutana uwanjani kupokea na kushangilia ndege mpya, huwa nacheka sana

    Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka. Nchi imetoka mbali hii. Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

    🔰𝐔𝐏 𝐍𝐄𝐗𝐓🔰 🏆 #MpumalangaCup🇿🇦 ⚽️ FC Augsburg🇩🇪🆚Young Africans SC🇹🇿 📆 20.07.2024 🏟 Mbombela Stadium 🕖 15H00🇿🇦 16H00🇹🇿 Kikosi kinachoanza dhidi ya FC Augsburg #preseasontour #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 1 0-0 Dakika ya 3 Augsburg wamekosa goli la wazi Dakika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tuliwahi kumsajili beki mmoja akiitwa Mohamed Ouattara lakini tukaishia kumtukana, tusubiri uwanjani ndio tuwasifie

    Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan. Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki. Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia. Outtara alikuwa na mwili jumba...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Angalia mwenyewe kosi la Yanga na kosi la Simba, utaamua mwenyewe uende uwanjani au upotezee

    Yanga 1.Diarra 2.Yao 3.Kibabage 4.Bacca 5.Job 6.Aucho 7.Nzengeli 8.Mudathir 9.Dube 10.Aziz Ki 11.Chama Simba 1.Ayoub 2.Kapombe 3.Tshabalala 4.Chamou Karaboue 5.Che Malone 6.Debora Mavambo 7.Mutale 8.Augustine Okejepha 9.Steven Mukwala 10.Jean Charles Ahoua 11.Kibu Denga 😅😅😅
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mchezaji mzuri asifiwe uwanjani sio kutua uwanja wa ndege au kutambulishwa

    Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu. Walipoanza tu msimu kila cku zilipokuwa zinakwenda tukaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, mfano Jobe...
  14. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Leo ni Miaka 21 tangu Marc Vivien Foe adondoke uwanjani na kufariki Dunia

    Tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita Dunia ilimpoteza kiungo mahiri wa Man City na timu ya Taifa ya Cameroun, Marc-Vivien Foe. Foe alidondoka uwanjani dakika ya 72 wakati wa mchezo wa Kombe la Mabara, kati ya Cameorun dhidi ya Colombia katika hatia ya nusu fainali ambapo michuano hiyo ilikuwa...
  15. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania TFF iwafungie wachezaji wa Tabora Fc kujihusisha na soka ngumi haziruhusiwi uwanjani

    Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi, Hii timu tangu msimu unaanza mechi ya kwanza iliingiza wachezaji 8 uwanjani Hii timu ipigeni kufuri haitakiwi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji watatu wenye uwezo wa kumdhibiti Aziz Ki uwanjani bila wasiwasi

    Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana lakini akipata watu haonekani, ni mchezaji ambaye ukimwekea watu wenye kazi ya kukaba, humuoni, atabaki kulalamika tu kuwa anachezewa rafu. Wachezaji watatu niliowashuhudia wakihangaika na Aziz Ki na akashindwa kabisa kufurukuta kwao ni kama ifuatavyo. 1. Kevin...
  17. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Wachezaji waliofukuzwa uwanjani kwa kelele za mashabiki wasiojua mpira

    Nikweli usiopingika kuwa Soka la tanzania limetawaliwa na mashabiki wanaoendeshwa na mihemko, hii hapa Orodha ya wachezaji wazuri waliokimbia Clabu zao na kutundika Daluga au kuhamia vilabu vingine 1. David Molinga , Yanga, huyu alikuwa mchezaji nzuri aliyeweza kufungua zaidi ya goli 7 kwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimelinganisha Picha za Muuza Madafu Ikulu na Yule Commando wa Jana Uwanjani na kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa ni Watu wawili tofauti kabisa

    Na nakuomba kabla ya Kuja Kuhara hapa kwa huu Ukweli niliousema tuliza Akili zako zote na zilinganishe Picha zao sawa? Nimemaliza.
  19. uran

    JamiiForums Tanzania Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    Hii game imesimamishwa kwa sababu ya Radi. Dakika 21' Weather conditions cause a suspension of play. The referee brings play to a halt and signals for both teams to head to the changeroom with the increased lightning around the stadium. Game imeendelea baada ya Hali ya Hewa kukaa sawa Hadi...
  20. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya hewa jijini simba anashinda mechi ya kesho tarehe 20.4.2024

    Wasalam Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga KESHO ANAKUFA MTU.
Back
Top Bottom