Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya ByteDance yenye asili ya China.
Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha...
UFARANSA: Rais Emmanuel Macron, ametangaza kuwa ifikapo Mei 2024, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria itakayotoa Haki ya kusaidia Watu Kufa baada ya kuugua au kufikia hatua mbaya ya maumivu yasiyotibika.
Macron amesema "Kutokana na kwamba kuna hali ambazo hauwezi kuzikabili...
Wanabodi,
Sina uhakika sana humu JF, lakini kati ya JF members wanaozungumzia sana, Katiba, Sheria na Haki, mimi ni mmoja wao.
Nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki toka enzi za JPM. Rais Samia alipoingia, nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki.
Rais Samia alipounda Kikosi...
Wanabodi,
Kama kawa, leo nimepata fursa kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa swali Je Wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni Batili? Je, muswada huu ni mvinyo ule ule wa...
Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais....
Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
Siku moja baada ya kusomwa kwa muswada unaokwenda kutunga sheria mpya itakayoanzisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakayojitegemea, Vyama vya siasa vimesema ni ishara nzuri ya kuelekea kuwa na uchaguzi huru na haki.
Wakati hilo likifanyika pia vyama vimesema umefika wakati sasa wa kuhakikisha...
Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
Kwa Sheria hiyo mpya sasa, Serikali ya Ghana itaachana na mazoea na kuungana na Mataifa mengine takriban 10 ya Afrika yaliyoamua kuhalalisha Bangi kwa matumizi ya Dawa, Viwandani na Biashara nje ya Nchi.
Pamoja na ruhusa hiyo, mimea ya Bangi itakayozalishwa chini ya Sheria hiyo itakuwa na...
Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza Vyuo bila kupata kazi.
Kauli ya Ruto inakuja ikiwa ni masaa kadhaa yamepita tangu Naibu...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Ktavi, amesema;
"Tulivyopata taarifa kuwa muswada wa sheria ya usalama wa Taifa umefichwa - fichwa tukasema, wametusikia na sasa wameuweka wazi kwamba sasa wataujadili.Hii ndiyo faida ya vyama vingi kwamba...
Leo Novemba 1, bunge la Tanzania limesoma kwa mara ya ili muswada wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ikiwa ni baada ya kuokea maendekezo kutoka kwa wadau mbali mbali ikiwemo Jamii Forums.
Waziri Nape Nnauye ambaye ni waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akihitimisha baada ya...
Leo 01/11/20220 muswada wa sheria ya ulinzi wa Taarifa binafsi wa mwaka 2022 ulisomwa Bungezi na Waziri Habari mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye.
Mswada huo unajadiliwa wakati huu bungeni fuatana nami kufatilia mjadala huu.
=====
Zahoro Muhamadi Haji: Malengo ya kudhibiti, yapo...
Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye
Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzishwa tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, kuimarisha ulinzi wa...
Muswada huo uliosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza Septemba 2022, unaendelea kwenye mchakato, Oktoba 18, 2022 utawasilishwa katika Kamati ya Bunge, Oktoba 19, 2022 wadau watawasilisha maoni yao.
Oktoba 20 na 21, 2022 kunatarajiwa kuwa na mjadala mwingine kuhusu muswada huo kwa kisha utapelekwa...
Muswada huo umesomwa Leo Septemba 23, 2022 Bungeni Dodoma ambao unalenga kuweka misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi za wananchi, Kuweka Kiwango cha Chini cha Matakwa ya Ukusanyaji na Uchakataji wa Taarifa Binafsi, na Kuanzisha Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Masuala mengine muhimu ni pamoja...
Ulinzi wa Taarifa unahusisha kulinda Haki yetu ya msingi ya Faragha kwa kuweka Mifumo ya Uwajibikaji kwa wale wanaochakata Taarifa za Watu.
Wakati Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi unatarajiwa kufikishwa Bungeni, tunatarajia Sheria hii itazingatia uundwaji wa Chombo Huru cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.