Mashabiki wa Yanga bila dezo hawaendi uwanjani

vvvv

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
335
547
Ni aibu mashabiki mechi kubwa kuingia dezo,uongozi wa Yanga umekuwa ukiamini mashabiki wao bila kiingilio kuwa bure hawezi kuingia uwanjani, kwanini wanapenda bure? Mechi kubwa kama hii kama ni bure je kwenye mechi ndogo ndogo hawa mashabiki wataenda uwanjani?

Kitu ukitolea jasho na gharama huwa unaithamini, sasa kuna tofauti gani na ng'ombe kuingizwa kwenye zizi?
Yanga hawana standard vitu wanavyofanya, unajisikiaje timu unayopenda unaenda kuingia bure kama ng'ombe.
 
Yanga karibu misimu yote popote katika nchi hii ndio timu inayo ongoza kwa Mashabiki wake kuingia uwanjani na haijalishi mkoa gani.

Kwa takwimu za Tff, Yanga ndio timu inayo ongoza kwa mashabiki kujaa viwanjani.

Mfano tuliona uthubutubwa mashabiki kwenda Rwanda na South Africa kwa idadikubwa.

Inachofanya klabu kwa sasa ni kurudisha fadhila kwa Mashabiki wake.
 
Nitajie mechi hata moja mliyowahi kuingiza mashabiki bure mkashinda
 
Yanga karibu misimu yote popote katika nchi hii ndio timu inayo ongoza kwa Mashabiki wake kuingia uwanjani na haijalishi mkoa gani.

Kwa takwimu za Tff, Yanga ndio timu inayo ongoza kwa mashabiki kujaa viwanjani.

Mfano tuliona uthubutubwa mashabiki kwenda Rwanda na South Africa kwa idadikubwa.

Inachofanya klabu kwa sasa ni kurudisha fadhila kwa Mashabiki wake.
Kwanini wasijae uwanjani kama mechi dezo, Simba tunajaza na mashabiki wanalipa, Yanga bila dezo uwanja haujai.
 
Ni aibu mashabiki mechi kubwa kuingia dezo,uongozi wa Yanga umekuwa ukiamini mashabiki wao bila kiingilio kuwa bure hawezi kuingia uwanjani, kwanini wanapenda bure? Mechi kubwa kama hii kama ni bure je kwenye mechi ndogo ndogo hawa mashabiki wataenda uwanjani?

Kitu ukitolea jasho na gharama huwa unaithamini, sasa kuna tofauti gani na ng'ombe kuingizwa kwenye zizi?
Yanga hawana standard vitu wanavyofanya, unajisikiaje timu unayopenda unaenda kuingia bure kama ng'ombe.
hii mechi ni tofauti na mechi za ligi
 
Kuna mambo yanastaajabisha sana! Yaani kuingia bure waingie mashabiki wa Yanga! Ila mateso unapata wewe kijana wa Manhungu!!
 
Yanga karibu misimu yote popote katika nchi hii ndio timu inayo ongoza kwa Mashabiki wake kuingia uwanjani na haijalishi mkoa gani.

Kwa takwimu za Tff, Yanga ndio timu inayo ongoza kwa mashabiki kujaa viwanjani.

Mfano tuliona uthubutubwa mashabiki kwenda Rwanda na South Africa kwa idadikubwa.

Inachofanya klabu kwa sasa ni kurudisha fadhila kwa Mashabiki wake.
Upupu
 
Ni aibu mashabiki mechi kubwa kuingia dezo,uongozi wa Yanga umekuwa ukiamini mashabiki wao bila kiingilio kuwa bure hawezi kuingia uwanjani, kwanini wanapenda bure? Mechi kubwa kama hii kama ni bure je kwenye mechi ndogo ndogo hawa mashabiki wataenda uwanjani?

Kitu ukitolea jasho na gharama huwa unaithamini, sasa kuna tofauti gani na ng'ombe kuingizwa kwenye zizi?
Yanga hawana standard vitu wanavyofanya, unajisikiaje timu unayopenda unaenda kuingia bure kama ng'ombe.
Msiba siku zote hauna kiingilio
 
Hii ni mechi ya Mamelod vs Wydad fainali ya AFL mashabiki wote waliingia bure, asa sijui unataka kusema nini?
20240322_141943.jpg
 
Yanga karibu misimu yote popote katika nchi hii ndio timu inayo ongoza kwa Mashabiki wake kuingia uwanjani na haijalishi mkoa gani.

Kwa takwimu za Tff, Yanga ndio timu inayo ongoza kwa mashabiki kujaa viwanjani.

Mfano tuliona uthubutubwa mashabiki kwenda Rwanda na South Africa kwa idadikubwa.

Inachofanya klabu kwa sasa ni kurudisha fadhila kwa Mashabiki wake.
Nikuulize club ya yanga inarudisha kwa mashabiki wake baada ya kufanya nini haswa? Au kupata nin mpaka ikaamua kuweka mzunguko bure
 
Back
Top Bottom