radi

Radi (or Radhi) is a town in Trashigang District in eastern Bhutan.Radi is a town located in the northern part of Trashigang. It is popularly known as the rice basket of the east. Following the royal decree, Bhutan became a democracy in 2008. Jigme Tshultrim is the first Member of Parliament from the Radi-Sakteng constituency which comprises four gewogs (blocks) named Radi, Phongmey, Merak and Sakteng. At the national assembly, Jigme Tsheltrim holds the post of the speaker.
Radi has a middle secondary school, a basic health unit, a gup (head of the local government), and an animal husbandry office. The area where the school is located is commonly known as fai singma, which means "a new house". This name was derived from when the school building was new in 1960s.
Today, the gewog is connected by roads to almost all its villages and also to the neighbouring gewogs. The gewog was electrified from the Rangjung mini hydro power plant in 1998.
Rice is the main staple of food in Radi, but maize and other vegetables are also grown. However, paddy cultivation is solely dependent on monsoon rain which usually begins in June.

View More On Wikipedia.org
  1. maroon7

    Radi iliyopiga juzi Dar imeacha hasara ya kutosha

    Juzi jumamosi mida ya asubuhi mvua ilinyesha Dar na around saa tatu hivi ikapiga radi moja kubwa sana kwa wanaokaa pande za goba, mbezi,tegeta A, Msumi, Makabe etc. wataelewa ninachosema. Radi ambayo ilipelekea umeme kukatika kwa dakika chache tu ila tayari ilikua imeshafanya uharibifu kwenye...
  2. Roving Journalist

    Unawezaje kujilinda na radi wakati wa mvua kubwa? Kuzima data kunaeupusha kupigwa na radi? Kufahamu hayo na mengine mengi soma uzi huu

    JamiiForums imefanya mahojiano na Rose Senyagwa, Mtaalam na Mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), ambapo alieleza kwa kirefu nini watu wanatakiwa kufanya ili kujilinda pale kunapokuwa na radi ==== Radi ni nini? Radi ni umeme, umeme huu unatoka katika mawingu na hasa...
  3. Jane Lowassa

    Radi kali Mbeya

    Kuna radi zimepiga Kali sana hapa Mbeya mchana huu, hadi kuku kafa
  4. Msanii

    Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

    Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24..... Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na nchi hii? Wapo bize kupitisha miswada inayokandamiza haki za raia. Na hawajali changamoto...
  5. Papaa Mobimba

    Kufa kufaana; Wanakijiji wagawana nyama baada ya ng'ombe 16 kupigwa radi

    Wananchi wa Kalebezo kata ya Nyarubungo Wilaya ya Biharamulo, wakigawana kitoweo baada ya maafa ya radi kuua ng'ombe 16, mali ya Richard Daudi. Ajali hiyo ilitokea Januari 13 mwaka.
  6. MK254

    Video: Radi zimepiga Gaza utadhani kiama, sijui wana laana gani hawa

    Poleni sana wahanga, mara radi mara mabomu ya Israel https://www.youtube.com/watch?v=FZNyigarxoI
  7. BARD AI

    Shinyanga: Mkulima, Mfugaji wafariki kwa Kupigwa na Radi wakati wakisuluhishwa

    WATU wawili wakazi wa Kitongoji cha Salawe A, Kijiji cha Salawe, Kata ya Ubagwe, Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi nyumbani kwa mwenyekiti akiwasuluhisha mgogoro uliokuwa ukiwakabili. Tukio hilo limetokea nyumbani kwa Mwenyekiti...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    Watu wa Dar es Salaam hivi mnazijua radi za Kigoma?

    Hivi hawa wazee wa chipsi Nyingi na mayonaizi ya kutosha radi kidogo mpaka mnafungulia Uzi? Hivi hizo radi kidogo mnalala uvunguni kweli? Ndio maana wavuta bange panya road wanawakimbiza Kila siku, hivi mlishafika mji wa vidono Kigoma? Watu wa Dar hizo flash hazina hata madhara kwa sababu huo...
  9. Teslarati

    Radi za leo/jana usiku zimekukuta unafanya nini hadi ukamkumbuka muumba wako?

    Hizi radi aisee ni balaa. Nmeikaribisha weekend na mtoto mkali ila usiku ukawa mrefu mno kidogo tuache doggy tupige magoti kuanza kusali. Yaani ngoma zinapigia dirishani hadi mashine ikasinyaa kabisa nikadhan ndo mwisho wetu pale. Hali imekuja kutulia nikapata usingizi mmoja asubuhi mtoto...
  10. Roving Journalist

    Dar es Salaam: Mtu mmoja afariki Dunia kwa kupigwa na Radi Kimara

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam, mtu mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi maeneo ya Kimara. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi (ACP) Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutoka kwa tukio hilo katika mvua iliyonyesha juzi Machi 22, 2023, taarifa...
  11. Alwaz

    Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

    Sanamu kubwa kuliko yote duniani ni lile la Yesu amani imshukie ambalo lipo juu ya mlima Corcovado pembezoni mwa jiji la Rio de janairo nchini Brazil. Sanamu hilo limo ndani ya mbuga ya Tijuca na ni ubunifu wa kanisa katoliki la nchini humu.Lina ukubwa wa karibu futi 100 kwenda juu.Likiwa juu...
  12. Wakili wa shetani

    Kutumia simu hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi

    Imezoeleka watu kukataza wengine kutumia simu za mkononi wakati wa mvua sababu ya radi. Utafiti unaonyesha kuwa kutumia simu za mkononi hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi. Simu inatumia mawimbi ya radio ambayo hayavutii umeme. Lakini wanasema kuwa haupaswi kutumia simu ilichomekwa kwenye...
  13. The Burning Spear

    Kassim Majaliwa enzi za Magufuli alikuwa akiogopwa kama radi, wa sasa anapuyanga tu

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema, naona unapiga makelele tu na impact ni sufuri bin sufuri. Lugha rahisi ninavyoweza kutumia ni kwamba unapuyanga tu, watendaji wa serikali hawakuogopi hata kidogo. Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa Maji, tatizo ni serikali unayoisimamia haina makucha hata...
  14. Gily Gru

    Mingurumo au milipuko usiku huu Dar es Salaam

    Niko Manzese nasikia milipuko muda mrefu mnaisikia au masikio yangu tu? mwanzo nilijua radi ila bado inaendelea kuna nini?
  15. Diversity

    UZUSHI Kuvaa nguo nyekundu kunasababisha kupigwa na radi

    Madai: Yapo madai kutoka katika jamii mbalimbali yakihusisha rangi nyekundu na radi. Baadhi ya jamii zinaamini kwamba kuvaa mavazi yenye rangi nyekundu wakati wa mvua ni hatari kwa sababu yanaweza kusababisha ukapigwa na radi. Sambamba na hilo jamii nyingine zinaamini Mjusi kafiri na Kondoo wana...
  16. Mnara_The_Orange

    Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  17. sky soldier

    London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

    Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu...
  18. Idugunde

    Kigoma: Radi yaua mama na mwanae wakiwa shambani

    Mama aliyefahamika kwa jina la Berthania Zabron na mwanaye Loveness Kulwa mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minane wamepoteza maisha huku baba wa familia hiyo Christopher Kulwa Abel akijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa shambani mkoani Kigoma. https://t.co/P5JkRYJBpI
  19. John Haramba

    Watu saba wafariki kwa kupigwa na radi maeneo tofauti Mkoani Rukwa

    Watu saba wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika maeneo tofauti katika Wilaya za Nkasi na Sumbawanga mkoani Rukwa. Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkandasi, Given Kisantola amesema tukio la kwanza lilitokea Februari 26 saa 9 alasiri Kijiji cha Nkandasi wilayani Nkasi. Watano waliokuwa...
  20. John Haramba

    Ngorongoro: Radi yajeruhi watu wawili wakitumia simu wakati mvua inanyesha

    Watu wawili wakazi wa Olodonyokeri, Kata ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha, wamejeruhiwa na radi wakiwa machungani na kusababisha majeraha sehemu mbalimbali za miili yao. RPC wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema chanzo cha tukio hilo ni matumizi ya simu wakati wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha...
Back
Top Bottom